Nedy Music - Homa La Jiji (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 414

  • @djonetz2730
    @djonetz2730 5 ปีที่แล้ว +2

    Hii nitaiskiliza mpaka ichuje Hong era kwake dondosha like kama unamkubal nedy

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว

    Nice my.brothe message from USA 🇺🇸

  • @basilking5964
    @basilking5964 6 ปีที่แล้ว +36

    Makofi 👏👏 mengi kwa #nedy kama umelikubali dude

  • @DEGESTAR
    @DEGESTAR 6 ปีที่แล้ว +117

    Nedy kaja tena duh. Eti ni wewe tu akuna mwengine. 🔥 🔥like hapa kama wa mkubali huyuu jamah

  • @ely-alexmarlaw7814
    @ely-alexmarlaw7814 6 ปีที่แล้ว +6

    Kenya representing...namkubali sana uyu nigga, swag, lyrics na video zake balaa...love outta +254🇰🇪🇰🇪

  • @nancyazizi6879
    @nancyazizi6879 6 ปีที่แล้ว

    Nedy music we mkali song nzuriiii sana

  • @darasahuru4532
    @darasahuru4532 6 ปีที่แล้ว +1

    uyu mtoto fundi sanaaaaa bonge ra ngoma na aujawai kosea Mdogo wangu Neddy #like apa Est africa nzima nisaidien kushire hii ngoma ifike mbali zaid

  • @mwajumasaid4262
    @mwajumasaid4262 6 ปีที่แล้ว +6

    Misifa kweny mechi utakoma🙌bonge la Ngoma 🔥🔥🔥👏 homa la jiji umeriwasha huuuuuuuuui.....

  • @munasaid4311
    @munasaid4311 6 ปีที่แล้ว +10

    l,m from somali love this song

  • @salumuidrisa4240
    @salumuidrisa4240 6 ปีที่แล้ว

    falidu shop Nedy musc unatisha siyo Siri tena jiji la homa fire Nedy big p sana

  • @stephenmelita3493
    @stephenmelita3493 ปีที่แล้ว

    My favourite artist wake up bro wacha kulala your the best

  • @ngumaonline5550
    @ngumaonline5550 6 ปีที่แล้ว +10

    Uyu mwambaaaa naona kama anaingia kwenye style za simbaaaa

  • @mohamedabdullaahielmi4922
    @mohamedabdullaahielmi4922 7 หลายเดือนก่อน

    From somalia 🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 2 ปีที่แล้ว +1

    weye 👀jmn Tanzania ina vipaji 👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇴🇲🇹🇿💙👑

  • @issamjedagood9601
    @issamjedagood9601 6 ปีที่แล้ว +18

    Tanzania 2po juu 2najivunia mpemba mmoja toka Zanzibar tz

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

      Issa Mjeda good alie na ujanja wa BARA hahaha 😃

  • @starwork9496
    @starwork9496 6 ปีที่แล้ว +7

    Oyoooooooo #Bonge moja la chupaaa oya #Neddy kaz nzur mzee baba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊👊💪💪

  • @emmanuelmushi5
    @emmanuelmushi5 6 ปีที่แล้ว

    oyoooooo!piga nduluu

  • @shabanally3129
    @shabanally3129 6 ปีที่แล้ว

    Umetisha Sana #nedymusc ngoma imekamilika hatariiiiii kwamara ya kwanxa bongo kuonekana ndinga #lose loyce xo big shalowt hakuna mjanja zaid ya #nedymusc

  • @twariqzungu5001
    @twariqzungu5001 6 ปีที่แล้ว

    dah bonge ngoma kw kuvaa Up gud mzee gud location 🤝

  • @giannxupa8191
    @giannxupa8191 6 ปีที่แล้ว

    kichupa kikali..nyimbo kali.....kip t up....make sureee mambo yanaenda khoma ya jiji lyk that.....congrtsss

  • @frankdegang8245
    @frankdegang8245 6 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana nedy..hua hauharibu..big up broo

