MURO: TOBAAH!! MO KWELI KAAMUA KAMFATA KIUNGO WA SHOKA SOUTH AFRIKA/ REKODI ZAKE ,UMRI NA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wakumnusheni Simba wameisahau namba 2. Kapombe kachoka na Mwenda hatoshi. Na huo ndiyo uchochoro unaoifelisha Simba.

    • @MariamOmary-uq3rs
      @MariamOmary-uq3rs 3 หลายเดือนก่อน +3

      kwani wamekwambia wamemaliza usajili

    • @raphaelkyando1094
      @raphaelkyando1094 3 หลายเดือนก่อน +2

      Amekuja abdulrazack anacheza 5 '3'na 6

  • @AllyMuhando
    @AllyMuhando 3 หลายเดือนก่อน

    MO anashusha vifaa utopolo wamekazana kusajili wanao achwa simba sijui wamechanganyikiwa

  • @MageleFidelis
    @MageleFidelis 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sajiri upande wa kapombe kweli upande huko ndiyo unatupa presha cc mashariki wekeni beki wa maana mwenda naye hatoshi tumefungwa sana kupitia upande huo

  • @richardvallerian1003
    @richardvallerian1003 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtangazaji hataki kuwa mtangazaji, anaongea kuzidi aliyekuja kuhojiwa,
    Dakika tano za mwanzo zote zinapigwa story ambazo hazihusiani na subject

  • @alitante4279
    @alitante4279 3 หลายเดือนก่อน

    Mbn unaongea san we mtangazaji bc uhojiwe ww