Inshallah Part 2 - Madebe Lidai & Havit Makoti (Official Bongo Movie)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Inshallah Part 2 (Madebe Lidai, Havit Makoti) Nabii Mswahili Madebe Lidai
    Watch Part 1 Here: • Inshallah Part 1 - Mad...
    CAST: Madebe Lidai, Havit Makoti, Hidaya Shomar, Nasoro Thomas
    STORY: Madebe Lidai
    DIRECTOR: Madebe Lidai
    Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaM... #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #MadebeLidai

ความคิดเห็น • 478

  • @nasashashabaani598
    @nasashashabaani598 6 ปีที่แล้ว +88

    Kama unamkubal madebe na kazi zake like hapa na ucoment chochote kuhusu moves zake madebe lidai noma sana nanikiboko maastaa bongo

    • @eugenhusen8154
      @eugenhusen8154 6 ปีที่แล้ว

      Unajitahidi Kama move ya msungo

    • @asiaiddy7181
      @asiaiddy7181 6 ปีที่แล้ว

      Salut sana kaka kazi nzur

    • @nestamganwa8554
      @nestamganwa8554 6 ปีที่แล้ว

      Nasasha shabaani namkubali madebe kwa misamiati yake

    • @AMZASAIDEofficialm6332
      @AMZASAIDEofficialm6332 5 ปีที่แล้ว

      Nasasha shabaani jama noma madebe lide

    • @rhamaomari3282
      @rhamaomari3282 5 ปีที่แล้ว +1

      Madebe fundi ndio mtanzania pekee anae nishawishi kucheck move zakibongo

  • @lusungukiswaga7640
    @lusungukiswaga7640 6 ปีที่แล้ว +7

    Ninacho kupendea Madebe move zako zinawezekana kuangaliwa na watu wa rika zote hata wakiwa wamekaa pamoja. Tofauti na movie nyingine ukiwa na watoto au watu wa heshima inakuwa vigumu kuvumilika,inalazimika vipande vingine kuvirusha. big up sana MADEBE.

    • @SalmaChungu
      @SalmaChungu 2 หลายเดือนก่อน

      Nikweli

  • @mishijuma6326
    @mishijuma6326 6 ปีที่แล้ว +79

    Kwamtazamo wangu MADEBE ndiye mtunzi bora Africa mashariki.

  • @mengiruhotola4566
    @mengiruhotola4566 6 ปีที่แล้ว +22

    Kazi nzuri sana congratulations to you @madebeLidai👍

  • @mordally
    @mordally 6 ปีที่แล้ว +32

    Hapa ndio husema Madebe is the current best actor, anayesema vinginevyo huyo ana interest nyingine, location mpangilio ni mzuri sana, wasiomkubali waache tu, Movie zake unaweza kuangalia na mtu yeyote mkiwa pamoja, kuna busara nyingi sana ila tu labda uwe huelewi. tunaomba movie ziwe ndefu kidogo ili kupata maana halisi na kuhusha na kuwafa ya watu wengine waelewe zaidi, All in All BIG UP

  • @dottosamweli2364
    @dottosamweli2364 6 ปีที่แล้ว +14

    Asante sana, brother Madebe lidai kwa movie nzuri na yenye mafundisho, mungu abariki Kazi ya mikono yako

  • @piuskelvin5414
    @piuskelvin5414 3 ปีที่แล้ว +2

    Huwezi kupendwa na kila MTU kwasababu we sio pesa madebe salute

  • @fanuelysebestianfanuelyseb7957
    @fanuelysebestianfanuelyseb7957 6 ปีที่แล้ว +12

    hongera sana Madebe lidai unaweza sana kabisa

  • @abubakariyusuph7270
    @abubakariyusuph7270 6 ปีที่แล้ว +8

    mhhhh we na gabo hamna mpinzani Tanzania hii nawaelewa sana

  • @belathomgaya4803
    @belathomgaya4803 6 ปีที่แล้ว +11

    Hiyo nondo wapatikane watano kama madebe ⭐️

  • @listentoquranandmawaidhach4992
    @listentoquranandmawaidhach4992 4 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah tamthilia za Madebe zote zina mafunzo ya kutosha,Shukran Madebe🙌

