Wee Eliudi ndo chaguo langu. Tangu niliposikia battle yako ya Akili kwenye Cheka tu search. Bhas nilikupenda wew kulikon wotee natamani hata unipe material kaka yangu nmevutiwa na wew haswaa. God bless you🙏 and I love you broo
Kama nimemsikia vibaya? "Turudishe utukufu kwenye vyombo vya habari" au ni ktk kuchekesha? Siku zote sifa utukufu na shukrani ni kwa Mungu, kisha vinginevyo, "UTUKUFU"!?🤔
🙏🙏🙏 Eloudi team mupo, Pia wanao mujuwa Mungu nawaitaji hapa
Kwakutambua nafasi ya Mungu kwako bassss umepitaaaaaaaaaaa
Kwanza heshima ya kumueka mungu mbele napia heshima Kwa kila MTU mungu akutangulie
Nilichokielewa hapo n hv vijana 2pungze papara mungu yuko kazn inamana mungu anagawa kwa awamu!!
Ukimtanguliza Mungu, ni silaha kubwa kwenye maisha yako
Hutu jamaa anamtanguliza Mungu sana na mungu amweke mno
Dogo una busara sana unafaa kua kiongozi na unamtanguliza mungu big up unanifurahisha sana
Uko vizuri mtu mbad....Mungu awe kila kitu kwako
Kama umesikia jina la Masayo gonga like twende sawa.....
Hahahahaaaaaaaaa....eti masayo
Huyu jamaa n very possitive
What a man very disciplined person what a guy 👏👏👏👏
Eliudi Mungu ksmpa kipaji sana pia yuko vizur Mungu jamuweka mbele sana
Waoooooooo kaka angu Eliud nakupemda na ntakupenda zaidi! Mbeya home
Eliud bhana wew kibokooooo 😁😁😁😆😆🤣🤣🤣
Very bright guy 🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Asante kwa kumurudishia Mungu utukufu
Wee Eliudi ndo chaguo langu. Tangu niliposikia battle yako ya Akili kwenye Cheka tu search. Bhas nilikupenda wew kulikon wotee natamani hata unipe material kaka yangu nmevutiwa na wew haswaa. God bless you🙏 and I love you broo
Wakati wa bwana na mungu yupo kazin
Ukimatanguliza Mungu mbele atakiunua mbele ya wote, huyu mwamba nyota yake inafunika wotee ndomana anabeba pesa sana akiwa anaperform
Mungu azidi kukuinua zaidi ya hapo. Kwa Mungu hamna hasara utafika mbali kaka
Mungu akisaidie eliudy ttanapataga shida watu wa mbeya kama tunaenda kwa mwamposa pakufkia ndo shidaaa
🤣🤣🤣gwe keta gigimoney alipo
Hahahaaaaa
Hongera Sana my brother
Iyo ni kweli kaka mungu mkubwa 🙏🙏
Nimekupenda bure 😍♥️🔥🔥🔥🔥🔥💯
Dah homeboy hatari sana wew
Mungu yupo kazini
Mungu yupo kazini😪😪
Asante Sana wanyakyusa wamepata pakuf8kia
Hahaaaa
🤣🤣🤣rose popote ulipo🤣🤣🤣🤣🤣
Amina my kakayng mpendwa ubarikiwe MBEYA oyeeee
Wawooo God blees him
Hahhh, lazima watu wajue kama mungu ametuinua. Jamaa anajua.
Tuwashukuru wasafii KWA kutuletea vipajiiii jamaniii
Ndaro na headmaster wamekupotezea sim🤣🤣🤣
Huyu nyota kaliii sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ubarikiwe kwa kuisimamia Imani yako
Mtangazaji huyo Eliud anatokea Mbeya jiji the green city siyo mbeya kijijini usilete ushabiki wenu wa miji hko alaaah!
Amen nimefurahi sana
ugali na Maziwa unanikumbusha nyumbani Tukuyu Mwee
Aminaaaa
Mungu akutie nguvu
Hakika ukimuheshimu Mungu nae atakuheshimisha
Ameni kakaa
Et Ndaro cmu yangu!!! Laki 7 imelala🤣🤣🤣🤣ila nimemlike anamtaja Mola oil wakati
Hongela sana 😢 😞
Nimependa maneno yako
🤣🤣🤣🤣wanyakyusa sisi kiboko
🤣🤣🤣🤣 et sisi ni yeye sio ninyi
Masha Allah❤❤❤❤❤❤
Mungu awe nawe
Amen
Hahahahahaaaaaaaaa tumepata pa kufikia😂😂😂😂wanyaki bhana
Jamani simu yake ni laki saba mleteeni
😄😄😄 wanyakyusa wote wamepata pakufikia
Hongera sana 😂😂😂
Hakika ni neema tu
Eliud 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika umenena eliud.
Tisha sana
Barikiwa sana broo
Huyu jamaa anabisara sana kinywani
Mtu mbad mwaisa 👏🏼👏🏼
Kilakitu ukimtanguliza mungu akuna kinacho shindikana
Wewe ndio utakua unamaliza Bando Lang Ase baada ya Jpm kunitoka
Rose popote ulipo 😂😂😂🙌🏼
Hongera sanaa
Good
ET NAMTUMIA VIFUNGU ZABURI NDIVYO INAVYOKATAZA😁😁😁😁😁
Mjage kwenye harusii yangu
Wakwanza Mimi ni2mie nauli broo
Bwana asikupungukie hakika
Saafi mwana
Showw yake hiii hapa
Halafu mtangazi tuheshimiane,,,,,
Mbeya sio vijijini..
Esawa mtoto wammaeliud
Kama nimemsikia vibaya?
"Turudishe utukufu kwenye vyombo vya habari" au ni ktk kuchekesha?
Siku zote sifa utukufu na shukrani ni kwa Mungu, kisha vinginevyo,
"UTUKUFU"!?🤔
Alikuwa anachekesha tyu
Aliongea katika utani then akasema Cha kwanza ni kumshukuru MUNGU,
🙏🙏🙏
Oyoooooo😎😎
Kila lakher kaka mkubwa
NIMEFURAHISHWA NA KUMTAJA MUNGU MARA ZOTE KARIBU KWENYE KILA NENO NA MUNGU ATAZIDI KUKUSIMAMIA ZAIDI UTENDE KAZI YAKE NA UUINUE UTUKUFU WAKE
Tunamtaka alex kado kwenye show
🙏🙏🙏🙏🙏
Huyu dogo anakipaji kiukweli
Una undugu na kaseke?
Hawana undugu Ila wametoka mtaa mmoja
😄😄😄😅
😎
😂 😂 😂 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😜🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😜
.
Et Ndaro cmu yangu!!! Laki 7 imelala🤣🤣🤣🤣ila nimemlike anamtaja Mola oil wakati