MJADALA MZITO UTOFAUTI WA UNYENYEKEVU NA HESHIMA, BABA LEVO AFICHUA SIRI YA DIAMOND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq หลายเดือนก่อน

    Kwani hajaolewa jamani.
    Mtoto mzuri namna hiyo kama atanipenda ni tanyeyekea ni tume posa.❤❤❤mashallaah .

  • @S_Mallema
    @S_Mallema หลายเดือนก่อน +9

    Unyenyekevu ni ile hali ya kumuonesha mwingine kwamba thamani yako si chochote mbele zake. Zoezi hili huambatana na hisia zinazooneshwa kwa lugha ya mwili mfano kupiga magoti au kuweka mikono kifuani nk. Lugha ya mwili ni kielelezo kuwa unachosema au kuonesha kinakutoka moyoni
    Heshima ni hali ya kumuonesha mwingine kuwa yeye pia ana thamani mbele zako bila kujali hali zake. Nimetaja hali zake nikijumuisha kila upande mfano kiuchumi, kiafya, kielimu, kicheo nk
    Hence;
    Heshima ni kumuonesha mwingine kwamba yeye pia ni wa thamani kwako
    unyenyekevu ni kumuonesha mwingine kwamba thamani uliyonayo si chochote kwake

  • @charleshaule4008
    @charleshaule4008 หลายเดือนก่อน

    Nice program, set up, interaction, I like it.

  • @JeanToyi-u6r
    @JeanToyi-u6r หลายเดือนก่อน +2

    Hello AYO TV; Naitwa BAKHESA Wa DRC ; Mjini LUBUMBASHI... Napendaga sana iyo Chanel Yenu ; Zaidi Zaidi iyo Kipandi Ya Appli Fire;....Nawapendaga;... Big UP Sana Kwenu!.🎉🎉🎉.

  • @deejeydaev
    @deejeydaev หลายเดือนก่อน +2

    Kipindi smart sana kiko perfect aisee

  • @Player1_666
    @Player1_666 หลายเดือนก่อน +1

    Tafsiri ya tatu iko sahihi zaidi

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa.

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq หลายเดือนก่อน

    Mtoto ana kijimwanyaaa mashallaah 😂

  • @EdmondNyirenda
    @EdmondNyirenda หลายเดือนก่อน

    Simplicity is greatly 🔥

  • @HusseinAbdi-s7p
    @HusseinAbdi-s7p หลายเดือนก่อน

    Your outfit is beautiful farida amani

  • @alfanifaraji
    @alfanifaraji หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza 🇷🇼

  • @aishawhite1107
    @aishawhite1107 หลายเดือนก่อน

    Frida so nice my sister ❤️❤️❤️

  • @yasser_yosa255
    @yasser_yosa255 หลายเดือนก่อน

    Hhhhhh ety amegunduwa kuwa ngoma ake ya hello ni international. Kagunguwa leo 😂mae baba levo

  • @hancybrouwn5032
    @hancybrouwn5032 หลายเดือนก่อน +1

    Heshima ni kitu bora sanaaaaa

  • @caesar7745
    @caesar7745 หลายเดือนก่อน +1

    Kunyenyekea ni heshima iliyopitiliza

  • @BHALEEALI
    @BHALEEALI หลายเดือนก่อน

    hata baadhi ya matajiri ni wanyenyekevu pia mana hata wao wahitaji pia

  • @superisse80
    @superisse80 หลายเดือนก่อน +1

    Wa pili 🇨🇩

  • @rodgersgregory7198
    @rodgersgregory7198 หลายเดือนก่อน

    Heshima inazingatia vigezo fulani fulani baina ya pande mbili mfano, utofauti wa fedha,umri,Fikra etc lakini Unyenyekevu hauzingatii vigezo baina ya pande mbili kwakua ni sehemu ya utu wa mtu fulani ambaye anaweza kuonesha huo unyenyekevu muda wowote

  • @ButungaMboboci-hk5om
    @ButungaMboboci-hk5om หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli mtu mwenye hela anajulikana

  • @shadrackmwastaula6265
    @shadrackmwastaula6265 หลายเดือนก่อน

    Vido upo real, Frida upo na talent una bishana for a reason.

  • @mwanakitenge
    @mwanakitenge หลายเดือนก่อน

    Ila mirad na frida wamependezana sana

  • @GemmaSalim
    @GemmaSalim หลายเดือนก่อน

    Nice tumekaa kama watu

  • @JenifaJohn-k5d
    @JenifaJohn-k5d หลายเดือนก่อน

    Unyenyekevu ni moja ya heshima 😊

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 หลายเดือนก่อน

    Mwenye hela anakua na confidence flani😂😂

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys หลายเดือนก่อน

    Frida eti Hicho unachotaka kukisema hakifai 🤣🤣🤣 Kama Tuna Nyenyekeana apo Sawa 🤣🤣🤣🤭🤭🤭

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing หลายเดือนก่อน

    Heshima Ujenga Vitu Vingi Tu Kwa Watu

  • @Bravegirl.427
    @Bravegirl.427 หลายเดือนก่อน

    Frida mbishi, ana boa

  • @PendoPeter-rr4jk
    @PendoPeter-rr4jk หลายเดือนก่อน

    😂 vido ni mtetezi wa wanyonge, lkn frida ni hataki chenga😂

  • @boniphaceNyankena
    @boniphaceNyankena หลายเดือนก่อน

    Yaan milad kaka nilisema nasema na ntaendelea kusema pia upeo wako unassadifu uliyonayo ngazi Yako itaendelea kupanda mpaka siku unaondoka dunian nataman hata ningepstaga nafas ya kua karibu nijifunze mengi japo najua sio rahisi.

