Bado naendelea kujiuliza huyu Pepo aliyevamia Tanzania na kuondoa upendo, Amani, ushirikiano, na ushiriki WA pamoja ametoka wapi na lini, Inaonekana anaanza kuweza kupenya mioyo ya wananchi na pole Poole damu ikimwagwa ionekane kawaida, ili iwe kafara Kwa matambiko Yake, baadae massive killing, God save this our beloved country from to this devolish movement that's hovering upon our country..Amen,🙏
Kwa huu uchafuzi ni dhahiri kuwa,Ule msemo wa 4R uwe ndiyo mwisho kutamkwa tena.Huu uchafuzi ufutiliwe mbali,mfumo urekebishwe,vyote vikafanyike mwakani,inawezekana kabisa.✍️🏿
Mpaka sasa nimekisa kuwa na imani na vyama vyote vya upinzani, ni vema ikiwa Mh. Tundu Lissu akaanzisha chama kingine mbadala wa vyama vyote vya siasa sina shaka mapema mno kitapata wanachama wa kutosha, tumshaurini Lissu aanzishe chama kwani inaelekea CHADEMA baadhi ya viongozi hawana nia njema ya mabadiriko, hali hii iko hata huko ACT-Wazalendo.
Unefikis muda wa kuwasusia hata hao waliojipitisha hamna kuwapa ushirikuano wowote...ndo njia pekee na tusije ingia kwenye uchaguzi kama hatina tume huru haya ni mauaji kwenye uchaguzi...
Umeongea vzr mno. Wazee wameshakufa wote? Wale wazee wa Dar walishakufa wote? Nchi ya ajabu sana hii. Wote wako kimyaa. Vijana wamelaa wazee nao wamelala
Mimi sidhani kama itatokea niende kupiga Kura siku kukiwa na Katiba mpya inayofanana na Ile rasimu ya Mzee Waryioba nitakuwa msitari wa mbele kupiga kura.
Wewe Slaa anakuumiza nini kama unamchukia una comment kwa nini !!!!? Taahira wewe hajakuita unamchukia kwa nini usikae kimya wakati hakuhusu wewe !!!! Furaha yako wewe ni sisi WaTanzania tuibiwe kura !!!? Na huyo Samia wenu tumeshamkataa hatumtaki tena hatukumchaguwa.
Hii Inchi sijui tufanye nini hata wazee wamenyamaza kimya. Kwa nini wafanyakazi na wakurugenzi ni WACHWA WAKUBWA SASA WATAFANYA KAZI MPAKA LINI NA HAO WACHAWA WATAFIA KAZINI?
Mzee punguza povu la uchochezi. Uchaguzi wa serialised za mtaa na vijiji ccm wameshinda kwa asilikia 99. Huo wizi wa kula umefanywaje hadi ccm kufukia asilikia 99 ?? Pumzika mzee welakati wako umekwisha Au anzisha chama chako
Waeleze waelewe baba haki kweli hawa wenyeviti watawaongoza watendaji wasimamizi na muchengelwa waooooooo
Wazee wa aina hii ni mashine muhimu wakitumiwa vizuri. Ni wazee wanaojua mambo mengi kuhusu mustakabali wa Nchi hii. Hongera Dokta kwa fikra nzuri.
Ni kweli mzee silaa hatuwataki kuwaona ofisini
Baba mungu akubariki sana kama niushauri kwa wa Tanzania Elimu unatoa Sana mungu akukimbuke
Hamna haja ya Uchaguzi Tanzania ni kupoteza pesa.
KWANZA ACHA UNAFIKI MAANA WEWE HUAMINIKI TENA KTK JAMII? MWAKA 2015 ULIWASALITI WENZAKO CHADEMA KWA UROHO WA MADARAKA NA NJAA YAKO
Mungu anawona c.cm.
Bado naendelea kujiuliza huyu Pepo aliyevamia Tanzania na kuondoa upendo, Amani, ushirikiano, na ushiriki WA pamoja ametoka wapi na lini,
Inaonekana anaanza kuweza kupenya mioyo ya wananchi na pole Poole damu ikimwagwa ionekane kawaida, ili iwe kafara Kwa matambiko Yake, baadae massive killing, God save this our beloved country from to this devolish movement that's hovering upon our country..Amen,🙏
Tanzânia inaongoza Kwa ukatili África asa wakati wa kura
Nashauri kama kuna uwezekano Dr slaa aalikwe na Cdm kwenye kamati kuu kama sheria inaruhusu
Kwa huu uchafuzi ni dhahiri kuwa,Ule msemo wa 4R uwe ndiyo mwisho kutamkwa tena.Huu uchafuzi ufutiliwe mbali,mfumo urekebishwe,vyote vikafanyike mwakani,inawezekana kabisa.✍️🏿
Dr Slaa unaongea ukweli ambao mafisi em hawataki kuusikia. Ipo siku
Mpaka sasa nimekisa kuwa na imani na vyama vyote vya upinzani, ni vema ikiwa Mh. Tundu Lissu akaanzisha chama kingine mbadala wa vyama vyote vya siasa sina shaka mapema mno kitapata wanachama wa kutosha, tumshaurini Lissu aanzishe chama kwani inaelekea CHADEMA baadhi ya viongozi hawana nia njema ya mabadiriko, hali hii iko hata huko ACT-Wazalendo.
