Merina alianza kuumwa alipotoka shule ndo akafa kwahyo mizimu ilimchukua merina akiwa shule na nguo zake ndomana aliporud mizimu ilimrudisha na nguo za shule maana ndivo walivomchukua tulioelewa hv tujuane 😊
Wewe ndio hujaelewa, alichukuliwa ametoka shule aliyefika nyumbani na waliyeenda kumzika siyo yeye ndio maana karudi kama alivyo enda@ramadhanmbepei3158
leo mwambaaa mussa kitale kaniosha loho. yani niko safi ile kinoma. maana ametupa mapema namba 20 yaani kitale eee nimeka paleeee nikutepo❤❤❤❤❤alafu utunzi wako wahali ya juuu kabisaa
Aisee hakuna kipindi kinakio kipenda sana kama kipindi ambatcho anakutana na épisode mupia ya movie langu pendwua samahani na asante ume tisha sana boss kitale ❤❤
ongera sana kitale ww na timu yk kihujumla ongereni sana Naomba kama itawezekana hachia hata vipande viwili bc maana tunaumia sisi watazamaji TUNAIPENZA❤
Huyo mzee mchawi alivowauliza hao wadada kuwa wako safi kwenye siku zao apo ndo bado najiuliza huko mlimani wanako enda isije kuwa mkubwa wake nae ana tabia zile zile za kukosa sehem za kulala tuchukue loji 😅😅😅
Jitaidini kutoa mwendelezo wakuu maan mnatupa shida sana kusubiri kwa mda mrefu move kalii hii
Mbona movie nzuri sana alafu fupi shida nini jamani 😢😢😢 mie naumia sana maana ninavyoipenda hiii samahani 🎉❤
Merina alianza kuumwa alipotoka shule ndo akafa kwahyo mizimu ilimchukua merina akiwa shule na nguo zake ndomana aliporud mizimu ilimrudisha na nguo za shule maana ndivo walivomchukua tulioelewa hv tujuane 😊
Yeah ni hivyo
kwa hiyo walimchukua nyumban ila wao wakamrudisha shule,(jambaz anavua viatu akienda kuiba😂)
@@ramadhanmbepei3158alichukuliwa akiwa shule ndio maana karudi na nguo za shule kama anatoka shule
Jaman mmeambiwa msimuite merina shaur zenu, m nawaza wananzengo watachukuliaje hicho k2, m2 walishamzka Leo wanamwona
Wewe ndio hujaelewa, alichukuliwa ametoka shule aliyefika nyumbani na waliyeenda kumzika siyo yeye ndio maana karudi kama alivyo enda@ramadhanmbepei3158
Kitale asee hii kaz ya 🔥 sana
Nimewahi jamani kutoka Burundi nawapenda❤
❤
Tunakupenda pia
Wa kwanza Mimi From Msasani Kama Unamkubali Kitale Kwa Kutuletea Tamthilia Tamu Na Ya Kusisimua Usipite Bila Ku like Asanteni
Nimechelewa leo duh kazi mzuriiiiii kaka maua yako🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
leo mwambaaa mussa kitale kaniosha loho. yani niko safi ile kinoma. maana ametupa mapema namba 20 yaani kitale eee nimeka paleeee nikutepo❤❤❤❤❤alafu utunzi wako wahali ya juuu kabisaa
Team mzee Kama Ramadhani Kama Ramadhani tujuane kwa like jamani
Asante mjukuu wangu
Tunampenda sana mzee Ramadhani tumpe maua yake🥀🥀🥀
@hamissahamissa105 Asante sana
Ramadhani ni nailni?
