Simba tusibweteke ushindi wetu utakamilika tukiwafunga Bravos nyumbani kwao. Simba tucheze kimbinu naamini hata ugenini sasa tunashinda. Wachezaji wasiwe wachoyo mpasie mwenzako kama yupo katika nafasi ya kufunga.
Ni vita kwa Simba Bravoz hafungiki nyumbani ugenini yeye nguvu ya uyoga kabla haujapikwa. Tuone kwa Simba ataweza kutwaa kombe la kuvunja mwiko kwa Bravos.Mungu awajaalie wanalunyasi wauvunje mwiko. Constantine alipigwa 3 Sfaxien vilevile kwa Mnyama vije? Ewe Mola wajaalie watoto wa mama Samia waishinde Bravos waiheshimishe Tz yetu Amin
Yusuph kagoma ni moja ya kiungo mkabaji bora nchini Tanzania nilimshangaa sana yule msemaji njiti alivyo sema Yusuph kagoma hana uwezo wa kupata namba kwenye kikosi cha utopolo hii kauli ilikuwa kauli ya kipumbavu sana unamchafuaje mchezaji tena mzawa wa Tanzania
MPO SAHIHI SANA NYINYI NI WACHAMBUZI BORA. MUNGU WABARIKI WACHEZAJI WA SIMBA. WACHEZAJI WA SIMBA NI BORA SANA. ASANTENI SANA MUNGU AWAPE USHINDI KILA MCHEZO
Simba wote hapa lazima tufurahi wasio yanga hapa mtachukia tuachieni simba tufurahi
Hongera Simba Kwa mara ya kwanza kufunga goli la move
Hufatilii kwahy simba magori yote wamefunga siyo ya move siku chasambi anatoa assist tatu magori ya mukwala hayakuw ya move
Simba tusibweteke ushindi wetu utakamilika tukiwafunga Bravos nyumbani kwao. Simba tucheze kimbinu naamini hata ugenini sasa tunashinda. Wachezaji wasiwe wachoyo mpasie mwenzako kama yupo katika nafasi ya kufunga.
Hiyo kazi ya kocha siyo mashabiki
Nakubali.wachambuzi.sina.cha.kuongeza.asanteni
Ni vita kwa Simba Bravoz hafungiki nyumbani ugenini yeye nguvu ya uyoga kabla haujapikwa.
Tuone kwa Simba ataweza kutwaa kombe la kuvunja mwiko kwa Bravos.Mungu awajaalie wanalunyasi wauvunje mwiko.
Constantine alipigwa 3 Sfaxien vilevile kwa Mnyama vije? Ewe Mola wajaalie watoto wa mama Samia waishinde Bravos waiheshimishe Tz yetu
Amin
🎉Najua.kazi.yenu.ngumu.kunawanao.wasapoti.na.kuawengine.hawatoi..sapoti.kwa.sababu.zao..mtu.akifanya.vizuri.hawapendi.asifiwe.kwao.kosa..simba.wapo.vizuri..kubali.kataa.
Atutaki kumuana chama, aziz k wala nani sisi tunataka kumuona feisal fundi ndani yake.
Yusuph kagoma ni moja ya kiungo mkabaji bora nchini Tanzania nilimshangaa sana yule msemaji njiti alivyo sema Yusuph kagoma hana uwezo wa kupata namba kwenye kikosi cha utopolo hii kauli ilikuwa kauli ya kipumbavu sana unamchafuaje mchezaji tena mzawa wa Tanzania
😁😁😁😁nimefrahi Hy yakwamba msemaji njiti
@VeronicaElias-o3x hata wew si unaona hana mwili 🤣🤣🤣🤣
@gabrielnybala2165 kweli kaka mwili Hana kama jinti msemo wako
Wachambuzi wa bongo akili hawana kwani de byune Ana madoido ahoua Ana ubora mkubwa sana ukilinganisha na wachezaji wengine Afrika
Kama huna Cha komenti Bora uache
Kak wewe unajuwa hawa acha tyuwaskilize tyu mahn hamn chakuwabadilisha
Sasa uyo Bora wako azizi ki Yuko wapi 🤣🤣🤣
Oy iko hiviii ilipigwa na ateba ikadunda chini ahua wkaiweka gambani kabla haijatua chini mwamba anaikamulia kwenye nyavu good pray kwenye mechi kubwa
'Adaptation' na 'adjustments' ni muhimu kwa mtu yeyote anapoingia ktk mazingira mapya ht ktk maisha ya ndoa pia! Tigana umesema sahihi kabisa!
MPO SAHIHI SANA NYINYI NI WACHAMBUZI BORA. MUNGU WABARIKI WACHEZAJI WA SIMBA. WACHEZAJI WA SIMBA NI BORA SANA. ASANTENI SANA MUNGU AWAPE USHINDI KILA MCHEZO
Kama angeulizwa chasamb nani kakufurahisha zaid, angesema hakuna hata mmoja mbinafsi sana😂😂😂😂
Kuna nyimbi hili imbwa Wana kubali kiyaina Wana kubali kiyaina Kuna nyingine wanao kuzalau Leo wata kue shimu kesho ubaya ubwela
Timu itakayofanikiwa kuvuka ktk kundi hili gumu upo uwezekano wa kufika nusu fainali na fainali ht kutwaa kombe!