Utamaduni wa tiriki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Wazee wa jamii ya tiriki inayopatikana katika kaunti ya vihiga wameitaka serikali ya kuanti hio kuweka mikakati makhususi ya kuhifadhi misitu ya kisiali wanayotumia kuendeleza utamaduni wao haswa upashaji wa tohara haja ya kujenga vituo vya kuhifadhi Sanaa ya utamaduni ikiwapa msukumo ili kushughulikia maswala ya jamii

ความคิดเห็น •