  • @puritypendo6472
    @puritypendo6472 6 ปีที่แล้ว +32

    I'm loving this... Much love from Kenya

  • @evelinenamajojo8813
    @evelinenamajojo8813 6 ปีที่แล้ว

    hiiiiii ngoma Kali xaaaanaaaaaaa

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 6 ปีที่แล้ว

    back to back na utfka mbli..nkuona mbali sana ukiendelea iv

  • @OffcialKp
    @OffcialKp 6 ปีที่แล้ว +13

    Kichupa kikaliiiiiii xanaaaa,,Gonga like kbl ya 1M views twende sawaaaaaa

  • @goodboi9821
    @goodboi9821 6 ปีที่แล้ว +2

    from kenya tuko wapi first hour
    tupia like za mwana

  • @noelbungwajr5958
    @noelbungwajr5958 6 ปีที่แล้ว +1

    Anatamba sanaaaa...... Love Sana wasaniiii wakigoma kuwashik mkon watu wengin #ommy_dimpoz nedy umeua

  • @thelionking2300
    @thelionking2300 6 ปีที่แล้ว +21

    Woow Amazing Video From Somali Viva Nedy Music

  • @iddysudy5910
    @iddysudy5910 6 ปีที่แล้ว

    sema hao mademu ulowafanya kuwa mavideo queen wako wabayaaaaaaaaaaaaa

  • @dlover8981
    @dlover8981 6 ปีที่แล้ว +1

    upo vizur we boya hii ngoma kaliii unaweza ukujikutaa unawmitaa Magu.. Mugabeee

  • @braysonzawad4705
    @braysonzawad4705 6 ปีที่แล้ว +2

    Neddy wauwe mzee baba ngoma kali sana 🔥🔥🔥🔥🔥🎤🎤🎤🎤🎤🎤

  • @amonzachary9877
    @amonzachary9877 6 ปีที่แล้ว +3

    We waya nedy nimekuelewa kwa kila kitu #HOmA LA jJi

  • @gftsaid9565
    @gftsaid9565 6 ปีที่แล้ว

    namkubali sana nedy anatoa ngoma kali kitandani anang.ata kinoma

  • @aabelp2539
    @aabelp2539 4 ปีที่แล้ว +2

    Somali Maxamed 🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @smarttvnewsswahili9751
    @smarttvnewsswahili9751 6 ปีที่แล้ว +1

    neddy Salute mwana Sijuwi ulikua Kimya kwa nini kipindi music unaweza

  • @sabrinasalim8051
    @sabrinasalim8051 6 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri jamani ongera sana kama unamkubali neddy gonga leki apo juu

  • @gilbertmuthami4876
    @gilbertmuthami4876 2 ปีที่แล้ว

    kalisana Mzee baba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @TulaskaPaul
    @TulaskaPaul 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaaaaaassssss the song is 🔥 🔥 Nakupenda nakukubali Saaaanaaaa

  • @philiposhilingi7288
    @philiposhilingi7288 6 ปีที่แล้ว

    msanii wa kwanza kuchukia tizo kubwa afrika baada ya AT mpemba mmoja hatari sana iseee

  • @mtunecessary
    @mtunecessary 6 ปีที่แล้ว

    Chris Brown wa Tanzania
    #KisumuPresident

  • @aboubakarmahmoud6371
    @aboubakarmahmoud6371 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante kizaz so poa we ni sshidaaaa💯💯
    Kaz imepamba moto salut kwako broo

  • @shadeemzawa2321
    @shadeemzawa2321 6 ปีที่แล้ว

    Sikupingi mkali Wa Pemba.🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪

  • @Youbdad
    @Youbdad 6 ปีที่แล้ว

    Naona ushaanza kuwa na swaga za Mond Bn Laden mzee

  • @naimourpapi8151
    @naimourpapi8151 6 ปีที่แล้ว +1

    Unabalaa wew mtu broo mpemba mmoja unae tisa bongo nzima

  • @patrickmagili6495
    @patrickmagili6495 6 ปีที่แล้ว

    Ngoma Kali...Nimecheki Mara moja tu Nimeielewa

  • @stivendaud7800
    @stivendaud7800 5 ปีที่แล้ว

    Anaimba vizuri sana neddy

  • @generalmwegama3384
    @generalmwegama3384 6 ปีที่แล้ว

    Sijui itakua masikio yangu, kwa mbaliiii nasikia kam rich mavoko, daaa cjui nani kanifundisha kua makin napo ckiliza nyimbo

