EXCLUSIVE; MJUE DAVIS MWAMNYANGE MKUU wa MAJESHI KAUZU! ASIYERUDI NYUMA,KATIRI, na ANAPENDA VITA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • #cloudsmedia #exclusive #simulizinasauti #efm #history #wasafimedia #dullysantz #santzmedia #millardayo #devismwamnyange#ccm
    Leo Nimekusogezea Historia na Maisha Ya kweli kuhusu Davis Mwamnyange Mkuu wa Majeshi wa Awamu ya 7 Nchini Tanzania
    • MAKALA ZA VIONGOZI🥂

ความคิดเห็น • 18

  • @Santzmedia
    @Santzmedia  3 หลายเดือนก่อน +5

    SIMULIZI ZETU HUWA ZINATOKA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA WIKI "HAKIKISHA UMEBONYEZA NENO LA SUBSCRIBE KISHA UMEGUSA ALAMA YA KENGELE ILI USIPITWE NA SIMULIZI YEYOTE KWETU

  • @badiomary822
    @badiomary822 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu ndie alieleta Mabadiliko Makubwa ndani ya JWTZ angalau likaendana na Majeshi Mengine Africa na ndie CDF Msomi wa Kwanza yangu Kuasisiwa kwa JWTZ !!

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli "Sabskrai"

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 3 หลายเดือนก่อน +3

    Bila kuwa na teknelojia ya kwetu ni ngumu kuwa na jeshi bora,kila kitu tunawategemea wazungu iweje sasa mjisifu?kila kitu mpaka wawatengenezee wazungu,mpaka magwanda,mabuti,mabomu,bunduki,nk,nyie mpo mpo tu,wazungu wajanja mno,wanakuuzia vifaa ambavyo wao wameviacha na kuanza kutumia vya kisasa zaidi,yaani aibu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 หลายเดือนก่อน +1

      😥😥

    • @MorganMwaipyana-tz9vc
      @MorganMwaipyana-tz9vc 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hata wewe ni mtanzania, Anza kutengeneza silaha za kisasa.

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 3 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 หลายเดือนก่อน +1

      Endelea kuwa nasi "Hakikisha umebonyeza Alama ya Subscribe Kisha umegusa Kialama cha Kengele Hapo .Utakuwa ni mmoja wetu katika familia ya simulizi za watu wako pendwa ndani na Nje ya nchi

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka uko vizuri sana ..ila natamani sana uwezo huu kuna jambo ungekuwa unazungumzia ungekuja kuongeza uwezo wa kubeba Taifa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 หลายเดือนก่อน +2

      Unaweza ukatushauli hapa Mkuu Au tumia Email yetu ya " dullysantz@gmail.com Ahsante Kwa kuwa nasi

  • @WallaceWaweru-ob7jz
    @WallaceWaweru-ob7jz 3 หลายเดือนก่อน +1

    But mbona sasa hivi lime nyima watu nafasi 😢na wametoka jkt now wako tuu mtaani

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani Mpaka sasa yupo kwenye madaraka

  • @fredstarch5184
    @fredstarch5184 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nice sana

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 หลายเดือนก่อน +1

      🙏

  • @Shebbylaizer
    @Shebbylaizer 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 หลายเดือนก่อน +1

      👊

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mjinga ww 😂😂😂😂danganya wajinga ...sach... Google...utaiona TZ niyangapiii Africa 36

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 หลายเดือนก่อน +2

      Hapo haujaskia imetajwa Africa " Kama utakuwa Makini natumai UmeNote vyema summary "Nimezungumzia Africa mashariki not Africa Be careful