Namuelewaga sana huyu baba yani siwezi hata ku explain kwanza nyimbo zake zina ujumbe ambao kama huna akili nzuri huwezi muelewa yani hiki ni kichwa tena sio kichwa tuu bali kichwa jazbendi
mjomba nimuhimu kumtafuta mtalamuu wa kiswahili ili kuwaekeni sawa ktk kuzitamkaa herufii vizuri kwani kwenye r unaweka l kwenye L unaweka R sasa hii huondoa ile ladhaa ya neno ushauri wangu ndio huo mjomba ilaa mashairi nimeyapendaa
Daaa! Mrisho Mpoto nampenda sana, kama unampenda gonga like tuende sawa
Niko apa baada ya kifo cha dida 😢...Allah Amrehemu # mjomba maneno yako matamu 🎉🎉🎉🎉
Kama unamkubali mjomba acha kuvunga vunga gonga like yako hapa
wilonja hatua ujuzi hauzeeki !!! Safi
Hatar
Big up uncle mpto
Ww mkal
Oyoo
Hiv dida siuwe unajistir kama hivyo kila siku yan kwakwel mashaallah umependezaaa sanaaaaaanaa zaid ya saaanaaa
Tatizo la watangazaji hajamaliza kujibu swali moja ashaulizwa lingine mnaboa sana!!
Yuko poa sana Huyo Mjomba namuelewa tangu mwanz wa safari yake ya muzik
Kali sana
Nakubaliana na ww wa Tanzania 🇹🇿 wanatakiwa wasafishwe vichwa sio miguuu 👏🏾👏🏾👏🏾instagram ime wachafua vichwa kweli
Mjomba afanana na Makhoha wa Kenya pia, bro from another mother
Mjomba kwenye kuzima simu hapo nimeielewa sana 😀😁😀😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 cheka sana
Ahh! Mashairi balaa, Mrisho Mpoto swahili King ndan ya miondoko ya Afrika 😁😁😁😁
harmonize hawez kumrudisha mjomba kwenye game maana mjomba yuko vizur sana
Mjomba upo juu 😀😀😀unafuraisha sana
Awesome mjomba am appreciate u always mzee wa kutembea bila viatu
hongera dida umejistir leo ila inaonyesh tuuh co kawaid yako😂 maan shingooo yote nnjee!!
😂😂😂😂
Mjomba mrisho mpoto,uko vizuri sanaa,,hongeraaa!!!
Mshukuru harmonize kakurudisha kwa gemu mjomba
Simplis Samba wee bweg2 mjombaa mkongwee waa game wewe wawp ujielewi2
Humjui wewe huyu.
This guy he's amazing, they call him mjomba 😂😂 bigup for the good Swahili music
Nimependa sana huyu Mzee nikiwa hapa Kenya.,
Hongera mjomba
Mjomba nakukubali sana mungu akupe maisha marefu
😂😂😂 Mjomba umenichekesha sana, Eti Afande kavuta nini? Nakukubali sana mjomba.
leo mitikisiko ya pwani mambo ni fire🔥🔥🔥🔥wajina umenogo mpnz ramadhani mubarak
kafeki huyo muone shingo wazi ni kudhslilisha vazi
+Msa Flus nimeshangaaa
Apewe kazi hapo anao uwezo mkubwa wa kumiliki show!dahh kutoka kenya mie
Nimecheka sana haki.ya mungu jaman mjomba aishi vituko
Safi sanaaaa.WCB noma sana
Hata Mimi sikuamini ni MJOMBA? Safi Sana
Yaan nimecheka, safi sana mjomba
This is an icon!! I still remember him with ' nenda rugeeeeeeee
i know it's kinda randomly asking but do anybody know of a good website to watch new series online?
@Hunter Harper Flixportal =)
@Marvin Rodney Thanks, I went there and it seems like a nice service :) I really appreciate it!!
