Nashukuru sana dada mm nilijua low porosity kumbe ni high porosity😢😢 nisaidie protein treatment nitafanya baad ya wiki ambayo itanipa matokeo ya uharaka ambay niyakutengeneza
Owww pole sanaaa. High porosity inahitaji protein na unyevu wa kutosha ili isiharibike zaidi. Tumia tui la nazi na mayonnaise. Weka kila baada ya wiki 2 dear
Asante sana ata Mimi nilikuwa najiuliza nakwama wapi mbona naweka maji nywele napaka mafuta kumbe nilikuwa nakosea Asante sana zangu low porosity ninamatumaini sasa zitarefuka.
My dear Grace mii hapa kwenye methods na aina ya nywele nmeshindwa kuelewa bas kama mna group hata WhatsApp niweke labda naweza kuelewa napenda urembo jmn 😢

Asante dada, napataje hizo bidhaa za nywele?
Meseji za whatsap huwa haujibu kwa Wakati Grace
Ila jamani mnatuchanganya
Pole dear usichanganyikiwe. Ukisikia kitu fanya uchunguzi kwanza ndipo utumie.
Nakutuvuruga juu😂😂
Kwan ukinyunyuzia maji tu kuna ubaya?
Asante dadaa naomba namba yako plz
Karibu sana 0764986838
Set nzima ya bizaa zenu shigap nipe na namba
Karibu sana mamy 0764986838
Kwakweli Mambo ni mengi kila mtu anakuja na aliloamuka nalo
Ni kweli dear ila mengi ni ya muhimu. Ndio maana unapaswa Kuchinguza vizuri
Nywele yangu inaelea juu
Hio ni low porosity hair. Ipe huduma ya low porosity hair dear utafurahi
Jamani nilikua sijui
Navipi kuhusu stimingi izi za kutengeneza za asili nitumie ipi maana Mimi hua natengeneza Ile ulioelekeza ya bamia ndizi asali na mafuta ya mnyonyo
Nope jibu inafaa
Tunashukulu sana kwamafunzo yako dada💪
Asante sanaa dear🥰