ROSE MUHANDO~YESU NI MWAMBA(OFFICIAL MUSIC)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024
  • เพลง

ความคิดเห็น •

  • @hopenrejoice9945
    @hopenrejoice9945 4 ปีที่แล้ว +1

    nakupeda tuuu

  • @mirranziyovina1245
    @mirranziyovina1245 3 ปีที่แล้ว +1

    wewe ni shida kwakweli acha tu ss tufaidi hukuuu weweeee hapo hapoo hapoo agaa agaaa

  • @nicodemusongeri6855
    @nicodemusongeri6855 2 ปีที่แล้ว +2

    Rose muhando, you're the best, l rilly love you, you inspire me, through your songs, am healed. Be blessed always

  • @dianaalonazi9103
    @dianaalonazi9103 4 ปีที่แล้ว +1

    Na usi muwukumu mwenziyo kabwa na wew hawuja ukumiwa. Anaye ukumu ni mungu tu. Utawukumu mutu hawuta fahamu mahali ali tengeneza na mungu wake. Hongera tena rose kwa kusi mama tena wana damu wamesema mengi kwa jili yako. Ila mungu atabaki kuw mungu mana yeye njo anaye ukumu

  • @godfreychimasia4487
    @godfreychimasia4487 4 ปีที่แล้ว

    Imba mama ,mungu alikutuma

  • @brianbigo3862
    @brianbigo3862 3 ปีที่แล้ว

    Bravo Rose Mhando may you live long

  • @julianyawanga5322
    @julianyawanga5322 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Bure,from 254.

  • @dianaalonazi9103
    @dianaalonazi9103 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye kipaji cake haki yendagi fasi hata shetani hayinuke👏

  • @leyesusalashtuyaii7442
    @leyesusalashtuyaii7442 4 ปีที่แล้ว

    Amina ubarikiwe sana mtumishi ya Mungu

  • @jameskamau8417
    @jameskamau8417 4 ปีที่แล้ว

    Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunawema Hakika yesu ni mwamba

  • @godfreychimasia4487
    @godfreychimasia4487 4 ปีที่แล้ว +1

    Mum tuimbie mpaka wakati mungu mwenye kukuumba atakuja kuamua,sio binadamu,tunapenda nyimbo zako hapa Kenya,hakuna MTU yeyote ataiga mfano wako labda mtoto yako mwenyewe,

  • @marynyamvula9159
    @marynyamvula9159 4 ปีที่แล้ว +1

    Rose Mungu alikubariki na sauti ambayo haija fananishwa na ya mtu yeyote na penda sauti yako venye iko na mvuto fulani....

  • @albertk5323
    @albertk5323 4 ปีที่แล้ว +1

    Amin kazi mzuri utukufu kwa mungu, Moto umewaka

  • @martinwambua1057
    @martinwambua1057 4 ปีที่แล้ว +1

    Rose mugu akue nawe

  • @bensammwema9391
    @bensammwema9391 4 ปีที่แล้ว +1

    God is great.Kenya loves Rose.

  • @marianesamweli9487
    @marianesamweli9487 4 ปีที่แล้ว

    Nice god bless u

  • @kanyanafrancine6342
    @kanyanafrancine6342 4 ปีที่แล้ว

    Rose ubarikiwesa tunakupendaaa

  • @tinamutukukinyili3696
    @tinamutukukinyili3696 4 ปีที่แล้ว +1

    Akupenda Bure Dada.

  • @roselynemutash9396
    @roselynemutash9396 4 ปีที่แล้ว

    Woooooow,...... Wimbo mutamu keep going mama rode

  • @fhilisteranjao217
    @fhilisteranjao217 4 ปีที่แล้ว +2

    Wacha mungu aitwe mungu songa mbele adui wako waibike

  • @birungiprossy6466
    @birungiprossy6466 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow,so inspiring songs may God bless u rose

  • @ivystar3129
    @ivystar3129 4 ปีที่แล้ว +2

    Napenda nikuone ukicheza aki Rose nakupenda Bure....hata wakutese hawatoweza!Mungu yu pamoja nawe....younger lady from Kenya near Tz border.

  • @precious5277
    @precious5277 4 ปีที่แล้ว +2

    Weuweeee mama rose MUNGU akisema NDIO hakuna wakupinga😘😘😘😘😘😘😘😘😘unapendwa mama wa weeengiiii asiye na dharau collabo wa weeengiiii, mentor wa weeengiiii,,songa SONGA mbele mama muhando ,,eish shetani akanyagiwe chini 💪💪💪💪💪💪💪💪❤❤❤waseme mchana usiku wanang'orota huku wabubujika kwa nyimbo mpya asubuhi na mapema kuwaibusha, huh proud of you ROSE go go go gooooooooooooo sing sing sing until walevi wacheze na kumkubali huyu YESU 😘😘😘😘💪💪💪

  • @happypeter5955
    @happypeter5955 4 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa sanaa na nyimbo zako mjoli wa bana,,,, Nakupendaaagaa bure 😘😘😘😘

  • @rosewayela9457
    @rosewayela9457 4 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma tamu ya yesu,mungu azidi kuainua,kitimutimu.

  • @francophiri5330
    @francophiri5330 2 ปีที่แล้ว

    Your the best amen.

  • @julianachipanjilo2189
    @julianachipanjilo2189 4 ปีที่แล้ว

    Mpendwa Rose, Napenda sana nyimbo zako, zinanibariki sana. Mungu azidi kukuinua na kukutumia tuzidi kupata nyimbo nyingi nyingi ili watu tumrudie Mungu.

