MY BROTHER ZIMWI MY DUA ALWAYS WITH YOU YOU ARE BEST BEST COMEDIAN IN TZ REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT I AM LIVING IN UK 🇬🇧. ONE DAY I WILL COME TO VISIT YOU INSHALLAH IN TZ. UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS.
Tafadhali wenzangu tujaribu kujiweka ndani ya kiatu cha mtanga, tuelewe wapo wasanii wengi tu ambao mtanga anajaribu kufanya nao kazi ili nao pia waweze kujulikana zaidi na hususa kuinua "channel" zao , kwa hio wale tuna comment tafadhali tuangalie sana hilo tusiwe na ubinafsi ati tunataka fulani bila hivyo ...... ni maoni yangu samahani kama nimekukwaza , nawapenda nyote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Zimwi Upojuu Bro
Zimwi n OG babayoo kenya 🇰🇪 🙌 tunawapenda
Zimwi ni Mkali, ila Bambo arudishwe
MY BROTHER ZIMWI MY DUA ALWAYS WITH YOU YOU ARE BEST BEST COMEDIAN IN TZ REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT I AM LIVING IN UK 🇬🇧. ONE DAY I WILL COME TO VISIT YOU INSHALLAH IN TZ. UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS.
😂😂
Nasema hiVi, Zimwi Ni Mkali sanA💥🔥🔥🔥🔥
Namtaka bambo kwenye mchezo mtangalile,,,,, MR B nammisi pia!
Mlete bambo mtanga
Mtanga zimwi mkali bali pia tunamtaka bambo
Safi zimwi
Bambo jmn awepo pia
Mtanga hizi comedy zako bila bamboo hazileti shangwe, ukweli usemwe
Pengine yupo likizo ngoja tuvute subira
Baba lenu nipo site tutafunga mwaka In Shaa Allah nikisalia kuwa Baba lenu
Kamutanga tunamutaka kabambo banaaa
Mtanga namtaka bambo tafadhali nimess hayo maongezi yake bnh...kama vile kito badala ya kitu😂😂mniambie alipo bambo
zimwi kapungua kidogo au
Bambo yupo wapi tafadhali
Tutasusia na kuondoka chaneli hii kama Bambo hayupo.Tunawapa siku moja
Ondoka
ondoka mwana kuondoka😅😅😅
Bambo yuko wapi
Nimemiss bambo
Much love always
Ukulia kule
Atakuwa analala chini kkkkkkk
Mkiwa wote pia sio.mbaya
Wala hata hainogi mtanga wapi by top wille toka zambia
Zimwiiiiiiiiiiiiiii 😂 au unalala chini?
mdoro upo sahihi wote tuliwapenda ßema walipotea mambo t kuwainua na wao wainule tn sio mbya
Sikitu yuko wapi? sku hz hatumwon?
Tafadhali wenzangu tujaribu kujiweka ndani ya kiatu cha mtanga, tuelewe wapo wasanii wengi tu ambao mtanga anajaribu kufanya nao kazi ili nao pia waweze kujulikana zaidi na hususa kuinua "channel" zao , kwa hio wale tuna comment tafadhali tuangalie sana hilo tusiwe na ubinafsi ati tunataka fulani bila hivyo ...... ni maoni yangu samahani kama nimekukwaza , nawapenda nyote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mtanga vipi umchukulie mwenzio kila kitu chake?
Fanyeni yooote lkn tunamtaka bambo kuanzia kesho kama bambo hayupo siangalii tena
Hukulia siku Ile?
Hahahaaaaaaa
🤣🤣🤣
BAMBO YUKO WAPI
Bambo please come back.....and i dont like this woman's acting