KWANINI VALENTINO MASHAKA ALICHAGUA KUCHEZA SIMBA?/"SIKUAMINI/SIKUPATA USINGIZI/NI MUDA SAHIHI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • SUBSCRIBE NOW:
    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App Store - apps.apple.com...
    📱 Play Store - play.google.co...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC TH-cam Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

ความคิดเห็น • 39

  • @ProsperSantos
    @ProsperSantos หลายเดือนก่อน +13

    Kucheza Simba nindoto ya watu wengi 😂 ila upande wa pili ninjaa tupu kilasiku mahakamani.....

    • @jamesmwilima1358
      @jamesmwilima1358 หลายเดือนก่อน

      Hahahahaha😂😂😂😂

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u หลายเดือนก่อน +5

    Saw dogo umeongea vizur sana simashabiki tuko pamoja wakati wote Simba nguvu moja

  • @ZachariaMwita-bu7rw
    @ZachariaMwita-bu7rw หลายเดือนก่อน +4

    💯💯💯💯👏

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +2

    SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Luckymtz19
    @Luckymtz19 หลายเดือนก่อน +1

    Come on mashaka unaweza
    Simba nguvu moja

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 chezea kuajiliwa na kusajiliwa timu / club kubwa jamaa hakulala yaan hongera Sanaa Mashakaa utakula bata Simba SC wee piga mpira funga migoli jitume utaona utamu wenyewe

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 หลายเดือนก่อน +3

    Well come Vallentine

  • @JacksonBella-bh1yp
    @JacksonBella-bh1yp หลายเดือนก่อน

    Big up mwanang kuse labanda

  • @Nachomaally
    @Nachomaally หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio ubaya ubwela Sasa unawahi kufika kwenye tukio❤❤❤❤❤❤

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli

  • @felixmgaya8487
    @felixmgaya8487 หลายเดือนก่อน +4

    DAH SHIDA THOBIAS MASWALI YAKE YALE YALE TUNAOMBA UBUNIFU ENEO LAKO BROTHER FATILIAGA HATA ENTERVIES ZA WENZETU ULAYA DAH CREATIVITY 2/10

    • @user-habarinamichezo
      @user-habarinamichezo หลายเดือนก่อน

      Kla mtu na majb yke Acha aulze t majb hayafnan xax untk aulze nn zaid ya movement alokuw nayo now jifunze ndo uxme

    • @SangaliPower
      @SangaliPower หลายเดือนก่อน

      Swali laweza kuwa moja ila kila atakae ulizwa anakuwa na jibu na ukitaka kugundua hilo fuatilia interview zake alizo uliza swali moja je majibu no yanafanana??

  • @franccoz94
    @franccoz94 หลายเดือนก่อน +2

    Pigaaa kazi kijanaa tunawategemeaa

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน

    SAFI SANA KIJANA NENDA UKAPAMBANE SANA UTAKUWA VZR

  • @YustinaMartin
    @YustinaMartin หลายเดือนก่อน

    Wana SIMBA TUNAKUTEGEMEA❤❤❤❤MY

  • @MussaLepani-fk9yj
    @MussaLepani-fk9yj หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @omeganthale3220
    @omeganthale3220 หลายเดือนก่อน

    Nguvu moja 😊

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 หลายเดือนก่อน +3

    Mhh

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 หลายเดือนก่อน

    Yanga njaaaaaaa kali

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 หลายเดือนก่อน

    Dogo sasa pambana usirizike tu kuingia Simba, pambana sasa ufanye vizuri usizoee

  • @yusuphitambu3405
    @yusuphitambu3405 หลายเดือนก่อน

    Huyu dogo ndio atakuwa stricken tegemeo Simba

  • @judithkisavanga7244
    @judithkisavanga7244 หลายเดือนก่อน

    An Simba n kilaa anatamanii kucheza 😅😅😅fa masialaaa kwenda dubaii nn mara misrii😅😅😅😅

  • @HalsonSiame
    @HalsonSiame หลายเดือนก่อน

    Nimetoa machozi kwa ajili yako dogo kweli kwenye mafanikio kina mambo mengi Pambana sana

  • @ArafaMkomwele-vi2hp
    @ArafaMkomwele-vi2hp หลายเดือนก่อน

    Ikibidi kifsnya fanya nenda kwa mwamposa bwana au fanya daawaa

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 หลายเดือนก่อน

    DOGO UKIPATA NAFASI TUMIA UWE MTULIVU ENEO LA MWISHO UTAFANIKIWA SANA. KUWA MTULIVU TU ENEO LA MWISHO.

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga หลายเดือนก่อน

    Thobi jitahidi uwe unafupisha maswali yan uliza maswali ya msing interview iwe fupi na nzuri iwe imebeba kila ktu

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 หลายเดือนก่อน

    Huyu dogo namtabiria atamtoa Fred pale 9

  • @iddykivu050
    @iddykivu050 หลายเดือนก่อน

    Piga kazi kwa Bidii Dogo Sisi tupo Tunakusaport

  • @DM_15
    @DM_15 หลายเดือนก่อน

    Huyu chalii ana fanana namuigizaji wa filamu kutoka India anaigizaga kama jambazi na meingine yule mkolombia aliekwenda jela kwa kuuza vitu vibaya

    • @storytime1204
      @storytime1204 หลายเดือนก่อน +1

      nimemjua huyo muigizaji wa kihindi unayemfananisha naye anaitwa Manoj bajpayee

    • @DM_15
      @DM_15 หลายเดือนก่อน

      @@storytime1204 😂😂😂

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el หลายเดือนก่อน

    Tunasubiri tumuone

  • @simongrayser5784
    @simongrayser5784 หลายเดือนก่อน

    Wachezaji wengi wa kibongo sio stories teller

  • @smweleza9613
    @smweleza9613 หลายเดือนก่อน

    UBAYA UBWELE

  • @lugwaja
    @lugwaja 20 วันที่ผ่านมา

    Move on from using mike..

  • @AletasMbawala-si5kj
    @AletasMbawala-si5kj หลายเดือนก่อน +2

    Pig kaz mwanang