PENZI HASARA EPISODE 41 ❤ Full Movie | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 80

  • @Jamalyjuma-j7c
    @Jamalyjuma-j7c หลายเดือนก่อน +16

    Watatu leo na toka nianze kuangalia sijawahi pata like hata moja

  • @sakinabudi
    @sakinabudi หลายเดือนก่อน +6

    Lina na boko oaneni kweri mmeendana😂😂😂❤❤❤🎉

  • @DaudEzekiel-w9x
    @DaudEzekiel-w9x หลายเดือนก่อน +9

    Sema Bocco na mkewe balaaaa😊

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano หลายเดือนก่อน +5

    Leo na Mimi naomba like 😂😂😂natowa shukrani kwa wote

  • @AnnaWaswa
    @AnnaWaswa หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana ali pole sana usijali eyo ni mapito tu

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g หลายเดือนก่อน +6

    Yaan ally unaboa utadhan we so mwanaume bwana 😢 unapelekeshwaje na fetty . a.k.a fatuma aaah una disappoint sana😢😢😢

  • @TausiRajabu-zd5xj
    @TausiRajabu-zd5xj หลายเดือนก่อน +1

    Mnanifulaisha san yani mnatoa muendelezo mapema sana nawapenda bule❤❤❤

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g หลายเดือนก่อน +4

    Sefu mpumbavu mmoja,,,alfu hyu kiroba boko unabore na kumpiga piga linah,😂😂😂

    • @UnrulyHope-e9j
      @UnrulyHope-e9j หลายเดือนก่อน

      Bokoooo😂😂😂😂

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂sef sef sef 😅nimekuita mara tatu 😅😅😅umeamua kujisalimisha mwenyewe 😅😅😅shauri yako utaduñdwa kweli kweli😅😅ila hongera munatufurahisha sana na lina🎉🎉❤❤❤

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y หลายเดือนก่อน +2

    Toeni maoni kwenye movie acheni kuomba like, tumewachika poooooh!!!

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s หลายเดือนก่อน +2

    Mambo ni 🔥 hebu tuendelee

  • @GraceKitwima
    @GraceKitwima หลายเดือนก่อน +4

    Naombeni like nimekuwa wa kwanza 😂😂😂 hata kumi 2😂😂

    • @LevinaMacha-x7g
      @LevinaMacha-x7g หลายเดือนก่อน

      Mkono utatembea balaaah😅😅😅

  • @AzizaHassan-wj9kf
    @AzizaHassan-wj9kf หลายเดือนก่อน +2

    Nimefika mapema leo🎉

  • @Husna-uu9oc
    @Husna-uu9oc หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉🎉😊mpewe maua yenu kwa kazi nzuri

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri nawakuba sana seif chunga kisikurambe tena mapenzi balaaaa weeeeh😂😂😂😂

  • @SarahMrisho-r3m
    @SarahMrisho-r3m หลายเดือนก่อน +1

    Kwan wŵ bi fatuma unataka nn mbona uweleweki unatumia nguvu nying unatumia lkn bado bibi untaraka tatu bibi ad ukaolewe uwachike ndo bwana haly akuludie upo punguza kugoc uba nakuchosha wenzio😂😂😂😂i🤣🤣🤣🙌

  • @LinaDzame
    @LinaDzame หลายเดือนก่อน +1

    We Ally kwani c upange chumba uanze maisha yako.wajilizaliza nn Kwa mwanamke msaliti sasa

  • @NoorNoor-y4w3t
    @NoorNoor-y4w3t หลายเดือนก่อน +2

    Mke wa kwanza ni wakwanza tu

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD หลายเดือนก่อน +1

    Nani mwingine amuelewi elewi huyu boss ally mbona anajifanya ndume ovyoo unaboo sanaa kiukweli unabebwa kiutoto na fetty😂😂😂

