HOFU NA WOGA VYATANDA GHAFLA MSIKITINI BAADA YA SHEIKH KHAMIS KHEIR KUZUNGUMZIA HABARI ZA QIYAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 279

  • @kamandapunzew1141
    @kamandapunzew1141 3 ปีที่แล้ว +14

    Mimi Ni mkristo lakini nawapenda Sana waislam haswa mashekh wasema kweli tupo pamoja shekh nimejifunza Sana

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +5

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @salimomary2726
      @salimomary2726 3 ปีที่แล้ว +3

      Karibu sana sana ndugu yangu katika uisilam upate elimu ya kiisilam na uishi kiisilam kwani uisilam ndio njia ilio nyooka

    • @salamandaso8748
      @salamandaso8748 3 ปีที่แล้ว +1

      Allah akujaalie usilim tukaingie pamoja pepon

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 3 ปีที่แล้ว +26

    Tunamuomba Allah atujaalie mwisho mwema: na kila mwenye kusema AMIN.

  • @saumuali5127
    @saumuali5127 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH atupe mwisho mwema Waislamu wote ulimwangun atusamehe dhambi zetu na Mtume wetu Kipenzi Muhhammmad (S.A.W) atuombee sote waislamu siku NZIITO ya kiama. Waislamu wenzangu tujitahidini kuacha maovu tutekeleze yale yote anyoyaridhia ALLAH SUBHANNAHU WATAALA na Mtume wake. Na kwa wale wasiokua Waislamu jisalimisheni haraka hamjachelewa njooni kwenye dini ya hakkkki muachane na upotofu uliokithiri
    Shekh wetu Alllah akuzidishie elimu na kila rehma za Alllah zikufikie

  • @muhammedkhamis1407
    @muhammedkhamis1407 3 ปีที่แล้ว +11

    Waislam Wenzangu Tumche Allah Tuombeni Mwisho Mwema Waumini Wenzangu Tupo Katika Foleni Mauti Yapo Njiyani Jamani😭😭☝️☝️🙏🙏🇸🇦🇸🇦🇵🇰

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Kabisa shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @muhammedkhamis1407
      @muhammedkhamis1407 3 ปีที่แล้ว

      🙏🤝

    • @nathanichemelako7983
      @nathanichemelako7983 3 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo wasio kua wasilamu unawaweka kundi gani basi sisi tumuomba Mungu wa iblahimu Mungu wa isaka Mungu wa yakobo na wa musa na wa dauda na wa sulemani na wa danieli na wa yesu ambaye jina lake ni yehova huyu ndiye Mungu atakae tuokoa ndiye Mungu wa kweli Soma zabuli 83:18

  • @muhunzijunior5153
    @muhunzijunior5153 3 ปีที่แล้ว +8

    Maa Shaa Allah, Allah akulipe kher na atujaalie mwisho mwema sore amiin.

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว

      Amiin.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @sadicksince2008
    @sadicksince2008 3 ปีที่แล้ว +11

    Namuona Shekhe Othuman Maalim Mwingine. Jazakallahu khairah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Naam shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @salimomary2726
      @salimomary2726 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata me namshuhudia wafanana sauti
      Masha Allah

    • @yussufamour9938
      @yussufamour9938 ปีที่แล้ว

      Allah amemuhitaji mja wake leo tarehe 07 November 2023. Allah amjaalie pepo kua ndio makaazi yake

  • @sleymohamed3825
    @sleymohamed3825 3 ปีที่แล้ว +6

    M/Mungu Atujaalie mwisho mwema (Amin)

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 ปีที่แล้ว +3

    Maa Shaa Allah na Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa Darsa Muruwa lenye Mafundisho na Mazingatio Makubwa sana.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @fatumaabedi3788
    @fatumaabedi3788 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaa Rab tujalie Muisho
    Mwema tusamehe mazambi
    Yetu sisi na watu wetu walisema
    Tutangulia Amin .

