Dah yani Kijiji hichi chahitajia sana Mkombozi hakika,Dhulma zimezidi sana uonevu umezidi sn,hakika Na Iman TARZAN ndie Mkombozi wa Kijiji hiki, TARZAN movie moja nzuri sana 👌🌹💐,Pia Happy pole Mama kwa kuchapwa Kijiji chenu chaumwa sana,Luta man ebu njoo jaman watu wawe Na Uhuru wao,Gumbwa wew kua Kiongozi sahau na Tabia zako hizo mbaya unakera wew🙄.
Mwakinego amelia kwa uchungu sana, wapi like zake jamani ❤❤kwa mwanaume kulia kama hivo si rahisi,your are a good actor in this series❤❤am from kenya 🇰🇪
Mapenzi huja tu automatic binadamu kaumbwa hivyo ma ndiyo maana mvulana akibakehe tu anajua kuna kuwa na mwanamke na kufanya kile kitendo hakuna shule hata wanyama na wadudu ni hivyo hawafundishwi
Ruta man deserves a million subscribers, this is real talent bana, let's share to everyone tell them Ruta is the best. Lakini mtoto wa chief sikupendi, lazima ungemuinua nguo mwenzako ndo umchape 😂😂
Dah yani Kijiji hichi chahitajia sana Mkombozi hakika,Dhulma zimezidi sana uonevu umezidi sn,hakika Na Iman TARZAN ndie Mkombozi wa Kijiji hiki, TARZAN movie moja nzuri sana 👌🌹💐,Pia Happy pole Mama kwa kuchapwa Kijiji chenu chaumwa sana,Luta man ebu njoo jaman watu wawe Na Uhuru wao,Gumbwa wew kua Kiongozi sahau na Tabia zako hizo mbaya unakera wew🙄.
Namupenda Happy sana kwa ukarimu wake. Ninapo muona Naona Yuko serieus sana
Hii move nimeifatilia part one mpaka hapa ni bonge la move 👏👏
Kumbe Hadi kimalila chutu kipo hum Asante sana jaman kwa kaz nzur mungu awabariki
Ulikua na mpango wa kujinyonga afu unakimbia😅😅😅😅😅😅
@@FestoJackob kumenifurahisha hicko kipande
Yaan gumbwa anakuwa kama dishi jaman, simpendi, Mungu anisamehe
Acha nitizam mwanz mwisho afu nitoe maoni yng,,
Ambae anakubal wazo langu anipe 🌹🌹💐💐 yang
Me inanifraisha to salamu ya mwagonaaaaaa😂😂😂😂😂😂
Hahahaha!duu!an happy anaamua kjinyonga kabisa!duu,Bora atruta katokea
Kama unaangalia muda huu Tarzan gonga like hapa
I think Tarzan ndio itakuwa number 2 after mgeni WA Kijiji we love this one respect
Kazi poa sana ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Sasa ulitaka kujiua unakimbia nini wewe dada😊😅😂😂😂
Mbeya mojaaa hiyooo
Isangati
Aisee Ruta man,,kazi yako nzuri sana,nakusapoti Sana ukiendelea ivi aisee unakuja kuwa super star mkubwa sana
Daaah ❤❤ kumbe happy ndo kizur hivi kuliko wadada ote❤❤
Ruta man, safi sana man, haujatucheleweshea muendelezo man🥰🥰
Mambovip
Uko salama regina?
Kazi safi Sana hongereni bwana ruta man next plz🎉🎉❤
Waaah kumbe wambeya ni wakujifanyà hivi pretenders
Nakubali sana master movie nzuri sana ❤❤😂🎉🎉🎉😢😢😮😅😊
Yaani hii movie moto sana❤❤❤❤
18 maua kwa hii muvi nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sasa hv mganga baisa umefanya vzr saana kuondoa sauti ya nwakatobe na kuongea sauti yako ya kwenye mgeni wa kijiji big up saana❤❤❤
Umetupiga ya kichwa bhana, Tarzan waku folling lov
Happy anakitovu kizuri
Waoo TARZAN imepangwa ikapangika🎉
Hii move nimeipenda sana haki mnajua sana 🙏❤🎉🎉
Heppy mbona mbio tena n wakati ulitaka kujutoa huai jamani😂😂😂😂😂😂
Saf sana ruta man fanya kazi unakitu utafika mbali❤❤❤❤
Lutah man,,Keep up for what you're doing,,great job and congratulations 🎊 👏
Ruta man unatisha sana🎉🎉🎉
Aliejua wa kwanza kipaji cha kipepeo Mungu ambariki sana huyu Dada yuanibamba sana anavyoongea 😂😂😂😂 m
Much love from 🇰🇪 Kenya
Wale wa luta man like basii jamaniii
Nginjanginja😂😂😂ila mganga.....asante Baisa umefanyia kazi ushauri 👏👏👏👏😍
Napenda sana move zako man unaweza man bigup man❤
Move nzur sanaa
Hongereni mnaweza
Mhhhh kazinzuri sana kaka big up sana😂👍👍👍👍👍
Dah! Actually
Ruta man Boncena ur good
Mko na juhud sana vzur jaman
Kuna Mwamba Kasimamisha Kabsa Daha 😂😂😂😂
Movie nzuri Ndio mtuoneshe kamasi sasa
😂😂😂
Vp
😂😂😂😂
