Yanga Ilivyozomewa Baada ya Kuwasili Bandarini Kutoka Zanzibar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @cholokanji7139
    @cholokanji7139 7 ปีที่แล้ว

    wanamakombe mawili olikua huu msimu mpya ndomana ligi mpya mara hii simba moto

  • @hamischile4996
    @hamischile4996 7 ปีที่แล้ว

    duuu nyiii kweriii wataniiii

  • @alfoncekigoda9497
    @alfoncekigoda9497 7 ปีที่แล้ว

    Kuna wakat wanayanga wezangu mkubali matokeo cyo kusema mashindano vibaya kwa vile mmetoka jamaniii daaah huu ni mchezo tu

  • @saulmwakyusa1001
    @saulmwakyusa1001 7 ปีที่แล้ว

    YANGA my team

  • @selemaninkiko5714
    @selemaninkiko5714 7 ปีที่แล้ว

    Yanga muwe na huruma .....wenzenu msimu wa 5 huu hawana kombe. .waachien bas hilo

    • @malksandagila3308
      @malksandagila3308 7 ปีที่แล้ว

      SELEMANI NKIKO hata hilo hawapati na ligi kuu nje wakachambe kwanzaa

  • @atheistblood8568
    @atheistblood8568 7 ปีที่แล้ว +1

    wakimataifa noma kweliiiii

  • @tuntugoogle6641
    @tuntugoogle6641 7 ปีที่แล้ว

    vichwa zenj duu majanga yani wanazomeA halafu kombe lina pigwa apo kwao ata kulinusA tyu

  • @RASHIDRashid-wz2uo
    @RASHIDRashid-wz2uo 7 ปีที่แล้ว +1

    sasa wanapenda nini mbona wamekuja jazana hapo kama hawaipendi tumu hiyo hao ndo wakimatafa bwana

  • @rajabrajab3445
    @rajabrajab3445 7 ปีที่แล้ว +1

    yanga itabaki yanga tuuuuu..........!!!!!!

  • @ephraimathanas7833
    @ephraimathanas7833 7 ปีที่แล้ว

    namuona muro hapo...Mzee upo

  • @jumamwangu5190
    @jumamwangu5190 7 ปีที่แล้ว

    Ndo mchezo jamani kuweni na subira

  • @jereman8853
    @jereman8853 7 ปีที่แล้ว

    Nice

    • @joabchinyozi4461
      @joabchinyozi4461 7 ปีที่แล้ว +1

      tatizo hizo kaputula nyeusi mlizo vaa kwenye mechi msirudie tena

  • @hassanboi5906
    @hassanboi5906 7 ปีที่แล้ว +1

    mashabiki wametawliwa na ushamba mwingi

  • @selemaninkiko5714
    @selemaninkiko5714 7 ปีที่แล้ว

    KOMBE LA KUKU

    • @caroumeahmady6230
      @caroumeahmady6230 7 ปีที่แล้ว

      SELEMANI NKIKO #baba yko analo

    • @selemaninkiko5714
      @selemaninkiko5714 7 ปีที่แล้ว

      Caroume Ahmady #baba analo.....w gombania hilo hilo tu ndo saiz yko....msimu wa 5 huu huna kombe

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 ปีที่แล้ว +1

    Bora wasi zushe vita

  • @kayukayu6852
    @kayukayu6852 7 ปีที่แล้ว

    yanga itabaki kuwa yanga tu,, mnaozomea miaka 5 hamna kombe lolote sasa cjui ni akili au matope

  • @jamily_.99
    @jamily_.99 7 ปีที่แล้ว

    vitu mnavo andika n tunavi ona tofauti

  • @hamiscosmas4667
    @hamiscosmas4667 7 ปีที่แล้ว

    hiyo ndo yanga

  • @ummyissa4622
    @ummyissa4622 7 ปีที่แล้ว +1

    😃😃😃😃😂😂😂😂😂pole yao

  • @gampeter8164
    @gampeter8164 7 ปีที่แล้ว +1

    WAKIMATAIFAAAAA MWE DHAMBI KUFUNGWA SIO KUZURIII

    • @samomgore5356
      @samomgore5356 7 ปีที่แล้ว

      lakin mtambue wanalokombe lalig mfululizo sasa nyie mnazomea hatarangi yakombe mlidhasahau

    • @alphoncehillary9164
      @alphoncehillary9164 7 ปีที่แล้ว

      Gam Peter ushuziiiiiiiii

  • @kaselakwetu4713
    @kaselakwetu4713 6 ปีที่แล้ว

    Pigeni na makofi washamba hao

  • @saidshamad167
    @saidshamad167 7 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kila siku ushinde wewe tu, huo utani utanoga?

    • @josephmunna8577
      @josephmunna8577 7 ปีที่แล้ว

      Said S Hamad 😂😂😂😂😂 ingawa co yanga