RK thanks Sanaa kwa kuskia kilio chetuu haswaa Sisi tunao ugua mapenzi wish ungekua karibuu nkakupatia zawadi yako thanks Sanaa ntazidii kufatilia had mwisho🥰🥰🥰
unajuwa,saiv kusema ukweri dunia inaamin mapenzi yapo sasa maan sisi watanzania niwagumu kuelewa mbaka tuamin kwa apo broo umetisha weka aidia ya mishi tuuweeee😂😂😂😂😂😂❤❤❤
I used to love this song every moment i sing this song tnx soo much rk for making my wish real❤🎉i was mas waiting for this moment 🥰🤗😘more love from kenya❤
Brother ongera sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nice music 🎵🎵🎵🎶🎶🙂👍
Hello 👋 kp
Umeona ee kama ukimuwekea zebuu mkiwa chumbani naira kalala kabisa
Mr money please 😊
Nawe wachelewesha plan b❤❤
Apo fresh 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 gonga like kama unamukubali rk 🎉
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nakupenda kuely rk❤❤❤❤❤🎉
wows my favorite song kama unaikubali weka like😍😍🥀
Naomba wimbo wa kwenye Boss mchawi
th-cam.com/video/rLfjxghyeH4/w-d-xo.htmlsi=XMX6dSFjYLpuQet8
Fanya. Kaka. Uiachie. Kwa. Maana. Hii. Nyimbo. Imebeba. Mambo. Mengi. Sana. Kuhusu mapenzi ❤❤❤❤❤❤❤
Doyy bint wa MIPANGO CHUO dodoma iyooooooo❤❤❤❤
Vijan walio soma quba hua mnajiongeza xan hiv ulijuaje kwamba maxhabik zako tumeuzimikia huo wimbo 🙏🙏🔥☺️
The woman behind the song i wanna see her💯🎉❤nice song from kenya📌💥piteni na like
Kaka nakubali sana huuwimbi nilikua nausubilia sana ❤❤
RK thanks Sanaa kwa kuskia kilio chetuu haswaa Sisi tunao ugua mapenzi wish ungekua karibuu nkakupatia zawadi yako thanks Sanaa ntazidii kufatilia had mwisho🥰🥰🥰
Ngoma Kali , sauti Kali , melody tamu ❤
Wimbo mzuri sana ninewupenda mimi niko 🇧🇮🇧🇮 bujumbura
nimeipenda sana hii nice song
Hapo Kaka alafu kuna ile ingine ya Boss mchawi mapenzi na pesa
Safi sana nilikuwa nasubir kwahamu hii kazi
😂😂
Saanaaaa
Watu kuanza ku comment kabla hawajaona
😂😂@@SharifaRashid-tg9kx
Oya ulijuaje umetisha pia msanii ametisha🎉🎉
Hongera,,Ya boss mchawi tafadhali
th-cam.com/video/rLfjxghyeH4/w-d-xo.htmlsi=XMX6dSFjYLpuQet8
Nashukuru Sana Rk movies kwa kulielewa ombi la kuiweka hii nyimbo nashukuru Sana kwa wimbo mzuri mungu azidi kubariki kazi ya mikono yenu🙏
Tulio kuwa tuna isubiri kwa hamu gonga like hapa
Bado ule wimbo ambao upo kwa move ya boss mchawi
Daaah kwel sijui kwann awatoi jamn naupenda sana ule
Mimi ndio nilikua nasubiri kinoma
Kwa Audio ukitaka ku download Inaitwa ajey
@@Elizabeth-b5q4f mp3
Daah Leo nimewai jameni from 🇰🇪🇸🇦
Hongera bro kama Unakubaki hii movie gonga like tukisonga❤❤❤❤❤❤
Nawapenda sana from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 kwakutupa nyimbo kali
Kaka Ngoma Nikal sana sema atawewe ukiangalia utagundua Kuna miondoko ya Ngoma ya bosi mchawi
I love this song❤ nimeipata full, kama unaikubali gonga like
Inaitwaje
Inaitwaje
Hongera sana Kwa music kama unamkubali rk gonga like kutoka oman
Na mzik mpya tunaupenda sana ebu rusheni bass tunawaomba sana
Sija kawiya sana jaman nawafwatiliya kutoka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Harua haina makombo mwenzako nimezidiwa🎉🎉🎉🎉
Noma Sana nakukubali Sana kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Tujuwane wenye tumekibia mpaka tukataka kuanguka ❤❤❤
tjrs dans le bon avec Rk🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nahisi kutamani kuskia hii wimbo in full Leo nimeskia kweli❤❤❤🎉🎉 anyway like kutoka Kenya
Nimefurahii sana baada ya kupata full ❤❤
It is very relevant to my real life Love it🎉🎉🎉🎉🎉
Nyimbo nzuri sn hakika yaani ni merudia rudia kwa kuiskiliza mara kadhaa,maana nyimbo hii ni kali sn♥️♥️♥️♥️
Waoooo 👌 nice song piya nataka tajiri na maskini
Jaman kanyimbo katam had rahaa big up Rk
