LIVE: ROSE SHABOKA :DAY 1 KONGAMANO LA WANAWAKE GICC MBEYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 72

  • @RuthBath-md4mq
    @RuthBath-md4mq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana pastor barikiwa sana mungu akuongezee miaka mingi ya kuishi ❤❤❤❤

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibariki ilomba mbeyaTz 🇹🇿♥️💝 home .Ngagas family popote walipo.Mungu anawapenda sana.Mungu warehemu Gicc wote.Aruda mlulo 😍.

  • @sarahsimiyu-yv8wi
    @sarahsimiyu-yv8wi 6 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks you are empowering me with a word and dressmaking designs coz am also a designer

  • @JanetLumunyasi
    @JanetLumunyasi ปีที่แล้ว

    Mafundisho mazuri na yakujenga ndoa,, nimepokea mambo mengi,Asante sana pst Rose

  • @gladdyswakesho954
    @gladdyswakesho954 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi wa Mungu kwa mafunzo mazuri ya ndoa. Barikiwa sana. @Gladys Wakesho kutoka Kenya. 🙏🙏

  • @faithmuganda6598
    @faithmuganda6598 ปีที่แล้ว +1

    i really love your sermons mum may God continue using you

  • @CatherineMajeda
    @CatherineMajeda ปีที่แล้ว

    Amina glory to almighty 🙌 🙏 Asante Asante Asante Asante mungu bila wewe cwesi 🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌

  • @veronicaeliya8291
    @veronicaeliya8291 4 ปีที่แล้ว +2

    ameen pastor rose shaboka MBEYA tunakupenda sana

  • @iddimaka6705
    @iddimaka6705 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana mtumishi barikiwa na MUNGU BABA

  • @BrianChitila
    @BrianChitila 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukujasa u r very powerful

  • @JoanCherotich-b9c
    @JoanCherotich-b9c 3 หลายเดือนก่อน

    asente sana pastor kwa mafundishi

  • @christinebaloni6998
    @christinebaloni6998 ปีที่แล้ว

    Haki nimependa mahubiri yako pastor rose nakupenda mamaa

  • @otinelimkinga59
    @otinelimkinga59 2 ปีที่แล้ว

    Nimekukubali Sana mtumishi ubarikiwe Sana mungu akuongezee miaka mingi ya kuishi

  • @graceamran326
    @graceamran326 ปีที่แล้ว

    Balikiwa sana mamaetu nipo iringa nakupenda sana ❤❤❤

  • @edronaouma3495
    @edronaouma3495 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki pastor I've learnt something

  • @lucynaftary1522
    @lucynaftary1522 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki sana mama tusaidie sisi mabinti

    • @jeremiahmfalamagoha7914
      @jeremiahmfalamagoha7914 4 ปีที่แล้ว

      Oooh my God!A twin of Rev Lucy Natasha is here God bless you mama!

  • @jacquelinegg327
    @jacquelinegg327 4 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa Sana Mama mwenye Uungu ndani yake💕💕💕💕💕

  • @carolinefrancis-bp7nq
    @carolinefrancis-bp7nq 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutangulie mtumishi wa Mungu

  • @gracesimon34
    @gracesimon34 3 ปีที่แล้ว

    Pastor rose your blessing to many karibu Kenya

  • @rosemaryokwisa2684
    @rosemaryokwisa2684 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mama mtumishi❤

  • @FranklinMurithi
    @FranklinMurithi 6 หลายเดือนก่อน

    God bless you Rose

  • @asnathgaturi2364
    @asnathgaturi2364 ปีที่แล้ว

    Great word pst

  • @stellahmwikali5903
    @stellahmwikali5903 3 ปีที่แล้ว

    Am touched by how you preach the word of God with courage,si tafathali utamke Hiyo neema njuu yangu mamaa

  • @yohanawillberforce641
    @yohanawillberforce641 4 ปีที่แล้ว +1

    amina kubwa mtumishi nikebarikiwa sana

  • @irenerutaihwa6163
    @irenerutaihwa6163 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen pastor, nabarikiwa

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 3 ปีที่แล้ว +1

    I am watching from Canada

  • @MARYATAMBO-n5c
    @MARYATAMBO-n5c ปีที่แล้ว

    God bless 🙏

  • @duncanawili7476
    @duncanawili7476 2 ปีที่แล้ว

    Tell me the name of the worshipper mwenye amelead hiyo wimbo ya Manukato. Amebarikiwa sana

  • @kissageorge3987
    @kissageorge3987 ปีที่แล้ว

    Songa mbele dada na MUNGU akutumie kwa viwango vya juu na iyunga mbeya uje

  • @gesurasaratinamnada9540
    @gesurasaratinamnada9540 3 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri sana, barikiwa sana mama.