  • @boazmisango9797
    @boazmisango9797 หลายเดือนก่อน

    Atakua p didy huyo tajiri

  • @mangareentertainment.
    @mangareentertainment. หลายเดือนก่อน +1

    Wa tat,

  • @uwesumuhammadi6292
    @uwesumuhammadi6292 หลายเดือนก่อน

    Unyekevu ni kujali zaid kuhusu mtu husika bila kujali ni mtu wa aina gani ila kuna thaman anayo juu yako !!

  • @faridiathumani3114
    @faridiathumani3114 หลายเดือนก่อน +1

    Sema huyo dada kila kitu ni mbishi

    • @abdullahmapesa
      @abdullahmapesa หลายเดือนก่อน

      𝐕𝐞𝐫𝐲 𝐭𝐫𝐮𝐞

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 หลายเดือนก่อน

    Frida😊

  • @edwinkihiyo1473
    @edwinkihiyo1473 หลายเดือนก่อน +1

    TUNAJINYENYEKEZA MBELE ZA BWANA
    Kiufupi unyenyekevu ni kuabudu

  • @jumbemwinyi-d9n
    @jumbemwinyi-d9n หลายเดือนก่อน

    Angaleeni lkn mwisho wa siku asije kuliwa mtu kinyaa huko kunyenyekea kwenu😂😂😂😂😂

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 หลายเดือนก่อน

    Sasa move unaiongelea kwenye uhalisia? Wewe dada,mmmmh! Unaongea kama wa kijijini yaani.

  • @mangareentertainment.
    @mangareentertainment. หลายเดือนก่อน

    Aya leten mada tujadili

  • @bakarimakota-ei8sw
    @bakarimakota-ei8sw หลายเดือนก่อน

    Frida inabidi uninyenyekee mumeo😂😂😂

  • @AlimasisafariLwendo
    @AlimasisafariLwendo หลายเดือนก่อน

    Aka ka dada nikabishi sana unabisha vitu ambavyo nikweli unatubowa sana

  • @kelvinkilale
    @kelvinkilale หลายเดือนก่อน

    ASIKUTANE NA P DIDDY UYO😂

  • @puritymeja564
    @puritymeja564 หลายเดือนก่อน

    huyu dem anakera sana, slow learner

  • @timothyberege2594
    @timothyberege2594 หลายเดือนก่อน

    Kunyenyekea ni kujishusha

  • @sailoo5722
    @sailoo5722 หลายเดือนก่อน

    Bora awe puffy diddy hakushenyenta mtu

  • @mlamytz
    @mlamytz หลายเดือนก่อน

    tishet yako kali ayo

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula หลายเดือนก่อน

    Sasa hiyo Connection si ametengenezewa na huyo Jamaa aliyempeleka au Vido huelewi nini hapo??

  • @DezideryIturagiza
    @DezideryIturagiza หลายเดือนก่อน

    Yani miradi niivi tajiri ukimueshem tajiri ukaongeza na kumunyenyekea sana kunamufanya tajiri ajisikie fulaha zaini kuwepo wwe apa ndipo tajiri anaamua kukupa pesa

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 หลายเดือนก่อน

    Atwambie mond alifanywa Nini na didy

  • @fey_de_papy
    @fey_de_papy หลายเดือนก่อน

    unyenye kevu ni kufanya busara iliyo pitiliza ambayo kibiinadamu sio nzur kwenye dini

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน

    Unyenyekevu niikujishusha Kwa mtu

  • @josephusekwelas9743
    @josephusekwelas9743 หลายเดือนก่อน

    Mwenye héla asauliki sasa akiongeye tuh basi una mujuwa kupitiya mahamuzi yake

  • @HaikaMangare
    @HaikaMangare หลายเดือนก่อน

    Ila frida ume grow 🤣🤣

  • @emanuelmremi9729
    @emanuelmremi9729 หลายเดือนก่อน

    Frida ni mbishi sana.. anafanya mada inakua ndefu bila sababu za msingi

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +4

    Frida nimegundua kumbe mmbishi na anapenda kubishana

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunz kitu kupitia comment zenu wadau. Heshima nyingi kwenu

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 หลายเดือนก่อน

    Uyo demu naongea kwenye kipindi lakini anawaza mambo ya kijinga,hana hoja tofauti na ubishi

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa หลายเดือนก่อน +1

    𝐃𝐚𝐚𝐚𝐡 𝐮𝐲𝐮 𝐟𝐫𝐢𝐝𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐩𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐮 𝐲𝐚𝐧𝐢 𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐟𝐫𝐞𝐬𝐡