  • @yusufmohamed9843
    @yusufmohamed9843 3 ปีที่แล้ว +1

    jazakallahu sheikh khamis kisamamo cha siku moja ya hapa duniani huko ni miaka 50000 na jua kwenye utosi si mchezo watu siku hiyo wataomba hukumu itolewe mara moja ilutupelekwe huko tunapopelekwa kwani hicho kisimo chenyewe hatujuwi itachukuwa muda gani waislaamu rudini kwa ALLAH NATUJIKITE KIKWELI KILA ANAYEONDOKA HARUDI TENA AMEEN

  • @gamalashur5412
    @gamalashur5412 3 ปีที่แล้ว +5

    MAA SHA ALLAH ALLAH AKUZIDISHIE ELIMU NA UMRI TWAWEEL.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @shawejiramadhani2922
    @shawejiramadhani2922 3 ปีที่แล้ว +2

    Ya Allah
    Ya Kareem
    Ya rahman
    Ya Rahim
    Tujalie mwsho mwema na tujalie tupokee kitbu kuliani

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb 3 ปีที่แล้ว +3

    Subhana Allah mungu atupe hosni al khatima yaraabi

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @hamisimtemi3803
      @hamisimtemi3803 3 ปีที่แล้ว

      Allahumma Ameen

  • @Amina-rg2xb
    @Amina-rg2xb 2 หลายเดือนก่อน

    Allah atujaalie mwisho mwema tuseme amina

  • @nathanwakitaa8875
    @nathanwakitaa8875 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu anifishe katika uislam!! Amiin

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @NaimaAli-r4r
    @NaimaAli-r4r ปีที่แล้ว

    Allahu akbar subhanaallah innalilah wainnailayhi rajioun umetuacha shekh umeondok allah alitie nuru kabri lako mpaka siku ya kiama daima tutakukumbuka kwa mambo yako mema uliotuachia

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhanaallah yaarabi mwenyezi mungu atujalie tuwe katika watu wake wema alio wachangua yaarabi ameen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rizikijuma4109
    @rizikijuma4109 ปีที่แล้ว

    Allah ampe kauli thabit na amsamehe madhambi yake. Ameen ameen

  • @eliaskabate6791
    @eliaskabate6791 3 ปีที่แล้ว

    Swadakta, jazzakalah sheikh. Allah akuhifadhi duniani na akhera in shaa Allah

  • @hajjmohd3602
    @hajjmohd3602 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah turuzuku mwisho mwema

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 3 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah
    Darsa nzito kabisa
    Wachache wenye kuzingatia

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Naam shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @rajabuswalehe6598
      @rajabuswalehe6598 3 ปีที่แล้ว

      Sana kabisa shehewangu mashallah

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 3 ปีที่แล้ว +4

    Subhanallah Allah atusamehe yarabi shukran sheikh wetu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @tojotv6414
      @tojotv6414 3 ปีที่แล้ว

      @@zvpOnlineTv inshallah

  • @husseinali4631
    @husseinali4631 3 ปีที่แล้ว

    Mashallh mungu akuzidishie

  • @fadhilmwakea1259
    @fadhilmwakea1259 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah mungu atujalie mwisho mwema

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 ปีที่แล้ว

    Allah tujalie mwisho mwema yaarab

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 3 ปีที่แล้ว +12

    Nduguzangu Mimi sioni haja ya Muslim kujenga majumba n kusaka hela,siku zmeisha tena mtume alsema dalili kubwa na siku kwenda mbio sanaaaaaa,hamuoni?bdo mtu anatumainii tuu kusaka maisha badala ya kutafta akhera,waislamu mbona twfukuza duniaa? Dunia inafaida Gani,?Mola wetu ,nusuru waislamu,amiin

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdullillah kwa nasaha nzuri Allah atujalie mwisho mwema inshaallah

    • @rashadymuhamad6293
      @rashadymuhamad6293 3 ปีที่แล้ว +1

      Aaamiin

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @pbaallymwinyitv8527
    @pbaallymwinyitv8527 3 ปีที่แล้ว +4

    jazaakallahu kheyr mashaallah yani sheikh othman maalim namba 2

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @seifhafidhsuleiman3643
    @seifhafidhsuleiman3643 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah sheikh Khamis Kheri Allah akulipe kheri kwa ukumbusho