  • @bashirabdallah1146
    @bashirabdallah1146 6 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah nami nitowe pongezi zangu za dhati kwa madebe lidai kwa kazi nzuri
    Napenda busara na hekima zako.
    Ipo siku watakuelewa.
    Inshaallah

  • @khadijahussen2763
    @khadijahussen2763 6 ปีที่แล้ว +18

    Mashaallah Ongera sana madebe lidai kwa movie Nzur

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 4 ปีที่แล้ว +2

    Manshaallah madebe nipo nje ya nchi yangu najifariji nafurahia mno

  • @halimajuma9524
    @halimajuma9524 6 ปีที่แล้ว +15

    Maa Shaa ALLAH Madebe..

  • @sifamassmo1994
    @sifamassmo1994 6 ปีที่แล้ว +6

    Daaa kz zko nzuri babaa madebe endelea na jitihada hzo...

  • @selemaninahimani820
    @selemaninahimani820 5 ปีที่แล้ว +3

    Madebe hitimisho ya movie hii, imebeba ujumbe wa maana sana na mazingatio, Mungu akupe afya ya kutuelisha kwa busara.

  • @stamuujumajuma.4181
    @stamuujumajuma.4181 6 ปีที่แล้ว +5

    bonge moja ala story mungu azdi kukupgania ktk kupaji chako baba madebe uzdi kutupa vtu vitamuuuuu kama hiki ,,,,,inshaa,allah,,,,

  • @mfungwahuru
    @mfungwahuru 6 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah,,, madebe hii movie kali sana,,, Endelea kaka

  • @babdan904
    @babdan904 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndie msanini naweza kuangalia moving zake mda wowote good luck madebe

  • @diamondplatnumz8462
    @diamondplatnumz8462 6 ปีที่แล้ว +8

    Madebe kawa #Pasua-kichwa👏👍
    Congrats

  • @kaccmoviebankmovie6692
    @kaccmoviebankmovie6692 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo ni mejua mahana ya madebe lidai na movie ya ishaallah

  • @dennisjuma1196
    @dennisjuma1196 2 ปีที่แล้ว

    hongera sana nabii Kwa filamu ya ushauri

  • @ElvisMumbere
    @ElvisMumbere 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tiiii 2024 from congo

  • @aishaaisha3722
    @aishaaisha3722 6 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah madebe

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 6 ปีที่แล้ว +12

    napenda sana movie zako kaka upo juu

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 6 ปีที่แล้ว +12

    Big up madebe unastory nzur sna

  • @thobiasmikaniko8348
    @thobiasmikaniko8348 5 ปีที่แล้ว +3

    Wangap tunaangalia huku machozi ya kimutoka😢😢😢😢

  • @msafiriiddy3135
    @msafiriiddy3135 6 ปีที่แล้ว +5

    nafikiri madebe akifakiwa kujiweka na kujua jinsi ya kuonekana na kueleweka kimataifa atateka sehemu kubwa ya Afrika na sio tu Tanzania

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 ปีที่แล้ว

    Nimetizama Mpka Nimejikuta Nimesinzia Na Baada Kuamka Aki Imenibidi Nirudi Nyuma Nijue Kilichoendelea Ongereni Sana Mliyo Shiriki❤❤❤❤❤

  • @mwarabubaraka2420
    @mwarabubaraka2420 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana madebe hakuna zaida y ww

  • @costacosta3247
    @costacosta3247 6 ปีที่แล้ว +2

    Usikubali kufundwa na kungwi aliyeachika!!! Hiv kweli kama alishindwa kuishi na mme wewe atakufundisha nn kuachika pia!!!! Big up madebe!!!

