Allahu amlipe kila kheiri Mimi niliifahamu Manhaj Kwa kupitia Audio Zake ,Allah Amuhifadhii Nama sheikh Wote Masalafii Abuu Hashiim Kasim Mafuta na wengine wootee حفظهم الله
Sheikh Abdallah humeid ndiyo bakora ilyo imara zidi ya wapenda raha za duniya Na vipi waKupende sheikh na kuwaweka sawa hawo Na bila shaka huyo niuchache wawo wa elim
Ma Sha Allah Baaraka'llahu'fiik.. Maneno ya wanavyuoni haya.. Tafauti kubwa saana kwa anaenukuu maneno ya wanavyuoni na kwa anaeleta kiswahili kingi ateke hisia za watu. Kweli.... Hawawi sawa wenye elimu na wasiokuwa na elimu... Elimu inaonekana unaponukuu maneno fiche ya wanavyuoni na ujinga unaonekana unapo pinga hoja kwa maneno yako... Karne yetu hii hatufai kuongea ila kwa dalili kwani wamepita Maswahaba Mataabiin Ma atbaa taabiiin na Wanavyuoni wakuu...HAKUNA AMBACHO HAKIJAZUNGUMZWA. Baaraka'llahu'fiikum
kweli taasubu mbaya haq huion kunukuukote qauli za maulamaa hujaon ila umeona kuwa maulamaa niwaongo allah akuongoz ndug yang na akusamehe kama hujui unashabukia tu
Masha Allah ❤❤❤❤
Allahu amlipe kila kheiri Mimi niliifahamu Manhaj Kwa kupitia Audio Zake ,Allah Amuhifadhii Nama sheikh Wote Masalafii Abuu Hashiim Kasim Mafuta na wengine wootee حفظهم الله
Allah amuhifadhi sheikh Abdallah Humeid kwa juhudi zake
Mashallah
Sheikh Abdallah humeid ndiyo bakora ilyo imara zidi ya wapenda raha za duniya
Na vipi waKupende sheikh na kuwaweka sawa hawo
Na bila shaka huyo niuchache wawo wa elim
Allah akuhifadhi yaa sheikhuna
Ma Sha Allah Baaraka'llahu'fiik.. Maneno ya wanavyuoni haya.. Tafauti kubwa saana kwa anaenukuu maneno ya wanavyuoni na kwa anaeleta kiswahili kingi ateke hisia za watu.
Kweli.... Hawawi sawa wenye elimu na wasiokuwa na elimu... Elimu inaonekana unaponukuu maneno fiche ya wanavyuoni na ujinga unaonekana unapo pinga hoja kwa maneno yako... Karne yetu hii hatufai kuongea ila kwa dalili kwani wamepita Maswahaba Mataabiin Ma atbaa taabiiin na Wanavyuoni wakuu...HAKUNA AMBACHO HAKIJAZUNGUMZWA.
Baaraka'llahu'fiikum
Mashallah
Juzi mjomba angu anambiya"bora tuanglie zile nyimbo izo nasheed mbaya ondoa" anatka tuanglie nyimbi za wa2 wapo uchi
Uongooooooo huo
kweli taasubu mbaya haq huion kunukuukote qauli za maulamaa hujaon ila umeona kuwa maulamaa niwaongo allah akuongoz ndug yang na akusamehe kama hujui unashabukia tu
Wewe ni mjingaaaa 😂
ujinga wake uko wapi
Kumbe ni mwana chuwoni sio mtume sasa ndio dalili mwana chuwoni sasa wengine wamekubali hizo nashid sasa mbona mtume kaimbiwa vp hapa