HTS:IZRAEL WANA MASLAHI NDANI YA SYRIA|HESBULLAH HAIPO SYRIA WANATAKA KUPIGANA NA NANI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @philiplugalia3724
    @philiplugalia3724 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Adui wa Syria si Bashar al Asad Bali ni magharibi, uturuki na Israel

  • @Adan-mc2nb
    @Adan-mc2nb 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Takbir Allahu Akbar

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Sasa ww pambana na Israel si ulimuondoa Assad 😂😂😂

    • @AllyGibu-cz2vo
      @AllyGibu-cz2vo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @JosephMakwara
    @JosephMakwara 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huyu jamaa a na Israel anajua kinacho indelea anawakaanga ndugu zake wasyria,

  • @MaryamKhamisi-d7f
    @MaryamKhamisi-d7f 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Lengo la kuangushwa kwa asaad ni mageuzi ya waasi kutaka watu waishi kwa uhuru na amani. Sasa Israel tuitafsiri vipi hapo.

  • @yakubaosman7439
    @yakubaosman7439 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    manyumbu. yamekosa umoja.

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wanajuta sasa mlipewa silaha sasa mnaibiwa na tayari meli ndege na silaha zote zimeshwa haribiwa

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    HTS ndio israel na america LBQT humuwezi kusema uongo tena israel inachukua syria kama plan ilivyo pangwa

  • @MudyBoss
    @MudyBoss 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wapumbavu nyie mshatumika tayari bado muhuwawe tu

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siriya mtakoma
    Mliya taka wenyewe Ezlael na hapo itanyakua
    Maana yenyewe haizuiiwi na umoja wa mataifa zero au zero hakuna umoja wA mataifa 'siriya itakua kama libya na iraq na kwingineko mliyataka wenyewe kuwa
    Sikiliza mashoga ☝️☝️☝️ subili hadi utaikimbia sriya iongozwe na netanyahu

  • @IsmailJuma-t3n
    @IsmailJuma-t3n 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hana maisha unashatakia umoja wa mataifa uislam hamna hapo

  • @rahmaihucha8577
    @rahmaihucha8577 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Netanyahu anajikuta yeye nani kuvamia kila nchi?? Hapo labda ana mashuushushu wake huko kama ilivokuwa Iran wakati anauawa kiongozi wa Hamas Hanniye

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kiongoz ni miongon mwa maragiki wa Israel .uwongo

  • @bashirksabu3540
    @bashirksabu3540 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ujinga kitu kibaya sana. Ujinga haujamuacha mtu salama. Leo ndio unajua kuwa Israel inamasrahi yake ndani ya Syria.