    • @aloycemyovela2521
      @aloycemyovela2521 5 ปีที่แล้ว

      Machoziiiiiiiiiii yamenitok Leo Mimi duh

  • @mejumaamwachirero3659
    @mejumaamwachirero3659 3 ปีที่แล้ว +4

    Napenda sana kazi yako kaka unatia vitu vya maana vinavyotufundisha. Halafu pia napenda mavazi yaheshima mnajielewa kwa kweli shukran 💯

  • @amirdingu8039
    @amirdingu8039 5 ปีที่แล้ว +4

    Madebe lidai ww ni wa Tanzania nakupa 100%

  • @shonelyzbeth4028
    @shonelyzbeth4028 6 ปีที่แล้ว +4

    Madebe Lidai Fundi.
    .wewe jamaa unajua mpaka unapitiliza..Inshalah ...nimsanii pekee anaeuonyexha umma kuwa hata bila magari nyumba za kifahari unaweza onyexha movie bomba kabixa

  • @mr.headboy3398
    @mr.headboy3398 6 ปีที่แล้ว +35

    Movie zaa Madebe lazima niko na Kalamu na kakitabu..
    misemo hii lazima nitinge kitabu nikauze tzd. 🙋👌

    • @josephatbenardmwarabu6179
      @josephatbenardmwarabu6179 6 ปีที่แล้ว

      Naomba uniunge kwenye group LA WhatsApp naomba yangu hii 0679036003

    • @salmasaidi2875
      @salmasaidi2875 5 ปีที่แล้ว

      Absolutely correct
      Congratulations

    • @yusuframadhani444
      @yusuframadhani444 4 ปีที่แล้ว

      wewe ndo kama mimi hukaa na kidaftari naandikaga misemo

  • @jumahsuleyman3681
    @jumahsuleyman3681 5 ปีที่แล้ว +1

    Mm natokea njini Kenya namkubali sana lidai

  • @hashimrashidy3532
    @hashimrashidy3532 6 ปีที่แล้ว +1

    jitaidi kubadilisha mavazi msuli una

  • @ZingoSports
    @ZingoSports 6 ปีที่แล้ว +2

    Dah big up sana kwako kaka Madebe UHAKIKA najifunza vitu vingi sana kupitia wew

  • @antonytimotheo8984
    @antonytimotheo8984 6 ปีที่แล้ว +3

    mama m nakuomba ukienda kusal usimuombe mungu chochote ispokua muombe mungu busara na hekma ili viandane na saiz ako mana utakua huna tofaut na watot

  • @michaelrafael2327
    @michaelrafael2327 6 ปีที่แล้ว +1

    Du umetisha madebe

  • @troubleabhat2190
    @troubleabhat2190 6 ปีที่แล้ว +2

    Madebe uko top Allah akuzidishie kipaji chako usifike kote ulimwenguni na mafunzo yako bora

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah madebe, mwenyezi mungu atakujalia ufike mbali

  • @rehemarajabu3590
    @rehemarajabu3590 6 ปีที่แล้ว +1

    masha_allah hongera san madebe mov zako hazichoshi...zinafundisha nakuelemisha...asant san

  • @ngolosangyanundu9510
    @ngolosangyanundu9510 6 ปีที่แล้ว +4

    Bora Ukahishi Ukijua Kuwa Jana Nilikuwaje! LEO Nikoje! NA Kesho Nitakuwaje! Hongera Saaana Filamu Utafahamu Palipo Na Ukweli🤔😍😐

  • @boikamoha2227
    @boikamoha2227 6 ปีที่แล้ว +5

    Penda sanaa iko sawaa.
    Nikitambo nitizame video's zako ila hii nimeitizama online bila net kusumbua.
    Nimeipenda sana na kisa hikii kimenilenga sana ingali X wangu hajakufa na mm nipo hai.
    Naitwa Mohammed/ jina la kugiza filamu natumia MAGOBOLO....
    FROM KENYA MOMBASA RAHAA,
    KITAA CHA KONGOWEA AU KONGOZAIREE.
    THANKS GUYS..