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z หลายเดือนก่อน +1

    Ndio mana munambiwa wanaume tafuteni pesa Ally agekuwa amejiwekeza tangia mwanzo aya yote yakuteswa na fatuma yasinge mkuta ageamia nyumbani kwake tu akachana na drama za fet😂😂😂😂

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri หลายเดือนก่อน

    Kiloba cha mkaa 😂😂😂😂😂ananifurahishaga

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j หลายเดือนก่อน +1

    Ila zizi l ng’ombe n sefu balaa Bokoo naye kipashtuta fetty😂😂

  • @roseshayo3738
    @roseshayo3738 หลายเดือนก่อน +1

    Seif na zizi la ng'ombe nanyi 😁😁😁

  • @jameskalugo4583
    @jameskalugo4583 หลายเดือนก่อน +1

    Like pia mm nmekua wa mwisho😂😂

  • @UmmyLoyyi
    @UmmyLoyyi หลายเดือนก่อน +2

    Ally hauna msimamo kabisaa

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 11 วันที่ผ่านมา

    Maskini Ally mpaka uruma 😢sukatae we nimwanaume utafute vyakwako wevipi

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y หลายเดือนก่อน

    Linnah utaumbuka haswa , si wamjua fety na vurugu zake

  • @rtpowercell-h1p
    @rtpowercell-h1p หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂sefu na kiriba chamukaa na zizi lang,ombe

  • @MonicaSamwel-ho2wg
    @MonicaSamwel-ho2wg หลายเดือนก่อน

    Waooooh nimewahi jamanii like hapa 🎉🎉🎉

  • @MimaCharamila
    @MimaCharamila หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa na mwanaume kama Ally bola nimtoe sadaka 😂

  • @ElastoMwampashe
    @ElastoMwampashe หลายเดือนก่อน +1

    Jmn anatekenyw sef na cheka chek mm😂😂😂

  • @DaimaMrisho-z3j
    @DaimaMrisho-z3j หลายเดือนก่อน

    Sefu wewe jaribu kusema uone kilio cha mbwa mdomo juu😅😅

  • @JohnDavid-zq3dy
    @JohnDavid-zq3dy หลายเดือนก่อน

    Ally ni mwanaume kwa sababu ana vaa suruali tu......
    Kaka,baba yangu,...ama ndugu yangu, waali kama Ally na mtenga katika familia

  • @omanalwafi7577
    @omanalwafi7577 หลายเดือนก่อน

    Ali kumbe mjinga Sana ww

  • @FidelisMutui
    @FidelisMutui หลายเดือนก่อน

    Nko apa kutoka Kenya ❤🎉

  • @ShamsahassanHassan-n1o
    @ShamsahassanHassan-n1o หลายเดือนก่อน

    Tina wacha kumtesa boss ally anateseka mwenziyo rudi nyumbani

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he หลายเดือนก่อน

    Kazi tam

  • @GraceKitwima
    @GraceKitwima หลายเดือนก่อน +1

    Wa kwanza leo😂😂

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm หลายเดือนก่อน

    Zizi uko mukorofi sana kiekie kiekie

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm หลายเดือนก่อน

    Sasa we zizi,unalilisha kiroba cha mkaa😂

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls หลายเดือนก่อน

    😂😂😂ally kama jinga😂

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls หลายเดือนก่อน

    😂😂ziziii

  • @priscahmahenzo642
    @priscahmahenzo642 หลายเดือนก่อน +1

    𝐊𝐚𝐳 𝐧𝐳𝐫𝐢 𝐱𝐧𝐚🎉🎉🎉

  • @TumuRashid
    @TumuRashid หลายเดือนก่อน

    ❤🎉 kazi ni nzuri lkn Ally unaniboo kua na msimamo kma watka Feity ubak au Zena au Tina