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @AhmedAmeirShaaban
    @AhmedAmeirShaaban ปีที่แล้ว

    INNALILAHI WAINA ELHI RAJUUN ALLAH AKUSAMEHE MAKOSA YAKO SHEIKH WETU AKUPE NURU KATIKA KABURI LAKO AMEEN
    DIE TODAY 07 NOV 2023

  • @sharifamohd9559
    @sharifamohd9559 3 ปีที่แล้ว

    mashaallah shekh Allah akulipe kheri inshaallah na atujaalie bihusnil-khatma

  • @hajaniacharamadhani8074
    @hajaniacharamadhani8074 3 ปีที่แล้ว +3

    Kama muulizaji huyu kakake Othman Maalim au maana naona kama namsikiliza Othman
    Allah Amhifadh Ampe Jannatul firdausi Amiin yaa Rabi

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @hydarsheha7198
      @hydarsheha7198 3 ปีที่แล้ว

      Pamoja ba cc in shaa Allah, Aammyyynn

    • @aliyomar2222
      @aliyomar2222 ปีที่แล้ว

      Hatukonae nae tena huyu juzi tu ameshatangulia

  • @feiz3180
    @feiz3180 3 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh anatoa khutba nzuri Naomba kama kuna mtu wa karibu amuombe azungumze kuhusu dhulma. Kwetu watu wanajisahau kwa kudhulumu wenziwao. Kuna mmoja kachukuwa nyumba 11 za msajili wa majumba. Jamani hizi nyumba zina wenyewe.
    Na mashamba ya watu wananyanganywa. na mengi mengine.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Tumepokea tutamfikishia

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @hamidamnyika5866
    @hamidamnyika5866 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nakulilia kwa mema na nisamehe ninapokukosea

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @mussasimba14
    @mussasimba14 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaarabbi tujalie mwisho mwema na tuongoze ktk kutenda mema

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @hamidaomar5137
    @hamidaomar5137 3 ปีที่แล้ว

    Msashanlaah jazaka nlaah heri

  • @raheemahongeramashaallah1443
    @raheemahongeramashaallah1443 3 ปีที่แล้ว +3

    mungu nipe mwisho mwema

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @bahiaahmed6644
    @bahiaahmed6644 3 ปีที่แล้ว

    Bismilah Mashallah mungu aku barik .

  • @aliySalum-j4c
    @aliySalum-j4c ปีที่แล้ว

    Innalillah waina ilaih rajiun leo tarehe 7/11/2023 sheikh khamis amefariki Dunia Allah amjaalie makazi mema pepon amin

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atujaalie tukaipate pepo yake inshallah

  • @جنيتكينيا
    @جنيتكينيا 3 ปีที่แล้ว +4

    Jazzakh Allahu kheir

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah atujaliee mwisho mwemaa

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 3 ปีที่แล้ว

      Aamin thumma Aamin

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @nooroman2535
      @nooroman2535 3 ปีที่แล้ว

      Asante shelkh

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 ปีที่แล้ว

      @@nooroman2535 Amiiin

    • @latifaali5874
      @latifaali5874 3 ปีที่แล้ว

      Aaamyn

  • @mukandamaakbar599
    @mukandamaakbar599 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah tuakuomba utupe muisho mwema. Allahumma amin

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran.Allah.akulipe kher daima.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH BARIIK always my brother Shukran.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @leemakonnengava9866
    @leemakonnengava9866 3 ปีที่แล้ว

    I love Islamic for sure

  • @mwanahamisijuma2763
    @mwanahamisijuma2763 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah allah atujaalie inshaallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online

  • @khairatsalum5183
    @khairatsalum5183 ปีที่แล้ว

    Allah akupe kauli thabit

  • @fatumaabedi3788
    @fatumaabedi3788 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah Mashallah

  • @salamamtoro5869
    @salamamtoro5869 3 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH atujaaLie Mwisho Mwema.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @smina8226
      @smina8226 3 ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @lailatiymohammed8475
      @lailatiymohammed8475 3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin yarabiy amiin