  • @jescasteve6345
    @jescasteve6345 6 ปีที่แล้ว

    Homa LA jiji 🔥🔥🔥kweli mpemba mmoja hujawahi kukosea 🎤🎤🎤👌👌👏👏

  • @agnesslawrance8341
    @agnesslawrance8341 6 ปีที่แล้ว

    mpemba mmojaaa💯💯

  • @irynpacience3339
    @irynpacience3339 6 ปีที่แล้ว +1

    song qaliiiii
    video quality
    🔥🔥🔥🔥

  • @eliswedy3236
    @eliswedy3236 6 ปีที่แล้ว

    Umeitendea haki hii video kaka mauno kama yote big up neddy go on

  • @dannymyegeta4379
    @dannymyegeta4379 6 ปีที่แล้ว

    nakubariiii mzee kijana acha tuugue sote hii homa ya jiji

  • @EiyoSafichezo
    @EiyoSafichezo 6 ปีที่แล้ว

    Unanipa mi vya 🔥mooooooooooooooooto🔥!!!!

  • @yustinapeter5053
    @yustinapeter5053 6 ปีที่แล้ว

    Daaaaah Bonge la ngomaaa

  • @thebrown_voicetz
    @thebrown_voicetz 6 ปีที่แล้ว

    nomaaaaaaa mzee baba

  • @officialnuh7217
    @officialnuh7217 6 ปีที่แล้ว

    Anaemkubali neddy 🎶 agonge like hapa, homa la jiji Mikono juu

  • @alhajshabani5595
    @alhajshabani5595 6 ปีที่แล้ว +9

    Mshenzi ww unajua and ngoma Kali video ndo kabisa big up bro

  • @shaachannelloly8068
    @shaachannelloly8068 6 ปีที่แล้ว

    Kwel homa la jiji 👏👏👏bigup

  • @williamkiyumbi2800
    @williamkiyumbi2800 6 ปีที่แล้ว +1

    Mie mgonjwa wa Hola la Jiji! Nedy ni moto!

  • @paulmdas691
    @paulmdas691 6 ปีที่แล้ว +1

    ngoma qalii sana wanangu yan iko makin🔥🔥🔥💯

  • @johnkulela5681
    @johnkulela5681 6 ปีที่แล้ว +1

    Kam unaon neddy n zaid ya kiba gong twend n like 9999

  • @juniorphlp3368
    @juniorphlp3368 6 ปีที่แล้ว +29

    Kichupaaaa hatari like zote kama umeikubali hii video

  • @stewartkilewo4433
    @stewartkilewo4433 6 ปีที่แล้ว +1

    Keep it up bro u did it lets Go

  • @عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن
    @عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن 6 ปีที่แล้ว

    Kizazi sana mzee baba👊👊

  • @chibufabian5773
    @chibufabian5773 6 ปีที่แล้ว

    Kali,, hakuna mtu yeyote ambaye anakuweza

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 6 ปีที่แล้ว

    Ngoma Kali Cna Video Umeitendea Haki Cna Hongera Nedy Endelea Kukaza

  • @dejong360tv7
    @dejong360tv7 6 ปีที่แล้ว

    Mdundo kwa mbali kama wa ney #MAKUZI Sema ngomAAAA Kaliiiiii like twende sawa

  • @suzzannesintei3362
    @suzzannesintei3362 6 ปีที่แล้ว

    Saaaafffiii sana 💯👌

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 6 ปีที่แล้ว +6

    Mpembammojatuu!!!!🔥🔥🔥🔥!!

