#Laylatulhelwa2019

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 80

  • @user-rq4cj1ds6r
    @user-rq4cj1ds6r 4 ปีที่แล้ว +10

    لو جعلت صوتك في قراءة كتاب الله لكان في ميزان حسناتك يوم القيامة ...وقال الرسول يا رب إن قومي اتخذوا هذا القرآن مهجورا...

    • @maalimshekher8805
      @maalimshekher8805 4 ปีที่แล้ว

      معك حق يارب إهدى هذا الشاب

    • @user-qj3ku3pt9g
      @user-qj3ku3pt9g 3 ปีที่แล้ว

      ومن قال لك انه لايقرائ كتاب الله

    • @inuuhassan8813
      @inuuhassan8813 3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah

  • @kitukakijunga2251
    @kitukakijunga2251 4 ปีที่แล้ว +2

    Utuuu inanitoa machozi ya fraha 💥😘 Alhamndulillah

  • @salmasaid2401
    @salmasaid2401 5 ปีที่แล้ว +2

    Utu ni utuu mashalwah maendeleoo kaswida tamu

  • @sahirmwanyuki7091
    @sahirmwanyuki7091 ปีที่แล้ว

    Mashallah Babu Yangu

  • @juventusitali102
    @juventusitali102 2 ปีที่แล้ว

    I LOVE BROTHER TANZANIA👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 FROM INDONESIA

  • @asnatmlewa6285
    @asnatmlewa6285 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah al habib yahya🤩😍🤩

  • @cassimshearer7916
    @cassimshearer7916 5 ปีที่แล้ว +6

    Haya si katika dini.

  • @tuwenasitv9695
    @tuwenasitv9695 5 ปีที่แล้ว +3

    mashallah bihak

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautjl

  • @husseinmakame8035
    @husseinmakame8035 5 ปีที่แล้ว +3

    Nzurii kaka

  • @brotherhamedofficial
    @brotherhamedofficial 4 ปีที่แล้ว +3

    Amazing

  • @mariamuhadi8958
    @mariamuhadi8958 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwamba jitahidi sauti iwe karibu

  • @GAMEOVER-lt9wd
    @GAMEOVER-lt9wd 4 ปีที่แล้ว +1

    يا خساره بس يا يحيى

  • @jaafarjacka3320
    @jaafarjacka3320 5 ปีที่แล้ว +1

    Maaa shaaa ALLAH Maaa shaaa ALLAH ndioooooo

  • @fatmabaruti1338
    @fatmabaruti1338 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah dahh

  • @shammyramso8454
    @shammyramso8454 5 ปีที่แล้ว +2

    Maxhaallah...... Maxhaallah

  • @muhsinothman823
    @muhsinothman823 3 ปีที่แล้ว

    Allah akupe maisha marefu Yahya

  • @filmflm5389
    @filmflm5389 2 ปีที่แล้ว

    Masheikh tunaowategemea kwenye fatuwa wote wapo mbele apo wanaburdika...ukiwauliza suala hili vip watakujib kua mshairi annena ...tupe aya hadith so mshair annena

  • @hashiyatmohammedy156
    @hashiyatmohammedy156 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @yussufkhamis2792
    @yussufkhamis2792 5 ปีที่แล้ว +4

    Allah atuongoze katika njia ya haki ila tunapoelekea kwa kweli ni pabaya

    • @fardhanamahmoud7313
      @fardhanamahmoud7313 4 ปีที่แล้ว

      Sanaaa, wake kwa waume wakaa pamoja na waenda kutunza, hiyo nyimbo ya taarabu twaijua

    • @salfinity
      @salfinity 2 ปีที่แล้ว

      Sasa tuwaskize kina beyonce ama??.... dini hikuletwa iwe boring.... mwache kujifanya watukufu sana.... na tabia zenyu twazijua...

  • @halifahamis8385
    @halifahamis8385 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah mungu akuongozeee bab deo

  • @azizaiddy4981
    @azizaiddy4981 5 ปีที่แล้ว +1

    tuliienjoy Alhamdulillah

  • @hasanatyyanda8567
    @hasanatyyanda8567 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @NurdinKishik
    @NurdinKishik 5 ปีที่แล้ว +1

    yaallaah

  • @bnalyabdi8106
    @bnalyabdi8106 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @user-jp3op7kj4p
    @user-jp3op7kj4p 5 ปีที่แล้ว +3

    هذه نتيجة الغلو في المقامات لو بقيت في التواشيح الدينية كان افضل سقطت عنك هيبة القران

  • @sidewyne4827
    @sidewyne4827 5 ปีที่แล้ว +5

    Allah awaweke babdeo productions

    • @BABDEOMILADU
      @BABDEOMILADU  5 ปีที่แล้ว +2

      Amin amin atuweke sote inshallah

    • @hassanmwinyi7046
      @hassanmwinyi7046 5 ปีที่แล้ว +1

      side wyne marhaba marhaba

    • @theworldandcraziestguys2729
      @theworldandcraziestguys2729 5 ปีที่แล้ว

      Muwekwe mutakavyo wekwa Illa mjue IPO siku mtakufa na mtaulizwa haya mliyatoa wapiii????