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว +1

      Allahumma aamin

    • @bindawood978
      @bindawood978 3 ปีที่แล้ว

      Maashaallah, Sheikh Khamis Kheir

  • @zuhurajuma4601
    @zuhurajuma4601 3 ปีที่แล้ว

    Tumuombe Allah atupe husnul khatma, kiyama kizito wallah. Shehe Mungu akubariki kwa ukumbusho

  • @AminaAmina-on3yf
    @AminaAmina-on3yf 3 ปีที่แล้ว

    Subhana Allah Allah Akbar😭😭😭😭

  • @fatma1farid159
    @fatma1farid159 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaarabi tujalie mwisho mwema

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @saidaraymond2246
    @saidaraymond2246 3 ปีที่แล้ว

    Subhana allah

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 3 ปีที่แล้ว

    Allah tujaalie mapenzi kwako na yote uyapendayo...na utupe sisi mapenzi yako

  • @sharifamohd9559
    @sharifamohd9559 3 ปีที่แล้ว +1

    wengine ndo kwanza bado wana habari za ukiristo tu licha ya vyote ivyo wanavyokumbushwa hawajuwi kama watakwenda kujuta na huyo yesu ambae wao wanamuabudia hawajuw kwamba naye kaumbwa na M.Mungu. Allah ambae ndo kaumba vyote vilivyomo mbinguni na ardhini wal hana mshirika

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว

    Subhan Alla 😢😢

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 3 ปีที่แล้ว

    Amin

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 3 ปีที่แล้ว

    Yarrab tuongoze na utujalie mwisho mwema amina

  • @amiryrajabu7058
    @amiryrajabu7058 3 ปีที่แล้ว

    allaah akuhifadh n mahasid n akupe mwuish mwem

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah s.w akulipe kheri Sheikh wetu.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @saalim-al-musallamy5508
      @saalim-al-musallamy5508 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/YQ6_Fpg4Cds/w-d-xo.html

  • @baturimlugu7357
    @baturimlugu7357 3 ปีที่แล้ว +5

    شكرن

  • @razikimustapha4731
    @razikimustapha4731 3 ปีที่แล้ว +3

    SUBHANA ALLAH

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว +2

    Laa ila illa llah.

  • @sulaimanhemed4045
    @sulaimanhemed4045 3 ปีที่แล้ว +1

    Inna lillah wainna ilyh rajiun

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 3 ปีที่แล้ว

    Jazakallah

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah atupe mwisho mwema

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @lailatiymohammed8475
      @lailatiymohammed8475 3 ปีที่แล้ว

      Amiin yarabiy amiin

    • @saalim-al-musallamy5508
      @saalim-al-musallamy5508 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/YQ6_Fpg4Cds/w-d-xo.html

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @thehunter5920
    @thehunter5920 ปีที่แล้ว

    Inna lilah waiina ilayh rajiun

  • @rukiagambere8050
    @rukiagambere8050 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nipemwisho mwema

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @abdallahissa2617
    @abdallahissa2617 3 ปีที่แล้ว

    Manshaallah na shuklan san

  • @hasbunakhamis487
    @hasbunakhamis487 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah

  • @maryammohammed7472
    @maryammohammed7472 3 ปีที่แล้ว

    Yarabi tupe mwisho mwema

  • @salimmwamwingo9397
    @salimmwamwingo9397 3 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah

  • @YusufKhan-gm8re
    @YusufKhan-gm8re 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashalllah

    • @saalim-al-musallamy5508
      @saalim-al-musallamy5508 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/YQ6_Fpg4Cds/w-d-xo.html

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @yussufamour9938
    @yussufamour9938 ปีที่แล้ว

    Leo tarehe 07 November, 2023 Sheikh wetu huyu ametangulia mbele ya Haki... Allah amrehemu na amjaalie makaazi meme peponi

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 ปีที่แล้ว

    😥😥😥😥😭🤲

  • @ahmadmussa8745
    @ahmadmussa8745 3 ปีที่แล้ว

    Mawaidha ya aina hii siku hizi hakuna, Siku hizi ni mwendo wa kutunishiana misuli na Kujifakharisha kwa usomi na kukosoana