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x ปีที่แล้ว

    Master neddy music ❤❤❤❤

  • @Lafta_Rapkey
    @Lafta_Rapkey 6 ปีที่แล้ว

    Mtu amtag Simba uku..amchukue uyu amnyoshe maanake mnajua Wasafi ndio habari ya mjini.. GOod music bro

  • @adamponera537
    @adamponera537 6 ปีที่แล้ว

    sijutii kua shabiki yako##### nedy music

  • @justinekomo328
    @justinekomo328 6 ปีที่แล้ว

    new international artist

  • @sozzyabdalla4411
    @sozzyabdalla4411 6 ปีที่แล้ว

    duuh hatar na mkubar sana jamonii

  • @dismindergal4845
    @dismindergal4845 6 ปีที่แล้ว

    Yesss pemba boy😍😍😍

  • @issakileow8642
    @issakileow8642 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana man umetisha bgp👍✌✌💟

  • @kwshabamwambagi7468
    @kwshabamwambagi7468 6 ปีที่แล้ว

    Ngoma konyoo iii uwiii

  • @njaunestory761
    @njaunestory761 6 ปีที่แล้ว

    Ngomaaa kali nedy

  • @ahmedsalum8054
    @ahmedsalum8054 6 ปีที่แล้ว

    King of zanzibar unatuakilisha vizur baba kaza

  • @ayyanbreezy1420
    @ayyanbreezy1420 6 ปีที่แล้ว

    Okay boyfriend nakuona ulivopendeza. Love this kama kawaida

  • @cynthiabeka3970
    @cynthiabeka3970 6 ปีที่แล้ว

    Hatari sana nakukubal vyenye ujawai ona

  • @lilianloyce2313
    @lilianloyce2313 6 ปีที่แล้ว

    Ni homa kweli yaan naitazama kama vyoote yaan sema Nedy unajuaga kunikosha balaa yaan nakupendaga tuu

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 6 ปีที่แล้ว +2

    Nedy yupovizuri sana big up 👍 keep the fire burning always

  • @nullumaneno9449
    @nullumaneno9449 6 ปีที่แล้ว

    We mnyama mkuu

  • @luckyyusto3039
    @luckyyusto3039 6 ปีที่แล้ว

    Nasikia beat ya diva na rich

  • @Bill_afrika
    @Bill_afrika 6 ปีที่แล้ว +3

    Great song... congrats

  • @playdjin1556
    @playdjin1556 6 ปีที่แล้ว

    Good nice imetisha sana

  • @ibrahimabdalla2821
    @ibrahimabdalla2821 6 ปีที่แล้ว +4

    Uka natalent sana baba napenda nyimbo zako mimi niswahili bajuni nafikiria wewe pia ni bajuni mswahili napenda nyimbo zako zote

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 6 ปีที่แล้ว

    We jamaa noma sana

  • @salmamaulid5545
    @salmamaulid5545 6 ปีที่แล้ว

    Saf sn broo❤

  • @emanuelyjohn8320
    @emanuelyjohn8320 6 ปีที่แล้ว +1

    Diamond styles in this jam

  • @hbgwaay
    @hbgwaay 6 ปีที่แล้ว +2

    This video deserve more views!!

  • @franktuty8999
    @franktuty8999 6 ปีที่แล้ว +10

    Ngoma 10000% Kichupa Kama chote 🔥 Big up 👏

    • @eliamtambo3073
      @eliamtambo3073 6 ปีที่แล้ว

      Handsome na iyo bleach duuuuuuuu!!

  • @nicodemozacharia8710
    @nicodemozacharia8710 6 ปีที่แล้ว +2

    fireee🔥🔥🔥

  • @martleonardileonardi9241
    @martleonardileonardi9241 6 ปีที่แล้ว

    Respect broo kweli mpemba nuksi

  • @asaremichael6850
    @asaremichael6850 6 ปีที่แล้ว

    I jst luvd dis guy de frst tym I saw him on showbiz
    Luv ya frm Gh

  • @avianaavian139
    @avianaavian139 3 ปีที่แล้ว +1

    Favorite

  • @misskimdorry4039
    @misskimdorry4039 6 ปีที่แล้ว

    nzuriiii sanaa

  • @simplissamba2831
    @simplissamba2831 6 ปีที่แล้ว +4

    Nimeiona wasafi TV nakuja TH-cam nakutanana nayo fireeee

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 ปีที่แล้ว +2

    It's another one... Keep it up
    #MOFAYA