@MankaShoo-g6l sijakuelewa
Team mzee kam ramadhan kama wanao mkubali tujuane hapa
All of us
machine iyo
Kitaleeeeeee weeeh me sicheki na yeyote nakulindia wangu moyoooo 😂😂😂
Kazi zuri sana brother ❤❤😊
Kazi nzuri sana nawapenda bure ❤❤❤❤❤❤❤
Inachelewa sana kutoka jamani afu mkitoa dakika ni chache mtuoneee huruma basi jmn sema Mzee KAMA RAMADHAN KAMA Mungu akutunzee
Hli lifanyiwe kazi
kitale tangia alipo pita na masufulia ya wali hajulikani alipo😂😂
hata mim namtafuta kitale nikale pilau
@ramadhanmbepei3158 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂tupo wenge
Nimecheka 😂😂😂😂😂
😂😂😂
Mmh kwamba wa 85 kuangalia ndo sipati ata like kumi
Ahsantee baba Mkude tupo pamoja
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wachawi kila sehemu wanachafua hali ya hewa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wachawi mpaka watoke vigimbi 😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Mzee kama mungu akupe maishaa marefuuu na yenye amani teleee ameen ameen 🙏💖🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Ahsante kaka kitale...mapema ndio best
Kipindi nikifupi na kinabamba sanaaaa musikicheleweshe tafadhali mungu awabariki shukrani sana ❤❤❤
Me nishampenda Huy kikolelo nataka kumuoa😢😢
Kwa huu mwendo wa babu wa kuvuta miguu watafika kwel😂😂😂😂😂
Sa kwann mnamuita merina😂😂
Muda jamani ni mdogo kwakweli 😥😥 broo tuongezee mda tafadhari 🙏🏻 japo ni nzuri sana kwakweli 🙌🏻🙌🏻❤
Yaan da Salma kikolelo haiweziii ataa 😁😁😁😁🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻.......
Wemuache ampoteze 😂😂
hiii move jamani ni nzuri sana yaani
Mwaka 1967 tulikuja kwako na babu yangu mzaa mama, kikolelo kimekolea
Aisee hakuna kipindi kinakio kipenda sana kama kipindi ambatcho anakutana na épisode mupia ya movie langu pendwua samahani na asante ume tisha sana boss kitale ❤❤
Wachawi kazi wanayo kulivyombali mtakoma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Napenda san mzee kama anachez nafas yke vzur
Asanteni Sana Kwa kazi nzuri ila mda muliotuekea ni mchache sana❤❤❤❤
Mashallah🎉🎉🎉🎉🎉🎉asante kwa upendo wako
Mjukuu wangu
Mbon munatupatia fup tunaomba muongezee dakika ❤❤❤
❤❤❤❤❤😂😂😂😂 Mzee kama na kikolelo 😂😂😂😂
Jaman dakika mbn kidog wadau tupaze saut dakika dakika
Kwer hawa wana zingua dskika ni chache alaf wana chelewesha kutoa vipande
Anazingua sana
Babu wa kikorelo big up sana mimi mupenda sana mawaidha yako
Maa shaa Allah ❤❤❤🎉
Kwqni kitale lile pilau ulipeleka wap🤣
Nice move anajitahid sana ila aongeze mda ❤❤❤🎉
wakwanza leo 🎉🎉
Mzee kama anaguna 😂😂😂😂😂😂 hajasikia swari ety
Kaz nzuli 🌹🛍️🇹🇿
Nani mwengne kagundua kama huyo aliyejifunika kitambaa cheusi n kitale 😂😂
Nakukubali sana mzee kama
Mzee kama ❤
Move nzuriii xanaa nakupa hongera mtunzi
1967 dah watoto wa 20000 bhana miyeyusho sana
hii ni story tu sio lazima utaje halis vitoto vya elf 2 ni balaa kweli
Nlijua tuuu huyu babu mchawi n mhehe😂😂😂
😂😂 wachawi Sana
😂😂😂😂😂
Makabila Yote Yana Wachawi Siyo Wahehe Kuna Makabila Hadi Wana Wauwa Waume Zao Wabaki Na Mali
@@ellensamson6787😂😂😂
Jamani msituonee bhana kila sehemu uchawi upo
Hongeraa kaka kazi nzuri ❤
Team kama hoyeeeeee ssa mbna.mwamuongelea na mme ambiwa mkimuongea anajua
