MKUU WA MAJESHI ATUA MANYARA kwenye MAFURIKO NA HELKOPTA KUSIMAMIA ZOEZI LA UOKOAJI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2023
- MKUU WA MAJESHI ATUA MANYARA NA HELKOPTA NA KUSIMAMIA ZOEZI LA UOKOAJI
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Duh!!!pole kwa wote waliokutwa na majanga haya..
Yan sisi watanzania tutaingia motoni kwa kwa kukosa shukran,,,,,ameguswa lazima aende,,,, Allah amlipe
Yaani mtu mpk unashangaa, Kuna mijitu kazi yao kulaumu tu, haina ata chembe ya shukrani
Wafanyakazi wa shetani hao,,, Allah ametujalia serikali sikivu,,,,Lkn no appreciation,,,,jueni kuwa Mungu atalipa kwa kukosa moyo wa shukurani! binafsi nasema Mungu awape nguvu na wahanga awape nusura
❤❤
Huwezi kupima moyo wa mtu. Kaona umuhimu wa kwenda ww unakaa kusema anafanya siasa.
Maskini ni dili la tajiri na serikali zao,ona sasa
Nchi ya ovyo sana Tanzania 🇹🇿 ya Mavi kunuka watu wameshakufa siku moja imepita Leo mnaanza kuonyesha sura zenu , semeni helicopta ya kusomba maiti za ndugu zetu
Ebu nyamaza ww uliyefika mapema umesaidia nini mnajifanya kila kitu kutia neno ili mjulikane huna lolote mpuuzi ww
@@Abubakar-gk9sv mbwa nyie nchi imewashinda mmeacha watu wafe Na watanzania Na dunia wameona hilo! Bibi yenu yuko Dubai anakula bata kila siku kusafiri kwenda Dubai kwa waarabu zake
Bongo bwana acha ninyamaze mdomo koma
Basi huko mvua imebonda ya hatari sana 😪😪
Nikimaliza kucommet nacho fikiria nitakuta nishafungwa
Nchi kila kiongozi ni msafara wa magari ya kifahari ni matumizi mabaya ya Kodi zetu , Rwanda hakuna ufisadi huu
Yote Hayo Gigy money kayataka wallahi
Naogopa kukomenti
Kufanyaje Sasa?
Yani hata jeshi letu ni waharbifu tu wa matumiz mabovu ya hela za uma tu wameshiba tu hawa
Tafta pesa upunguze stress na chuki
Atua na ndege au siyo ...
Wewe ulitaka atue na nn?
Du Maafa yalikua juz Helicopter zinaenda leo Africa tuna viongozi wala bata tu maneno mengi vitendo hakuna Ivi uo mkutano alio enda kizimkazi na mawaziri wake una maana gn?zaid ya kupoteza mabilioni izo ela zingesaidia kununua fire Helicopter za uowokozi
Siasa kila kona
Yaani wewe Acha tu
Sasa mnafata nini na izo migari yenu mnaenda kuokoa nini
Ulitaka alale afu we ndo utoe hela zakurekebisha izo barabara
Duh msafara una gharama kubwa kuliko gharama za uokozi na matibabu kwa walio dhurika
😢
Ulitaka atembee kwa miguu kijana, tafta pesa upunguze makasiriko
Uyo siyo kiranja wa darasa brother