  • @dorcusmrutu3216
    @dorcusmrutu3216 4 ปีที่แล้ว +1

    MWAMBA MWAMBA YESU NI MWAMBA

  • @haningtonmusah742
    @haningtonmusah742 4 ปีที่แล้ว +2

    God bless you rose very nice song

  • @esthermoraa4342
    @esthermoraa4342 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice song mama

  • @muhozamerci1110
    @muhozamerci1110 4 ปีที่แล้ว +1

    Jina rake ni mwamba nyimbo nzuri sana ❤mama muzuri Muhando asante 👍and thank you so much 💞yesu ni mwamba 🙏🙏.

  • @mondaonyancha8823
    @mondaonyancha8823 4 ปีที่แล้ว +1

    Simba wa kike kaa kwetu Kenya, usirudi Tanzania. Tunazidi kupokea baraka.

  • @hyilnematangi768
    @hyilnematangi768 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakupigania hadi mwisho.

  • @barasaronaldnyegenye6152
    @barasaronaldnyegenye6152 4 ปีที่แล้ว +6

    Uganda loves you ROSE MUHANDO.
    We need a concert this side Queen of Gospel music.
    🤗🤗🤗

  • @gracenziavake2957
    @gracenziavake2957 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada mtumishi Mungu aku bariki

  • @jacksonlucasnyashebe5192
    @jacksonlucasnyashebe5192 3 ปีที่แล้ว +1

    Minene

  • @belito1270
    @belito1270 4 ปีที่แล้ว

    From Spain much love Rose

  • @violinekavaya6081
    @violinekavaya6081 4 ปีที่แล้ว +1

    A blessing indeed..... Be amongst the chosen ones

  • @virginiahmutiso7143
    @virginiahmutiso7143 4 ปีที่แล้ว +1

    Congrats Rose.Restoration is your portion in Jesus Mighty name.

  • @muhodariiranzi1117
    @muhodariiranzi1117 4 ปีที่แล้ว +1

    Yesu nijiwe kweli mama

  • @danielkanika4121
    @danielkanika4121 4 ปีที่แล้ว +1

    Baraka tele mama

  • @jacksonlucasnyashebe5192
    @jacksonlucasnyashebe5192 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni

  • @bedigeneyingu1692
    @bedigeneyingu1692 4 ปีที่แล้ว +7

    When Jesus is glorified, how beautiful! Rose is our praise and worship leader. We don't all have the gift of putting words and tunes together like that for Jesus but when you who is gifted does, we join you around the throne of grace. Thank you very much. Your ministry deserves our support and we shall.

    • @jameskilonzo2322
      @jameskilonzo2322 4 ปีที่แล้ว

      You can also watch mine James kilonzo

  • @anoldmuganyizi4254
    @anoldmuganyizi4254 4 ปีที่แล้ว

    Woooow Penda Sana wewe Rose Mhando😍😍😍😍

  • @fistonnkndegea4629
    @fistonnkndegea4629 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama nyimbo yako nikali sana nakupend san from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 hongera sana kwanyimbo yako

  • @christinewavinyamwanzia6688
    @christinewavinyamwanzia6688 4 ปีที่แล้ว +3

    Wao...nice song mum

  • @janeferkerubo4443
    @janeferkerubo4443 4 ปีที่แล้ว

    Lovey song mungu akuongesee nguvu mum usidi kumtumikia wakenya twakupenda sana

  • @melchizedeknyarora2490
    @melchizedeknyarora2490 4 ปีที่แล้ว

    Amen always apleasure reading and playing your Songs.. Mungu akubariki na akulinde Sana katika Yote..

  • @muhodariiranzi1117
    @muhodariiranzi1117 4 ปีที่แล้ว

    Uendeleye kubarikiwa tunakupenda Sana 👏

  • @denlisonmwangangi4878
    @denlisonmwangangi4878 4 ปีที่แล้ว +2

    Baraka tele,,, 🇰🇪🇰🇪

  • @damarismbeke
    @damarismbeke 4 ปีที่แล้ว +1

    I love u ...#kenya

  • @hshshshddjjdd8544
    @hshshshddjjdd8544 4 ปีที่แล้ว

    I love you mummy 😍😍😍

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 4 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana

  • @mohamedmsafiri5131
    @mohamedmsafiri5131 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Mtumishi wa MUNGU by James Donald Nyantanero in Rockcity Mwanza

  • @liliancheruto9657
    @liliancheruto9657 4 ปีที่แล้ว +2

    God bless you I love you

  • @josephlaizer6959
    @josephlaizer6959 4 ปีที่แล้ว +1

    Great song blessed more💓💓💓

    • @gladysnaliaka7985
      @gladysnaliaka7985 4 ปีที่แล้ว

      God bless you 🙂😉😉😉😉 Aki yeye mwamba

    • @josephlaizer6959
      @josephlaizer6959 4 ปีที่แล้ว

      @@gladysnaliaka7985 ndy kwel yy ni mwambaa

  • @jameskilonzo2322
    @jameskilonzo2322 4 ปีที่แล้ว +2

    Shine forever mum

  • @romainroki2841
    @romainroki2841 4 ปีที่แล้ว +1

    Ok

  • @alexjuma7603
    @alexjuma7603 4 ปีที่แล้ว +2

    Blessed

  • @faithkamauqueen9059
    @faithkamauqueen9059 4 ปีที่แล้ว +1

    💃💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌

  • @evangelinejepkurui4307
    @evangelinejepkurui4307 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @felexulomi7793
    @felexulomi7793 4 ปีที่แล้ว +1

    Saf