ongera sana kitale ww na timu yk kihujumla ongereni sana Naomba kama itawezekana hachia hata vipande viwili bc maana tunaumia sisi watazamaji TUNAIPENZA❤
Wa kwa senga mtahangayikw sanaaaaaaa
Naungana na kikolelo kuhoji jina halisia na utofauti wa jina geni
Kazi nzur❤
Nimewahi mapema sana leo 😂😂
Mzee kama Ramadhani Kama
Waaah hapa kz ipo kwa kikoleroo jamani mama salima na salima jitahidini sije mkaharibu mambo
Heeeee md wot nlikuw nasbr ifike nw mshaangalia wat teleee hv
Babu aixha hongera uko vizuri
Kazi nzuli chukueni maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Naipenda yani mbaka nailudia mala mbili
Wakwanz leo❤❤
😂😂😂😂 kachafu hali ya hewa uchawitu😂mema aaaaa mtakoma❤
Uchawi kazi kweli aaaah wamechoka na hawapumziki Aisha kawafanya nn
❤❤❤❤❤
Kitale mungu akuweke usiludi nyuma uzidi kwenda mbele tyu yaani mbele mbele yao unatisha sana
Kama Ramadhani Kama🎉
Nimependa mmetumia lugha yetu,😅 kamwene
mnoge
E kumbe mnyarukoro
Kama Ramadhani kama kakutana na maswali ya kibabe kutoka kwa kikorero
M mwenyewe naangalia huku nikiwa kwenye sku zangu cjui ntaarbu😂😂😂😂😂
😂😂😂ushaharibu
🤣🤣🤣 Hila wew
@@INNOSENSIALIWEWA Duuh I'sorry
Ushaharibu zamani toka haraka😂😂😂
@m.mmarckus6298 😂😂😂😂😂😂
Huyo mganga aliyejifunika shuka nyeusi ni kitale🤣🤣🤣
Uyo ni Nguta Lutama sio Kitale
Sawa kaka @@juniormembe688
Hv hawa wanaoomba likes huwa wanazipeleka wpi eti😂, lbd zina faida na hamniambii
Mzee kama wallah Leo umepatikana na kikolelo yaani amejuwa kukuzuga 👌😂😂😂
Yaani apa kijijini kwetu kunachangamoto ya maji sio pouwah tunaitaji msaadaa wenu watanzania🇹🇿 wezangu😢😢😢😢
haya nimesikia kilio chenu,ntawaletea
❤❤❤big up team nzima🎉
Iyo balaa ata mm kukaa na mtyu wa Aina iyo nisinge weza sema mzee kama katisha sanaaaaaa
KITALE MBNA UONEKANI NA KOBELO
❤❤mzee Ramadhani unaupiga mwingi❤
Kitale move nzuri tatizo muda mmeweka mchache tuongezeeni dakika
Una2cheleweshea mwanangu sana kitale
Mimi ni kaka wa Kikolelo munaonaje munipe posa 🤣🤣. Kutoka 🇧🇮🇧🇮🔥🇧🇮 Turabemera cane
Huyo mzee mchawi alivowauliza hao wadada kuwa wako safi kwenye siku zao apo ndo bado najiuliza huko mlimani wanako enda isije kuwa mkubwa wake nae ana tabia zile zile za kukosa sehem za kulala tuchukue loji 😅😅😅
Wataweza kweli hawa kutomuita jina la zamani 😅😅😅😅 mtu mwenyewe alieludishwa atari
Na wameambiwa wasimtete wao wanamteta ngoja akrud atakuja kuwaumbua
Mzee ramadhan kapata msaidizi sasa kazi ipo 😂😂😂😂😂
Ndyo mjukuu wangu
Watajuta wanaoleta ujinga😂😂
Kanzi iendelee
Wa mwaka 1967🤣🤣ukute kikolelo Mzee kuliko mama yake
@ 😄😄😄
Salute to kitale nice movie
Hata ikawa mm lazima niogope😂😂,,, Mtu kufa halafu arudi si mchezo huo
Asante kwaku leta mwendelezo ❤❤
Tamu😮😢 ila munaanza kutuchelewesha
Nakubali kak kazi nzuri
Jamani mi namtafuta mzee kama ili amludishe baba yangu
Nakupenda bure kikorero uwezo mkubwa sana
Alie gundua kuwa huyo anae ongea kuwa ni KITALE weka like.
Yani iyi serie nikutembeaa tu😅😅😅😅😅 kital umetisha yani watu wanafanya mazowezi yakutoshaa😅😅
Mkude simbaa🙌🙌🙌🔥
Hii movie kiukweli mzuri snaaa ila inachosha kwa sb munachelewesha kutowa tuuuu
daah nzuri inacherewa saana duuh 😢😢
Kikolelo mzuri❤❤
Kikolelo hana nguo nyengine .mda wote sare ya shule tu