LAMU DIARIES 2019 | KOFIA ZA VITO/LAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • AL IHSAAN FOUNDATION BRINGS TO YOU LAMU DIARIES. PLEASE LIKE | SHARE | SUBSCRIBE
    LAMU DIARIES 2019 | KOFIA ZA VITO | WITH ENGLISH SUBTITLE

ความคิดเห็น • 24

  • @khadijahkhdoo6387
    @khadijahkhdoo6387 5 ปีที่แล้ว +5

    Love u home sweet home, nimeshashona kofia bt sai Niko kazini Iraq.Lamu Hoiyyyeeeeee

  • @mohamedhamdan4956
    @mohamedhamdan4956 4 ปีที่แล้ว +2

    Ustadh musa ismail huyu alikuwa mwalimu wangu kitambo toka mwaka 2008 hadi kuhitimu madrasa tul munawarrah iliyoko majengo mombasa tulikuwa tunaheshimiana kama mtu na kakake mkubwa mwalimu alikuwa mpenda wanafunzi wake kweli alikuwa hapendi kuchapa wanafunzi wake hata kama ulisahau kufanya kazi ya nyumbani siku ya pili anakupa mda umalize darasani MashaAllah mm nilimpenda na mpaka leo sijui ntampataje huyu ustadh

  • @مقاطعالدكتورعمرعبدالكافي
    @مقاطعالدكتورعمرعبدالكافي 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sana nimepata kujua baadhi ya majina ya kofia @al_ihsanfoundation

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 4 ปีที่แล้ว +1

    Lamu na utamaduni wake ajaab,nakupenda amu nyumbani kutoka qatar

  • @AhmedAhmed-yo1xf
    @AhmedAhmed-yo1xf 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @aishaabdalla4244
    @aishaabdalla4244 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah.... alhamdulillah.

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 4 ปีที่แล้ว

    Yesss history yenu lazima zanzibar itajwe ndoilivyoo ilivyo

  • @Msambweni
    @Msambweni 3 ปีที่แล้ว

    MashAllah

  • @ismailsomobwana6161
    @ismailsomobwana6161 ปีที่แล้ว

    Ama ukihitajia mishadhari ama ukiwa na suala lolotte kuhusu kofia za Lamu basi waeza kutuuliza, Tawakkal kofia shop tuko tayari kukueleza

  • @franklinrosevelt758
    @franklinrosevelt758 5 ปีที่แล้ว +2

    masha alllah islam lamu

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 4 ปีที่แล้ว +2

    Like zanzibar

  • @IslamSufism385
    @IslamSufism385 5 ปีที่แล้ว +2

    MaashaAllah

  • @timaanwar7825
    @timaanwar7825 2 ปีที่แล้ว

    Aslm aleikm kiukweli tunaoshona hatufaidiki kma wanavyo faidika third party. Cz mtu ashone apewe 8k den mweneye ataichkua akaiuze 25 na zaidi. Musitunyanyase kiac hivyo jaman kaz yunayoifanya nikubwa kulko wenye tú kuchkuua kuuza

  • @Msambweni
    @Msambweni 3 ปีที่แล้ว

    Historia yetu waSwahili

  • @attoumanixtffyiadinanibaco7752
    @attoumanixtffyiadinanibaco7752 2 ปีที่แล้ว

    Moiidi

  • @hudhud2022
    @hudhud2022 5 ปีที่แล้ว +2

    Hunikumbusha mbali moyoni huingiwa na mayondhi kiona kwetu

    • @algulandaalsibani265
      @algulandaalsibani265 4 ปีที่แล้ว

      Na mm naumia lakini sikujui kabisa nafarijika nikiona lamu ndiko alikotoka baba yangu huko nikiangalia sura yangu na hwa watu sura kopraity jamani

  • @munyesdavid3067
    @munyesdavid3067 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza, mtu yeyote asiye muislamu anaruhusiwa kuvaa hiyo kofia na kanzu? Ninapendezwa sana na hayo mavazi.. mimi niko kwa dini la wakristo,lakini niko na kibarua Kiwayuu

    • @AlIhsaanTv
      @AlIhsaanTv  ปีที่แล้ว

      Ndiyo anaruhusiwa kuvaa

  • @usongoali9201
    @usongoali9201 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sweet Home

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 3 ปีที่แล้ว

    🌴❤️🌴

  • @abdulazizahmed1042
    @abdulazizahmed1042 5 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha ALLAH

  • @Athman151
    @Athman151 4 ปีที่แล้ว

    Msomaji nni