    • @ibrahimabdallah9505
      @ibrahimabdallah9505 5 ปีที่แล้ว +1

      Kaka babdeo napenda sana kufatilia vitu vitamu kama hivi ila kaka unisaidie Au nielekeze vipi nitaipata qaswida kifo cha mtume? Wallah nimeitafuta kila upande .nilikuwa nayo lakini bahati mbaya simu yangu ilipotea tafadhali tafadhali tafadhali

    • @sidewyne4827
      @sidewyne4827 5 ปีที่แล้ว +1

      @@theworldandcraziestguys2729 ndugu yangu.Dini haijahadisiwa vijiweni au njiani.kaa chini uisome.Dini imeshuka na mtakabari salama haijaacha kitu.ndo kukawa na mtume muhammad baada ake wakaja maswahaba sambamba na wanazuoni.dini ni kuisoma na kuelewa sio kuhadisiwa au nasaha za clip clip.Tujitahidi kuepuka malumbano yasio na tija ndugu yangu.

  • @abouawladsanzesanze429
    @abouawladsanzesanze429 5 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallahu khayran....ni hattari

    • @kabyjxjrd9874
      @kabyjxjrd9874 4 ปีที่แล้ว

      Innalillah Wainna ilyhi Rajiun. Allah akulipeni ujira wa ili mnalolifanya.

  • @ashimathuman9509
    @ashimathuman9509 5 ปีที่แล้ว +5

    Ibilisi katu hadaa jmn hii c taarabj kbc jmn uislam wetu unaend wp dah

    • @mariammuddy7728
      @mariammuddy7728 4 ปีที่แล้ว +1

      maashaallah Allah akupe maisha malefu Kwa hiki ulicho kichagua kukifanya Allah akuongoze

  • @hasanatyyanda8567
    @hasanatyyanda8567 3 ปีที่แล้ว

    Mpk machozi yanitoka😭😭😭😭

  • @hasanatyyanda8567
    @hasanatyyanda8567 3 ปีที่แล้ว

    Kwa furaha

  • @ramadhaniidrissa1133
    @ramadhaniidrissa1133 5 ปีที่แล้ว +1

    P1 sana babdeo milad endelea kuleta burdan allah atakulipa

  • @seifjuma3471
    @seifjuma3471 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe hii nikaswida miye nilidhani taarab, nilisha wahikuisikia kaimba bi kidude

  • @mohdissa8973
    @mohdissa8973 5 ปีที่แล้ว +1

    Sipo hukoo tunapoelekeaa sasa mana tunaondosha ziro tunaweka 0

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni nini taarab au

  • @atifsalim9482
    @atifsalim9482 3 ปีที่แล้ว +1

    تنزانيا التي أنجبت أم كلثوم أفريقيا بي كيدودي ليس كثيرا عليها أن تنجب مثل هذا الشبل

  • @mohdissa8973
    @mohdissa8973 5 ปีที่แล้ว +5

    Hiiii kasida mwanzo imeimbwa na watu WA mafyaa ikachukuliwa na culture musical club znz sasa umerudia wewe?

    • @papaashikide5626
      @papaashikide5626 4 ปีที่แล้ว

      Mohd Issa kwn vot unavofny ww ni vyko pka umshangae mwamaba hyo

    • @papaashikide5626
      @papaashikide5626 4 ปีที่แล้ว

      acha roho mbya ww

    • @mussakhalfani4733
      @mussakhalfani4733 3 ปีที่แล้ว

      Embu nitumie link ya hao wamafia ndugu

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi macho yangu yameona sawa ama hii clip imeunganishwa Tu maana Naona kuna masheikh wakubwa Tu ukumbini

    • @ogenylaurent7961
      @ogenylaurent7961 4 ปีที่แล้ว +2

      Mja Dhalil kwahiyo Sasa kama umeona masheikh wakubwa Ndio nini?

  • @mubaraknassor4272
    @mubaraknassor4272 5 ปีที่แล้ว +4

    Si sahihi kidini na ayo ndo yalomkuta brather nassir

    • @aliy3303
      @aliy3303 5 ปีที่แล้ว

      السلام عليكم ورحمة الله. مذا اصابه

    • @athumanikadaika5817
      @athumanikadaika5817 5 ปีที่แล้ว

      Brother nassir kafanyaje tena?
      Maana kuna qaswida kaitoa sijaielewa kabisa ipo ktk rnb au bongo flavor.

  • @kiparamasoud1322
    @kiparamasoud1322 4 ปีที่แล้ว +2

    Hawa niwatu waloifahamu dini vbaya

    • @rajabukizimba9672
      @rajabukizimba9672 4 ปีที่แล้ว

      Kipara Masou shofa we

    • @salfinity
      @salfinity 2 ปีที่แล้ว

      Wewe uloifahamu vizuri tugeuze nafsi zetu

  • @Amhd-jj9lz
    @Amhd-jj9lz 4 ปีที่แล้ว

    Ninajiuliza huyu moja Yahya Kuna moja ya video yake anasema kuwa ni muadhini na anaswalisha waumini msikitini kumbe Hana maana ta Moja muimbaji wa bongo fleva na kundi lake

    • @salfinity
      @salfinity 2 ปีที่แล้ว

      Wewe kwanza mpenzi wa bongo flavour ndio maana hikutoki kichwani

  • @khaledabdelhay4099
    @khaledabdelhay4099 5 ปีที่แล้ว +3

    خسارة يابهيقي صوتك في مدح الرسول صلى الله عليه وسلم
    افضل من اللي انت عامله ده

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni ulevi na ni uvivu wa utamaduni wa kiislam manaa yake ni nini??? Njia inayoelekea kupotoa utamaduni halisi wa imani na kuleta ulevi usiofaa.

  • @suriamaalim6887
    @suriamaalim6887 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

    • @alush3138
      @alush3138 2 ปีที่แล้ว

      Mashallh allh awazidishie vipaji kwawot