  • @MrSam-vx7vl
    @MrSam-vx7vl 2 ปีที่แล้ว +1

    Daa hili janga linawakumba wengi sana, 30yrs😥😥

  • @allychaye3446
    @allychaye3446 6 ปีที่แล้ว +20

    Madebe unaweza sana hayupo wakukufikia kuigiza

  • @abdallahmuhammad4729
    @abdallahmuhammad4729 6 ปีที่แล้ว +3

    majuto ni mjukuu huja baada ya jambo.pole sana bba Shida

  • @zaitungalus5600
    @zaitungalus5600 3 ปีที่แล้ว

    Madebe upo vzr sana hongera sana

  • @neemakanzo3702
    @neemakanzo3702 6 ปีที่แล้ว +3

    madebe wewe noma 👍👍👌👌👌👏👏👏💓💓💓💓

  • @magrethandrew8014
    @magrethandrew8014 3 ปีที่แล้ว

    Aise mungu akuongezee iman brother made be

  • @zuhrakhamisi8335
    @zuhrakhamisi8335 4 ปีที่แล้ว +2

    Movie iko bomba ila kidini nivyema alipo jiua mwnyw kwasababu mzinifu anatakiwa apigwe mawe mpaka kufa so cha msingi nikujielewa unafanya nini kabla ya kutenda big up baba mzazi kwa msimamo wako naamini vijana wengi watajifunza kwahili nawasichana wenzangu pindi mkiona hamuwezi tena kustahamili nivyema tu kusema ili upate halali kuliko haram

  • @rozzsproqaia1411
    @rozzsproqaia1411 3 ปีที่แล้ว

    Munguakuzidishiemadebeuzidikutufunza

  • @adamali438
    @adamali438 6 ปีที่แล้ว +1

    Madebe lidai shukrani sana kwa movie zako Mungu akujalie maisha marefu uzidi kutufurahisha na kutuelimisha asanteni sana wahusika nyote

  • @nurumokiwa1082
    @nurumokiwa1082 2 ปีที่แล้ว

    Madebe hongera sana

  • @furahakhamiisi5130
    @furahakhamiisi5130 6 ปีที่แล้ว +2

    Movie nzuri nimeipenda bure Asante kwa wote mlioshiriki kwa movie hi!😘😘😘

  • @jimmymusti165
    @jimmymusti165 6 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaahhh Madebe we unajua, we ni bonge la actor babaake!!

  • @kasimupyudo1445
    @kasimupyudo1445 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyuuu jamaaa fundi sanaaaaa lidai

  • @al_huda_theguidance5034
    @al_huda_theguidance5034 4 ปีที่แล้ว

    Hizi movie za madebe zimenipa fundisho kubwa Sana, nazipenda kweli, big up madebe

  • @bosiabu6607
    @bosiabu6607 6 ปีที่แล้ว +15

    many many thanks for the movie I'm getting you from saudiArabia

  • @wahindiakwembe8066
    @wahindiakwembe8066 6 ปีที่แล้ว +1

    Madebe mungu azidi kukulinda tunapenda sana movies zako

  • @issamakau5841
    @issamakau5841 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa Madebe ndiye aliyenitia huzuni....Hongerani Sana Madebe na Team yako, jamii ya Africa Mashariki na kati inahitaji mafunzo mfano wa haya....Baba Shida big up sana kwa kuvaa uasilia wa Mababa wasokubaliana na mibadiliko haali.. Shukran sana

  • @agustinoandrew1200
    @agustinoandrew1200 6 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana Madebe, kazi nzuri....!

    • @obbymasinjisa4100
      @obbymasinjisa4100 5 ปีที่แล้ว

      Daaaah. Kweli wee ni Mwalim tosha wa jamii hongera sana kaka, by Oby Masinjisa

  • @paulvinnny8832
    @paulvinnny8832 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa kazi yako madebe

  • @maxphitina6212
    @maxphitina6212 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapo Mzazi nimekuerewa bila kuisahau Msungo umetisha kinoma kaza bunti usiyumbe ili kusudi ufike mbari zaidi

  • @isaactsongo664
    @isaactsongo664 3 ปีที่แล้ว +1

    Iyo sehemu ya pili ina nipa fundisho y'a kweli

  • @nabwikeadam8816
    @nabwikeadam8816 ปีที่แล้ว

    Hongera Kaka madebe

  • @hassansaid2518
    @hassansaid2518 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Madebe, kitumie sna kipaji icho.!