Mwakinego amelia kwa uchungu sana, wapi like zake jamani ❤❤kwa mwanaume kulia kama hivo si rahisi,your are a good actor in this series❤❤am from kenya 🇰🇪
Kwan izo like mnazoomba zinafaida gan embu nijuzen namie niwe muwombaj
Aàaaah ukiteseka kwny mapenzi Kwa mda mrefu alafu ukapata chance AAA wee ni kuitumia tu ndo maana gumbwa saiv humu tu🏃🏃🏃
Wewe yaonekana mbakaji
@@saumbliz8983 maybe 🤔
TARZAN UMETUDANGANYA , Unajua mapenz
@@SmilingCaterpillar-yy3jc mmmmmh 🤣🤣🤣🙄
Angalia movieeee😂😂
Mapenzi huja tu automatic binadamu kaumbwa hivyo ma ndiyo maana mvulana akibakehe tu anajua kuna kuwa na mwanamke na kufanya kile kitendo hakuna shule hata wanyama na wadudu ni hivyo hawafundishwi
Kuanini
This now is what we call creative Big ups bro from KENYA ONE 🇰🇪 kiss my comment tukisonga
Courage ❤❤❤❤❤❤
Nakukubali Ruta😂😂😂❤❤
Jameni Jidihadi Mutoe Kila siku please, Kanzuri Watu wangu, from 🇰🇪 bro One love
hii move ni nzuli sanaaa lakn pia iakin ungebadilisha majiba yakaendana na jamii ingekuwa unyana saaana
Utafika mbali ww upo vzur sana ktk kutengeneza stori
Wanaitaji mkombozi aisee mtoto wa chief ni mzee wa midabangulo
Ummi mnafik mkubwa ww😏 ati una kaba,nyoko! Mrembo sabna upo vizuri...acha tuendelee kujifunza humu🎉🎉🎉
Ni move nzuri sana
Humu kilichonichekesha ni kimoja tu hadi waganga wana nyota begani kama wanajeshi hii nayo kali ya mwaka au nimeona vibaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwamba unaweza nakubal man Mungu azidi kukuinua tupo bega kwa bega na wewe
Acheni kuwaonea jamani happy na mwakinego hawana kosa hata kidogo Ila Mungu atawalipa nyiye mliowapiga
Daaah hongera sana🎉🎉🎉
Jaman ka happy kalembo kwel na wale wapenzi wa ruta man tujuane kwa like
Mc luta
Good work Mr ruta man ❤
Wakwanza mnipe like zangu jamani 😂
Mtu anataka kujiua anatokea mtu anamstua anaacha kujiua anakimbia😂😂😂😂
Ukatirii huuuu😢😢😢😢😢😢😢😢
Rutha man nakukubalisana❤❤❤❤
😂😂😂 anajinyoga half anaogoba luta hakoseiii pigapu ruta man😂😂😂
Inaonekana n bonge la movie
Waoooo kijiji cha isangati
Jamani Haka ka wimbo kanzuri kinoma ni hatari😅😅😅
❤❤nawapenda
Wace❤
Ruta man deserves a million subscribers, this is real talent bana, let's share to everyone tell them Ruta is the best.
Lakini mtoto wa chief sikupendi, lazima ungemuinua nguo mwenzako ndo umchape 😂😂
Kabla ata movie yetu haijafika mbali basi nna iman Ruta man ndie anaestahiki kua chief wa baadae❤
Congratulation brother 👏 Ruta 👨 nice movie 😊😊😊😊nimeipenda iyo
Nakukubali sana man ❤️❤️
Jmn mkoa gan huu nikuzur kuna manzal nzur sana cjui n mkoa gan huu
Mbeya iyo
Kweri Boncena ni msani ( shabiki kutoka KAMPALA)
Jameni happy na hii kitovu chake wallah nko kw daladala nkkujia
Huyu gumbwa nae anaboesha kubaka tuu
Japo nimechelewa nimefika❤
Sijawah PATA like Kwa watu wa Lutha naombeni bas 🙏
Naomb nambari yako ya simu
Movie safi sana naipenda sana movie nzuri
Good camera with good job🎉
Ruta man umeweza man bendera ni yako kutoka kenya 🇰🇪 man 🎉🎉🎉🎉
Wakwanza leo naomben like zang team boncen got talent i love movie
Chukua sasa😂
@@Sharifahemedi-j2o mbn vipande havitoki vingine jamab
Kipepeo namkubali San
Ana umbea sana
Ruta wayeeee
Khaaaa nimecheka jamn wee kaka ukaona uirudishie na mkono😂😂😂
Salute sana man nakubali sana man let vitu luta man
Gumba ame yakanyaga😂
kazi nzuri rta Mani ❤
Tarzan 🔥🔥🔥 tupo pamoja mwanzo mwisho🙌🙌
Uko vyema broo
Mkemia apa from Tanga Tanzania kazi nzur kaka luta tuko pamoja mwanzo mwisho
😂😂😂 mlinzi anaupwiru
Vzr nimeielewa hii tazan
Ungemalizia unyago kwanza alafu ukahaza na hiii kwasababu hii iko ule mfumo wa unyago from mozambique
Wewe mwakinego huyo unaemwambia siri za mkeo tayari ameshatowa siri zote
Hongera sana 🎉
Nakubali sana
Luta man anajuwa sana
Ruta man kifaa, tarzan alikuwa hawez kumenya ndizi 😂😂😂😂