  • @jackyavoga1651
    @jackyavoga1651 4 ปีที่แล้ว +3

    Natamani kukutana nawe mama

  • @silviatemu9658
    @silviatemu9658 3 ปีที่แล้ว

    May God bless you mom

  • @marthajoseph6902
    @marthajoseph6902 3 ปีที่แล้ว

    Jamani pastor sauti mbona inakata

  • @anagrethanjogellah5841
    @anagrethanjogellah5841 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Baba ni wa Neema KUUubwaa

  • @doudoukalala921
    @doudoukalala921 6 หลายเดือนก่อน

    Namimi namimpeda sana

  • @nelusigwenyingi2889
    @nelusigwenyingi2889 2 ปีที่แล้ว

    Nyie Gicc ni matapeli na mnachafua kanisa letu la TAG

  • @linnahmassawe9090
    @linnahmassawe9090 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🏿❤️❤️

  • @bestinageorge3181
    @bestinageorge3181 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mama

  • @doramandari6551
    @doramandari6551 3 ปีที่แล้ว

    God bless you Pastor

    • @kabwedesafi7552
      @kabwedesafi7552 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana

    • @kabwedesafi7552
      @kabwedesafi7552 2 ปีที่แล้ว

      I love you very much may the good Lord protect you

  • @b.a.m6243
    @b.a.m6243 3 ปีที่แล้ว

    Moyo umetoa machoz

  • @stellahmwikali5903
    @stellahmwikali5903 3 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Kenya

  • @romanachuwa4575
    @romanachuwa4575 3 ปีที่แล้ว

    Somo zuri mungu akubariki

  • @naominaftali6202
    @naominaftali6202 3 ปีที่แล้ว

    Be blessed mama

  • @neemafaustine2468
    @neemafaustine2468 4 ปีที่แล้ว

    God bless my mom 🌹🌹🌹

  • @gambonmgaya1286
    @gambonmgaya1286 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama nimavazi hayo bora msiabudu maana mnaharibu kizazi cha Yesu mbakitu na mavazi na mawigi namamakeup kwenu na matv yenu mzime

    • @VictoriaMafie
      @VictoriaMafie 4 หลายเดือนก่อน

      Acha makasiriko bhana

  • @kato_tz
    @kato_tz 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwimbaji mzungu anaitwaga nani jina wapendwa, kwa social medias anatumia jina gani

  • @FaridaMohamed-x3c
    @FaridaMohamed-x3c 2 หลายเดือนก่อน

    daimond

  • @lucyndalech4901
    @lucyndalech4901 ปีที่แล้ว

    Huyo anamtafsiria Mama anaongea uongooo😂😂😂😂

    • @VictoriaMafie
      @VictoriaMafie 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😅😅

  • @catherinemtavangu162
    @catherinemtavangu162 2 ปีที่แล้ว

    Natamani siku moja huyu mama ajee kanisani kwetu huko kijijini ili wanawake wapate explosure

  • @lindamollel5206
    @lindamollel5206 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Mama Mungu Anavyokutumia Kutujenga Sisi Wanawake Uishi Miaka Mingi Kuokoa hichi Kizazi.🙏

  • @gracemakali7117
    @gracemakali7117 4 ปีที่แล้ว +1

    Weeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @Miss_Cortez
    @Miss_Cortez 4 ปีที่แล้ว +1

    thanks

  • @trophainamagogwa9991
    @trophainamagogwa9991 4 ปีที่แล้ว

    Huyo Pastor anatokea mkoa Gani Tanzania??

    • @patriciadawson5624
      @patriciadawson5624 3 ปีที่แล้ว

      Kilimanjaro anaishi dar es salaam karibu kwa dar kanisa la new day church international uyu ni Mchungaj wetu pia lipo mwenge kituo bamaga

  • @trophainamagogwa9991
    @trophainamagogwa9991 4 ปีที่แล้ว

    Mmerecordije ??

    • @faokakonko3284
      @faokakonko3284 3 ปีที่แล้ว

      Hakika Mungu amekuinua kwa ajili yetu UBARIKIWE DAIMA MAMA🙌

  • @suzanalyoto6901
    @suzanalyoto6901 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @BrianChitila
    @BrianChitila 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukujasa u r very powerful

  • @neemamoses5591
    @neemamoses5591 3 ปีที่แล้ว

    Amen