Rk kuna na ile nyengne ivi kama imeimbw kihindi iv kali sana ebu tupostue na ile kaka
This is what we have been waiting for long now its out.kama unakubariana na hii song gonga like🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good song brother rk
Nice voice music bado wimbo wako tu Rk officially
Nimefurahi zaidi kuona mnasomag comment zet kumbe na mnafanyia kazi japo kujib hamtaki,, but asanteni🤝❤️♥️
hiiri ngoma Nikalao towa kwenye platform zingine tuipakue
Kazi nzur hongera sana brother Rk🎉🎉🎉🎉
Nyimbo Kali sana hongereni much love from Kenya 🎉
Hongera sana brother rk nice music ❤😂🎉
❤❤ hongera kazi safi nyimbo ya utulivu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ni nanii kaimba hii nyimbo jamani ❤❤❤❤❤❤❤❤
Tulikuwa tunaisubir kwahamu hiii songs gonga like big up rk
Powa broh RK niko apa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hatimae nmeletelew favorite song thanks ❤❤🤗 alllah awasimamie katk kaz hii😊
Wow nilikuwa naisubir sana hii nyimbo hongerani sana 🥰🥰
Thank you nili isubir sana hunger Rk kwakazi nzuri
Move kali sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wooow ❤❤❤❤ mashallah 💖
Woohoo! Ni 🔥 nilitaman sana, you did it🥰🥰🥰
Jacklin ana sauti pw sana hongera sana
Hii nyimbo noma sana brother 🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿
Safi sana. Mimi toka Mozambique mueda, like basi naomba
weka mzigo 2sebenze nyimbo 2takutana nayo final 2mepewa
unajuwa,saiv kusema ukweri dunia inaamin mapenzi yapo sasa maan sisi watanzania niwagumu kuelewa mbaka tuamin kwa apo broo umetisha weka aidia ya mishi tuuweeee😂😂😂😂😂😂❤❤❤
Wimbo mzuri sana hongera bwana
Daaah safi sana,,,mimi naiomba ya kwenye Boss Mchawi ya Tajiri na Maskini.Nafikiri kaimba huyuhuyu.
Tuliokuwa nasubir tujuana hapa ❤❤❤
Kwa kweli wimbo upo mahala pake
Huu wimbo mtamu ni kwa ajili ya RK kumuach Irine na kwenda kwa Jaki, au nani inamuhuzu zaidi?
FSCds
Tunatk na Ile ya bosmchaw areumba mbngu ariwazann kuumba tajiri namaskin
Nimezidiwa jamen rk www🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii ngoma tamu sana bado nangoja episode 31
From 🇲🇿, song boss mchawi plz
Rk hau kanai get the song 🎵 🎶 ♥ 👌
Tuletee na ile song nyengine ya boss mchawi alie umba mbingu aliwaza nini kuleta tajiri na maskini mbona mm sielewi, jameni sielewi......
Kong ole wote mpo vizuri sana ila benleey ametisha sana 😁🥰
Congratulations bro this is amazing 💖💖
❤bolingo eza matata
Mtuwekee pia ile ya boss mchawi.tunaitamani
Kazi nzuri bro, keep going
I used to love this song every moment i sing this song tnx soo much rk for making my wish real❤🎉i was mas waiting for this moment 🥰🤗😘more love from kenya❤
Mashaalaa ni nzuri sana mi naipendaga atari🎉🎉🎉
hongera kaka nimengoja hii ngoma sana
Wooooow😍😍😘😘❤❤❤❤mmetisha Sana kwa hii zawadi ❤
Oya we apa yenyewe shega 2 apo
Kazi Safi RK naupenda huu wimbo
Nameipenda sana ubarikie rk chukua maua yako
Wow nimefurah mno
Mngerusha na ya Boss Mchawi Audio plez
Nawakubari sana team rk ❤❤❤❤❤❤❤
The song is soo mwaaah❤🎉🎉🎉 nataman ningekuwa nayo audio yake kwenye file but nashindwa😢🎉🎉🎉
R. K inaitwaje Jin la nyimbo
Ahsanteni sana me nilikuwa naitafuta sana
Kali Sana 🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mmefanya jambo lamaana kwakutuma hi nyimbo
Dis voice itolewe audio mack
Umenikosha jaman maan niliupenda huu wimbo
Nilisubili Sana 👏👏👏👏👏🔥
Kwahy hii ni nyimb t jamn
Nataka jina la song na artist ni download ❤❤❤ RK PLZ
Nice song brother
M nataka ule wimbo wa kwenye boss mchaw
nice one but what about ile ya boss mchawi
Daaah huyu dada anajuaa san kuimba wallah🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tunaomba ya boss mchawi