  • @eddy8465
    @eddy8465 3 ปีที่แล้ว +1

    May the Almighty Allah Forgive us all

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +1

    😢😢

  • @aloyceizidoli6709
    @aloyceizidoli6709 3 ปีที่แล้ว

    Siku zamwisho.munguatatumia.hata ambao.walikuwa hawawezi kusemakweli.siku yamwisho watasema kweli hapondo mwishowadunia unapokalibia yesu analudi

  • @rehemarachide4085
    @rehemarachide4085 3 ปีที่แล้ว +1

    🤲🤲🤲🤲🤲😭🤲🇲🇿

  • @hanoxhhhh7601
    @hanoxhhhh7601 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 ปีที่แล้ว +3

    🙆🙆🙆😭😭😭😭💔💔💔

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 3 ปีที่แล้ว +5

    EEEH,,,, MWENYEZI MUNGU TUPE MWISHO MWEMA

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 3 ปีที่แล้ว +1

    Mcheni na Yesu Kristo kwani ndiye Njia Kweli na Uzima wa milele.

    • @daressalaamtanzania2736
      @daressalaamtanzania2736 3 ปีที่แล้ว

      Kaka adabu iwepo ktk maneno yako

    • @alhamdhulillahyaallah4013
      @alhamdhulillahyaallah4013 3 ปีที่แล้ว

      Wa kumcha ni Allah tu...na yesu ni mtume wake tu.zingatia hayo👆

    • @mohamedmape9341
      @mohamedmape9341 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna andiko Yesu alisema yeye Mungu tumuabudu

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว +1

      @Herick Anthony Waonyesha hauna heshima kabisa tubia ww Nabii Issa hana uwezo

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 ปีที่แล้ว

      Yani makafiri haya fichiki kabisa

  • @aliyomar2222
    @aliyomar2222 ปีที่แล้ว

    Hatuko nae tena duniani kijana mwenzetu juzi tu kaondoka

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว

    Hee

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @anwarabduullahrawahi2067
    @anwarabduullahrawahi2067 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏👂😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @sharifamohd9559
    @sharifamohd9559 3 ปีที่แล้ว

    mm nawausia tu kila ambae ataupata ukumbusho huu kama ni mkiristo basi asilimu tu na ausome uislamu vizur itakuw ni mweny kupata faida

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +2

    YESU KRISTO ndio njia ya kweli na uzima yoyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa tubuni kabla hamjachelewa kwa YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote duniani bila ya YESU KRISTO umeshahukumiwa kwenda Jehanamu tubuni na kumpokea na kumuamini YESU KRISTO

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 3 ปีที่แล้ว +3

      Mariana chriss
      Bahati nzur sisi waislamu tunamkubali YESU kama unavomkubali wew ..
      Ispokuwa sisi tunaamini hadi maneno yake .. maana yeye ndio amesema kuwa atakuja mtume baada yake jina lake ni Ahmad .
      Jee na wew unamkubali yesu pmj na maneno yake . Au unamuamini ktk jambo gan ??
      Kama kweli unampenda na kumuamin Yesu bas unatakiwa ufuate na kuamini kila kitu chake .
      Na lazma umfuate , hapo itathibiti kuwa kweli unamependa .. kwa7bu mweny kumpenda mtu lazma amfuate mpenzi wake ktk mwenendo wake , ktk tabia zake njema , ktk maneno yake mema , ktk mambo yake yoote .
      JEE KWELI UKO TAYARI KUMPOKEA YESU KWA MIKONO MIWILI KAMA SISI .