@Hunter Harper you are welcome :D
Safi mjomba zazikubali sanaaaa kazizako
pendeza sana mjomba
Mjomba yupo vizuri sana
ally ruvu majuto
Mjomba Mimi mapenzi najua sijatakatu kuyashughulika nayo
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kali bro
😁😁😁😁😁mlisho wasanii watz wanataka kufundwa😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌
Safi sna mojamba ww ni mshahuri wangu
Really from Congo ylove mujomba son son do much
Mjomba huyo jamaaa konde boy kweli yaniiiii hatarrrr
we mjomba noma sana moto mkali sana
mjomba nakupendaga sna Allah akupe afya
Khadija Mbuta mambo
sharifu nurdini pouwah
mjombaa wwwwww ni noooooomaaaaa cn 😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Kiukwel nimeielewa San hii ngoma kifupi iko vizur San
Mjomba unaweza Sana
i love this guy so simple and talented come to kenya you are a kenyan hahahaha
Mjomba ye atembei peku, Yeye anatembea bila viatu
Hahahahahaha kutembea peku n matusiiiii
Hahaha
Times mko vzr sana
Ishiii nimwange radi waaah 😂😂😂😂
hiyo fursa bado ipo ya kutokaa na simu mwaka jamani jamni mimi naweza kabisa mjomba
Hadi leo jamaa ajapata viatu vya size yake Duuuuuuuuh........Mjomba njoo viatu vyako vipo huku Amekuachia babu
sihaclausy 😁
sihaclausy hhhhh😂😂😂
Mjomba ameniacha hoi hapo aliposema Afande hakuwa yeye alipoandika maneno yale
Namuelewaga sana huyu baba yani siwezi hata ku explain kwanza nyimbo zake zina ujumbe ambao kama huna akili nzuri huwezi muelewa yani hiki ni kichwa tena sio kichwa tuu bali kichwa jazbendi
Mjomba in shida
Vanessa Dahnilly Pomona xana
Umeonaee sixbert kirway
Vanessa Dahnilly kabisa vanessa
Vanessa Dahnilly ha ha ha ha ha ha!! ety kama huna akil nzur humuelew,, jomon nimecheka mpk bhasi the way umevyowrite
Aaah Mjomba Kukaa Mwaka Bila simu kwangu haiwezekani ni sawa na kunifungia kwenye chumba chenye Giza kwa Muda usiojulikana
sana tu
Kama unampenda mjomba gonga like hapaa
mjomba nimuhimu kumtafuta mtalamuu wa kiswahili ili kuwaekeni sawa ktk kuzitamkaa herufii vizuri kwani kwenye r unaweka l kwenye L unaweka R sasa hii huondoa ile ladhaa ya neno ushauri wangu ndio huo mjomba ilaa mashairi nimeyapendaa
Daaaaaah we Mjomba shkamoooo
Dah mjomba uko vizur
Kujistiri gani huko mwanamke shingo lote liko wazi.
Naelewa Mjomba 🔥🔥
Mimi Niko tayari kukaa Mwaka mzima bila simu.
Mjomba bwana eti hakuwa yy muda ule alikuwa kashavuta bangi😀😀😀
MASHA CLASSIC e
Mjomba namkubali sanaaaaaa
wasafiiiiii ni habari nyingne
😀😀😀😀mjomba wafurahisha sana
duh!! mjomba umetisha sana sana sana!!
Dida umeva vizuri sana
haha mjomba nakukubali sana
Hong era sana mjomba
ngoma yako kari
Mjombaa ni🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂jmn Dk. kumbuka punguza umbea daaah,! "wakaburu vepeee😂😂😂😂😂😂😂"
walivo vaaaa Hatari
mashallah dida umependeza
😅😅😅😂😂😂 Sim mwaka mzima Mjomba unazingia alaf utupeleke Bush
melrin
Noma saana
mjomba we ni fire
I like this guy.
Sana mjomba safi
Tanzania 🇹🇿 one
Mjomba noma sanaa
So fire
Kwaiyo mjomba sele hakua yy😂😂
Alaf pia kuna mda huwaa muko nae huwaa cyo nyie😎😂😂
ET nime waingilia 😁😁😁
Unakawaida yakupotezea Mambo mengi Mjomba ila sio vizuri badilika mjomba
Big up
mjomba ni fire
Jamani mmeni vunja mbavu
Simbaaaaaaa@harmonize+mjomba =fire fire
Mjomba upara huo😂😂😂
Kama turkana
mjomba ni Nouma San uyo kwa mashairi
hahahaaaaaa mjomba bhana et nazma simu nikiwa kwenye shughuli.
B,gapu sana mjomba
Mjomba yuko vizur
#Blessed
Your good mjomba
safi sanaa
Nooomaaaah
blessing
Mjomba wke mm😎😎😎
mbavu zangu😂😂😂😂😂😂nimwage radhi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nakukubari. mjomba
dah! Mjomba a.k.a Fundi
N zaidiii ya fundiiiii aiseee mjomba n nomaaaa
Dida umevaa vizuri
Khadija Aziza
Kapondo Saidy umeonaee
Powapowa
Et vijana 200 wasiwe na simu kwa mwaka moja aahahhahaaaa mbona hiyo ni kal
Mjomba nikomakini sana nanyimbo zako,,,,mjomba
Nakwelewa xana mjombaaaa
Kweli lazima wahache simu simu zinamatahalifa ataukiwa unasoma shule kanisani ulusiwi kutumia simu miiliwaikunikuta kanisani nilipewa miezi sitaniliona Kama miaka6 ilanilibadilika kiujumla mahana nilizoea Maisha ya ulevi namadicko kuzulula kwenyemabichi nikahacha Nina mwaka namiezi sita sijaingia kilabu yoyota naitwa mlokole
Eti nimewaingilia😂😂