Ushirikiano wa UDA na ODM umesababisha kuyumba katika muungano wa Azimio huku NARC Kenya ikijiondoa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Ushirikiano baina ya vyama vya UDA na ODM uliopelekea kuteuliwa kwa wanasiasa wanne wa ODM waliopendekezwa kujiunga na baraza la mawaziri, sasa unayumbisha meli ya muungano wa Azimio la umoja one kenya coalition huku NARC kenya- chama chake Martha Karua, kikitangaza kujiondoa kwenye muungano huo mara moja. haya yanajiri huku vyama tanzu vya muungano huo vikisema kuwa katu havitakubali nyadhfa zozote serikalini hata Rais Ruto akiwapa nafasi ya waziri wa masuala ya Afrika Mashariki au hata ile ya mwanasheria mkuu. haya yanajiri huku kinara wa ODM Raila Odinga naye, akisema kuwa chama chake, hakijaingia kwenye makubaliano yoyote ya kisiasa na serikali.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 3

  • @Elibuk
    @Elibuk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Western is officially DAP k

  • @abdiabassi8857
    @abdiabassi8857 2 หลายเดือนก่อน

    Wacha iyumbe Azimio lakini nchi utuliye.

  • @G-Frankstar1
    @G-Frankstar1 2 หลายเดือนก่อน

    Kunyamba...lol