Kisa cha wimbo Jina la Yesu salamu lisujudieni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Wimbo huu unafahamika kama wimbo wa taifa la wakristo ulitungwa mwaka 1779 na Bw. Edward Perronet. Mpaka kkufikia leo hii wimbo huu umefanyiwa marekebisho mengi kuliko wimbo wowote ule na pia unaimbwa kwa sauti 3 tofauti.

ความคิดเห็น • 22

  • @diwellchiwele4221
    @diwellchiwele4221 ปีที่แล้ว +2

    Baraka nyingi kwa wao walijitoa kwa kazi ya Bwana wa mabwana... Amina

  • @martinotima
    @martinotima ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru Kwa kazi nzuri

  • @Trisha996
    @Trisha996 หลายเดือนก่อน

    Aminna Lord led
    me in everything 🙏 🙏🙏🙏

  • @cadeaumahuridi7054
    @cadeaumahuridi7054 ปีที่แล้ว +2

    history sana ubarikiwe sana mutumishi watumishi mashujaa hao amejitoa kuwa sadaka kawa ville YESU naye alijitoa kuwa sadaka Kwa watu wote

  • @user-qm2vf2qz3l
    @user-qm2vf2qz3l 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo uliimbwa siku nikipokea kipaimara mwaka elf 2008 mpka leo ndo nyimbo yangu pendwa

  • @georgebongi4844
    @georgebongi4844 ปีที่แล้ว +2

    Mashujaa wa imani Mungu atume mioyo ya ushujaa na kusimama katika
    Imani.

  • @rehemamwanza9703
    @rehemamwanza9703 ปีที่แล้ว +1

    Bless you brother 👏

  • @silasnatir7915
    @silasnatir7915 6 หลายเดือนก่อน

    Kubiri ijili kwake hilikua maisha

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaani mimi nimeguswa mno nimekumbuka kanisani kwetu lazima tuimbe hii kwenye mashindano ya kwaya,Aaaaaahhhh Utukuzwe Mungu uliyenijalia kukujua wewe

  • @user-qf3so2qk6l
    @user-qf3so2qk6l 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli upon vizuri zidi barikiwa

  • @beatricewere7283
    @beatricewere7283 ปีที่แล้ว +2

    God is great.

  • @allanmedi1333
    @allanmedi1333 ปีที่แล้ว +1

    God bless you for the information

  • @peterjoelmwendamaka321
    @peterjoelmwendamaka321 ปีที่แล้ว +1

    Sisi watu wa Mungu tujifunze kuwa na Imani iliyo imara hapo tutauona ukuu wa Mungu wetu.

  • @rebeccakimanzi6241
    @rebeccakimanzi6241 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @vincentngala5373
    @vincentngala5373 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mweza wa yote

  • @awinokioko6923
    @awinokioko6923 ปีที่แล้ว +2

    No one who can't be reached by the gospel

  • @yohanakajange-hr9jp
    @yohanakajange-hr9jp ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli alicho kipanga Mungu kinatimia

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 2 ปีที่แล้ว +1

    huyu jamaa alikuwa na ajenda nzr sana!!!

    • @7T7MINISTRYKISWAHILI
      @7T7MINISTRYKISWAHILI  2 ปีที่แล้ว +1

      Yaani alikuwa kama paulo. Injili na yeye, yeye na injili

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 6 หลายเดือนก่อน

    Yani nimehisi kulia naupendo huu wimbo sija wahi kuelewa kila siku naludia zaidi mala kumi

  • @paulwambua4956
    @paulwambua4956 ปีที่แล้ว +1

    Lihubiri injili wakati ukufaao na wakati usiokufaa

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 หลายเดือนก่อน

    Roman katoliki.Hoyee