safi sana!!kazi nzuri kwa maendeleo ya Taifa letu. pongezi ziwaendee President John Pombe Magufuli na former president Jakaya Kikwete.kwa kazi nzuri waliyotufanyia watanzania
Yaaani nakupongeza mpiga picha.. Aisee.. Inaonekana una vifaa vizuri ile mbaya. Yaani umeonyesha picha nzuri ...saaaaaaaafiiii... Kama ni msosi basi ile harufu tu inaita njaa yeenyeewe.. Kweli una vifaa vitamu ambavyo ni HD haswa
lazima ufurahie show magu hapana chezea haya sasa nenda kwa sheni znz kinyaa kitupu cjuwi huyu bwana mkubwa anafeli wapi.magu wadatishe ww nimfano wa kuigwa.
Tanzania is just a great country to visit in 2020!
safi sana!!kazi nzuri kwa maendeleo ya Taifa letu.
pongezi ziwaendee President John Pombe Magufuli na former president Jakaya Kikwete.kwa kazi nzuri waliyotufanyia watanzania
Absolute stunning keeping going Tanzania ur good example in Africa continental . I can to visit there well done.
Your most welcome dear☺
Hongera JK kwa upanuzi huu , Mwenyezi akujaalie afya
So beautiful
New Tanzania safi sana
Super video main bhi ghye tha daresalam
Nice Tanzania
Nzuri sana 👍
Wow! So nice...
Hi, Great compilation. However last 1:47 to 1:55 are misleading thats not JNIA T3 Airport. I've been working there.
Ni uwanja mzuri sana
Hongera Tanzania
What’s a great larger clean International Airport in Tanzania 2019!
Ya of coarse nimepaona your beautiful hongera dar es salaam
Safi kabisa. Lini itakuonyesha? To us?
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
How many Airlines are there in Dare salaam, Tanzania in 2019?
So many,you can fly from Dar es salaam to any destination around the world.
Yaaani nakupongeza mpiga picha.. Aisee.. Inaonekana una vifaa vizuri ile mbaya. Yaani umeonyesha picha nzuri ...saaaaaaaafiiii... Kama ni msosi basi ile harufu tu inaita njaa yeenyeewe.. Kweli una vifaa vitamu ambavyo ni HD haswa
Magufuli safiiiiiiiiiiiiii
lazima ufurahie show magu hapana chezea haya sasa nenda kwa sheni znz kinyaa kitupu cjuwi huyu bwana mkubwa anafeli wapi.magu wadatishe ww nimfano wa kuigwa.
Tanzania inapendeza tu.
Ultra Modern?!!!! Seriously? Please go back and check the real meaning of ultra modern.