Kwahiyo Lissu akiwa na chama chake ndio atashinda u-Rais?
Wameiba mtaa, wamekosa pa kuuficha. Watazurura nao miaka mitano 😅😅😅
VIVA KOMREDI SLAA....MANENO MAZITO YA HEKIMA, BUSARA NA KIZALENDO KWA NCHI YETU.
From 🇧🇮 iyo kweli police njo wanawapa kiburi ccm
Nyuso zao zinaaibu lakini malipo ni hapa hapa duniani mungu yupo
Au hawajui tunawalipa mishahara. Basi tugome kulipa kodi ili tuone hao CCM kama wataweza kuwalipa mishahara.
Unefikis muda wa kuwasusia hata hao waliojipitisha hamna kuwapa ushirikuano wowote...ndo njia pekee na tusije ingia kwenye uchaguzi kama hatina tume huru haya ni mauaji kwenye uchaguzi...
Safi sana Mzee wangu Slaa ninakujua hunaga masihala kwenye jambo la msingi
Wazee kama huyu Taifa linawahitaji /linamhitaji !
Ñi aibukubwa hata hera zao za michango hatutoi
HIZO OPTIONS NDIYO ZIPI MKUU. THERE IS A GREAT NEED TO STRATEGIZE
Hyo ni hakili au matope, unalengo la kuvuluga chadema
Yaani Tanzania hii unamfuata mtu nyumbani unampiga mtu risasi watoto wake wanamuiuona baba amekufa ee Jizihirishe
Kwani mzee Dr. Slaa ndiyo amebakia mzee anayeumia ujinga unaofanyika katika Inchi hii?
Umeongea vzr mno. Wazee wameshakufa wote? Wale wazee wa Dar walishakufa wote? Nchi ya ajabu sana hii. Wote wako kimyaa. Vijana wamelaa wazee nao wamelala
Ila wee mzee ni wa ovyo sana kama sio unafiki wako wa hongo ya ubalozi tungekua hapa
Mze njaa kali sana .
Mbona ulipopewa ubalozi ulikaa kimya.
Huna msimamo, ni njaa tu na tamaa ya madaraka.
👎
Mimi sidhani kama itatokea niende kupiga Kura siku kukiwa na Katiba mpya inayofanana na Ile rasimu ya Mzee Waryioba nitakuwa msitari wa mbele kupiga kura.
Ujiga
Wanaopuuza maneno ya Mzee wetu hao wanamatatizo yaakili .
HII DHAMBI SIJUI NI MUNGU YUPI ATAWASAMEHE
MKO WAPI WAZEE WAADILIFU NA WAZALENDO WA NCHI YETU....MKO WAPI MZEE WARIOBA....MZEE BUTIKU NA WENGINE.
Kama utangulizi ni hivi picha litakuwaje mwakani??? Hili pepo la kijani litaondokaje Tanzania?
TATIZO NI BANDARI 😢😢😢😢😢DP WORLD HOYEEE
Tahira
Bandari imefanya nini hapa na wewe
@ WAULIZE TEC NA KITIMA DP WORLD 🌍🤩🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿HAWAJIELEWI
Hujatumia Cha Arusha kweli
@ KYELA 🤩🤩🤩🤩
Msiilaumu CCM jiulizeni mlijiandaaje kelekea uchaguzi acheni kulalama
Nyoko zako
Miaka mwingine ulikua unawasaidia kujiandaa
WEWE PADRI KAOMBE MSAMAHA KANISANI ULIKOASI WAKURUDISHE KANISANI UANZE KUHUBIRI..
Wewe Slaa anakuumiza nini kama unamchukia una comment kwa nini !!!!? Taahira wewe hajakuita unamchukia kwa nini usikae kimya wakati hakuhusu wewe !!!! Furaha yako wewe ni sisi WaTanzania tuibiwe kura !!!? Na huyo Samia wenu tumeshamkataa hatumtaki tena hatukumchaguwa.
@JesusJesus-ny1sm SAMIA MITANO TENAAA!! Padri mbabaishaji alifukuzwa kanisani
@JesusJesus-ny1sm KWANZA ALIWASALITI WAPINZANI MWAKA 2015 SABABU YA UROHO WA MADARAKA
Hii Inchi sijui tufanye nini hata wazee wamenyamaza kimya. Kwa nini wafanyakazi na wakurugenzi ni WACHWA WAKUBWA SASA WATAFANYA KAZI MPAKA LINI NA HAO WACHAWA WATAFIA KAZINI?
Ww unam2kana je kama ameuwawa kaka au baba yako ni sawa
Mzee punguza povu la uchochezi.
Uchaguzi wa serialised za mtaa na vijiji ccm wameshinda kwa asilikia 99.
Huo wizi wa kula umefanywaje hadi ccm kufukia asilikia 99 ??
Pumzika mzee welakati wako umekwisha
Au anzisha chama chako
Nenda kwanza shule utajua wameshindaje😢
Wewe mchawi mkubwa. Dr yupo sahihi.
Sasa wewe ndio twambie tufanyaje
Mpuzi pandiri unaogea.upuzi.acha.upuz
I
Singer nini Kibaya?
Mpuuzi ni wewe fala wewe
Huyu mzee huyu shukrani Sana kwa elimu ya uraia