    • @olicej7837
      @olicej7837 หลายเดือนก่อน

      Wanaaribu movie 😢

  • @Piliseleman-v6r
    @Piliseleman-v6r หลายเดือนก่อน +1

    Ila seaf na lina mnanikosha bila kusau ziz😂

  • @aminamohammed-rq7ew
    @aminamohammed-rq7ew หลายเดือนก่อน

    Kwan jmn huy Ally si ajipangishie nyumb kha

  • @NikwisaSimtowe
    @NikwisaSimtowe หลายเดือนก่อน

    Yaan Ally unashindwa kutumia akili kama mwanaume timam yaan wee ni bogaz kabisa unapelekwa kama Embe lililokosa soko sokon

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali หลายเดือนก่อน

    Lina una vituko 😅😅😅😅

  • @AishaRamadan-ik7ip
    @AishaRamadan-ik7ip หลายเดือนก่อน

    kwani ally siuhame ukaazishe maisha yako mwenyewe yenye amani jmn

  • @AfricanQueen-g3n
    @AfricanQueen-g3n หลายเดือนก่อน

    Ila fat una roho mbaya mbona wamnyima Amani Ali jomon eti😊

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 หลายเดือนก่อน

    Seif kitakuramba fety nae kitamramba

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj หลายเดือนก่อน

    Ali ww n mwanaume tafuta vyakwako vyakupewa vina mashart mengi sana ama mwaonaje wenzetu

  • @omanalwafi7577
    @omanalwafi7577 หลายเดือนก่อน

    Ali Ww mwanamme kuwa na maamuzi

  • @DiscoCell-n6v
    @DiscoCell-n6v หลายเดือนก่อน

    ♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AlawiaSaid-w2f
    @AlawiaSaid-w2f หลายเดือนก่อน +1

    Wa 300 like zangu tafadhali❤🎉😂

  • @JohnDavid-zq3dy
    @JohnDavid-zq3dy หลายเดือนก่อน

    Mimi na mpenda Tina.....tu.
    Nikiwa na kaka kama Ally,...natoa kafara kabisa

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali หลายเดือนก่อน

    Sefu mwonga 😅😅😅😅

  • @NikwisaSimtowe
    @NikwisaSimtowe หลายเดือนก่อน

    Hawa kwli viroba vya mkaa maana duh

  • @BeatriceMorgan-dd5ou
    @BeatriceMorgan-dd5ou หลายเดือนก่อน

    Wanaume tafuta pesa ona Ally anavoendeshwa sasa

  • @mildredzainab170
    @mildredzainab170 หลายเดือนก่อน

    Boss Ali mbona wakaa kma boy child yani unakera ajabu,, mwanaume gani huna msimamo,, pishee mie

  • @SubiraMussa-f3y
    @SubiraMussa-f3y 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwan ali huezi kujitaft mwenyew t lazm upelekeshww na fatma

  • @JeaneJeanemarie
    @JeaneJeanemarie หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ally wewe huna msimamo?wewe vipi?

  • @nesaahaji1329
    @nesaahaji1329 หลายเดือนก่อน

    Ila zizi nikorofi jamani😂😂😂😂

  • @juliettv6626
    @juliettv6626 หลายเดือนก่อน

    Ally tu ndo anajiwshimu

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 หลายเดือนก่อน +1

    Pesa Mnazo fanya kazi Mlipwa Mwezi Au unashindwa kupanga chumba Kaka ally sijapenda
    umemchezea Tina kwan lazima pesa na nyumba ya mti mjenge yenu

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k หลายเดือนก่อน

    Hama ali achananae

  • @kwekwetsuma3524
    @kwekwetsuma3524 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤😂😂

  • @JoseVile-d9o
    @JoseVile-d9o หลายเดือนก่อน

    Story zisiwe nying tunataka vitendo

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti หลายเดือนก่อน

    Wewe fety siumepewa taraka 3 ww?

  • @soleilsoleilkabulo
    @soleilsoleilkabulo หลายเดือนก่อน

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @roseshayo3738
    @roseshayo3738 หลายเดือนก่อน

    Boko Haram kaingia basi kundi halina utulivu!

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm หลายเดือนก่อน

    Ceph kiekie

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he หลายเดือนก่อน

    Kazi tam