  • @MohamedAli-mr8oj
    @MohamedAli-mr8oj 4 ปีที่แล้ว +3

    Madeebeee! You're always killing ot at every given moment..🤗

  • @josephinemwanajuma1366
    @josephinemwanajuma1366 ปีที่แล้ว

    Mashallah movie mmja kali na safi sana

  • @juniorleonard9140
    @juniorleonard9140 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka mkubwa thamila ya ni nzuri sana

  • @alyantamla7383
    @alyantamla7383 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana iko vizuri

  • @musafiriibrahim9256
    @musafiriibrahim9256 4 ปีที่แล้ว

    Ongeza biidi bro nakukubali

  • @HalimaHalima-tq5jw
    @HalimaHalima-tq5jw 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah madebe Allah akupe umri na cnema zako za mafunz zinatufunza Wallah nakukubali ALLAH akubarik amiin 👏👂🙏✌️🤝💪👊💐🤗

  • @mushykichisi6492
    @mushykichisi6492 6 ปีที่แล้ว +2

    Saf sana madebe unajua sanaaa

  • @blaisekadhafi3559
    @blaisekadhafi3559 ปีที่แล้ว

    Madebe we ni noma mwanangu

  • @edwinwaithera8805
    @edwinwaithera8805 6 ปีที่แล้ว +1

    madebe lidai mashaili yako vizuri nakukubali.

  • @halmahomary8318
    @halmahomary8318 6 ปีที่แล้ว +6

    Nice one madebe

  • @usher_bambi94
    @usher_bambi94 6 ปีที่แล้ว +1

    Madebe kajua kulia humu ndan khaaah 😢😢😢

  • @chelimovictor1817
    @chelimovictor1817 6 ปีที่แล้ว +7

    Always the best Swahili movies....watching from Kenya i wish ungekua huku singekosa any episode uploaded

  • @cestyshambi9883
    @cestyshambi9883 6 ปีที่แล้ว +4

    safi sana madebe

  • @2nukhamis447
    @2nukhamis447 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah movie nzuri💞

  • @elishaemmanueli2768
    @elishaemmanueli2768 5 ปีที่แล้ว +1

    nothing to say but take this 💯💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @aboubakarishaban8534
    @aboubakarishaban8534 3 ปีที่แล้ว

    Mpo vizuri sana

  • @sadikkahindi8416
    @sadikkahindi8416 6 ปีที่แล้ว +1

    lidai the best actor for now

  • @ibrahimchongolo5495
    @ibrahimchongolo5495 2 ปีที่แล้ว

    Unafundisha mengi mungu akuinue

  • @خديجها-ه9ق
    @خديجها-ه9ق 6 ปีที่แล้ว +4

    Nice movies 😘😘😘😘 inshaAllah

  • @mgosiasambaa8746
    @mgosiasambaa8746 6 ปีที่แล้ว +2

    Ahsanyeni sana kwakutuwekea sehemu ya 2

  • @yussufhimid5676
    @yussufhimid5676 6 ปีที่แล้ว +9

    Five stars ⭐️

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 5 ปีที่แล้ว +1

    Innalilah wainnaileyhi rajiun ewe mola tujaribu kuepuka balaa na maamuzi mabaya

  • @zubeidahtamaratamara9382
    @zubeidahtamaratamara9382 6 ปีที่แล้ว +5

    In sha Allah thank u for loving story appreciate

  • @daudyedwady1605
    @daudyedwady1605 6 ปีที่แล้ว +1

    nzr sana na inafundisha

  • @mgl_africa
    @mgl_africa 3 ปีที่แล้ว

    Madebe utofauti wako na waigizaji wengine katika movie zako wewe unajua kumaliza movie na ikaeleweka tofauti na wasanii wengine wanashindwa kabisaaaa kumaliza story ikaeleweka

  • @mayeleamisi9483
    @mayeleamisi9483 6 ปีที่แล้ว +8

    Heri huwe Nama haduwi wengi kuliko Kuwa Nama Rafiki wengi😟😟😟😟😟😟

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 6 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi sana mzee , mimba za ototoni Tanzania zimezidi sana

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 6 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah penda sana madebe

  • @eddiezunda1066
    @eddiezunda1066 4 ปีที่แล้ว

    madebe uko juu sana niko kenya naangalia sana story zako zina mafundisho makubwa. mie ni mtanzania na mwalimu wa kiswahili huku kenya, misemo yako naikubali sana.... kazana kijana

  • @disslasanwa2695
    @disslasanwa2695 4 ปีที่แล้ว +1

    Suni haerewi

  • @tengezarizikibakari8999
    @tengezarizikibakari8999 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah madebe mungu akusidishie kipaji