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@saidihaji3739 kama unamuamini na kumkubali YESU KRISTO kuwa ni BWANA na mwokozi unatakiwa ufanye kazi zake, kama wanavyofanya wanaomfuata KRISTO YESU,sasa we unasema unamkubali YESU KRISTO huku unabebelea Quran ,YESU KRISTO hausiani la Quran hilo ujue ,huko wanawadanganya kuwa issa ndio YESU KRISTO ,kumbe ni uongo wa shetani aitwaye allah, allah sio Mungu wa kweli ni shetani mkubwa audanganyaye ulimwengu wote na kuwapeleka watu jehenamu,

    • @iddiselemani5924
      @iddiselemani5924 3 ปีที่แล้ว

      We hujui soma biblia uelewe

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@iddiselemani5924 we ndio huelewi,unatafsiri BIBLIA kama udaku,

    • @ibrahimnyanga8971
      @ibrahimnyanga8971 3 ปีที่แล้ว

      Hahhh nimefurah kwel but na uzuni ndani yake huna ujualo kweny biblia wewee nitajie sehem yesu kwa maneno yake kajiita kua yeye ni mungu wakat nyie ndio mumempa huo umungu

  • @aminially5123
    @aminially5123 3 ปีที่แล้ว +3

    Ishara zote zinaonyesha kabla ya 2027 kiama kitakuwa tayari.

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 3 ปีที่แล้ว

      Duh

    • @Chemba67
      @Chemba67 3 ปีที่แล้ว

      Hhahahahahahaha........

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 ปีที่แล้ว +1

      Allah Ndio mjuzi zaidii na.wala sio mwanadamu
      Yy anajuaa na.wew hujui yy aanasikiaa na wew husikiii Allah anaona na.wew huoni,,,
      Kesho yako waijuaa huijui ila Allah
      Tuombee slaama na hatima ilio nzurii na Allah azichukue roho zet halli ya kuwa yupo radhii na sisi

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 3 ปีที่แล้ว

      @@Chemba67 umefurhik na nn

    • @Chemba67
      @Chemba67 3 ปีที่แล้ว

      @@jamilashabani8580 Nimefurahika na huu uhakika wa hii kauli kua 2027 kitakua tayari.......... 🤣🤣🤣🔥🔥🔥

  • @zaynabali6109
    @zaynabali6109 3 ปีที่แล้ว +1

    Yarrabbi atuongoze mwisho mwema.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว

    Kiama hakitabiriki na siku hiyo malipo ni papoha po. BIBLIA inafanana na kurani maidhui yake. Tuseme tu ukweli ni kujiungamanisha na nguvu za giza kuharibiana kila nafsi. Uchawi pia haukubaliki popoote ni giza torooooroooo hadi kiama.

  • @huszarb7865
    @huszarb7865 3 ปีที่แล้ว

    Camera Man mbovu

  • @nelisonmandela2364
    @nelisonmandela2364 3 ปีที่แล้ว

    Njooni kwa yesu tutafika

    • @yusufutitu1836
      @yusufutitu1836 3 ปีที่แล้ว

      Hivi ww Kama kweli una muogopa mungu kwa yesu Kuna mambo Kama haya yaongelewayohapa zaidi ya kukanyagisha .mafuta mfute muhamadi sikiliza vizuri ndiyo unijibu

    • @samiaathumaniali8869
      @samiaathumaniali8869 3 ปีที่แล้ว

      Yesu ni mtume wetu karibu kwa uislamu tunampenda zaidi Ila hatumuabidu illa Allah

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว +3

    Kasomeni ufunuo au kitabu kinachoitwa Daniel na siku zetu

    • @mdalamgir-gu9hu
      @mdalamgir-gu9hu 3 ปีที่แล้ว

      Kasome ww

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว

      Siwezi kukulaumu maana sio utamuduni wa mtu mweusi kusoma na kufatilia vitu MTU mweusi anapenda story

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Huyu nae katoka wapi

    • @mohamedpmussa8416
      @mohamedpmussa8416 3 ปีที่แล้ว

      mashaallah

    • @mohamedpmussa8416
      @mohamedpmussa8416 3 ปีที่แล้ว

      Allah atup mwish mwema innshaallah

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 ปีที่แล้ว +3

    Baas

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Naam

    • @alanami2846
      @alanami2846 3 ปีที่แล้ว

      Khadija umeisoma iyo qiama,, unasema baas shekh asiendelee

  • @samihasan1883
    @samihasan1883 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah atujaalie mwisho mwema

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @saalim-al-musallamy5508
      @saalim-al-musallamy5508 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/YQ6_Fpg4Cds/w-d-xo.html