NASIR KHALFAN: TOBAAH!! WAPINZANI WA SIMBA CAF WAANZA MCHECHETO | KWELI SIMBA WAMEPANIA UBAYA UBWELA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @flova7022
    @flova7022 2 หลายเดือนก่อน +3

    GSM

  • @DM_15
    @DM_15 2 หลายเดือนก่อน +6

    Uhamiaji wameuza mech hao walah ninachojua mimi tim kushindwa kutumia viwanjavyao vya nyumbani sababu mojawapo huwa niukosefu wa amani, sasa zanzibar mbona kuna amani na uwanja mzuri

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kiujumla wameuza mechi

  • @mwalamibingwe4177
    @mwalamibingwe4177 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na vip yanga wale walio cheza nao juzi kwao Kuna machafuko au vp na wao yanga Wana wahonga

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c 2 หลายเดือนก่อน

    Hata timu yaujumbula waliocheza na yanga huwezi cheza mechi 2 zote ugenini

  • @michaelmwaijande2561
    @michaelmwaijande2561 2 หลายเดือนก่อน +1

    Al Ahli Tripoli hata wanunue mechi kichapo kinawahusu. Hata Biashara walishindwa kwenda huko matokeo Ahli wakapewa ushindi.

  • @EmanuelBoniphas-no4pp
    @EmanuelBoniphas-no4pp 2 หลายเดือนก่อน

    Utopolo wanawivu tu na mwaka huu kuanzia watakoma

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 2 หลายเดือนก่อน

    Washauza mechi hao achana nao, 😏😏

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 หลายเดือนก่อน

    wee hujui kuongea mbona una shida gani

  • @adamusabuni6173
    @adamusabuni6173 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ko nyie wahamiaji kunamchafuko zanzibari sema hamnauwezo wowote mavi nyie washamba sana nyie

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 2 หลายเดือนก่อน

    Kama nihivyo simba tutatuma mtu

  • @PakatJames
    @PakatJames 2 หลายเดือนก่อน

    Wameuza mechi wachunguzwe

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 หลายเดือนก่อน

    Uhamiaji wamehongwa mpaka wanakubali kuuza uzalendo wa Taifa lao. Hiyo haijawahi kutokea popote duniani. Ni ujinga uliovuka mipaka. Biashara walikosa nauli wakashindwa kusafiri kwenda Tripoli.

    • @stephanomagenda6774
      @stephanomagenda6774 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona hata yanga amecheza jana kachezea chamanzi ugenni??

    • @Mkubwa_jr
      @Mkubwa_jr 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@stephanomagenda6774 Burundi hakuna kiwanja kinachokidhi vigezo vya caf ndiomana mechi zitachezwa hapa zote ila zanzibar kipo kiwanja kinachokidhi vigezo vya caf

    • @Digitalhhhhhgfgg
      @Digitalhhhhhgfgg 2 หลายเดือนก่อน

      Vitalo vipi na yanga

    • @Digitalhhhhhgfgg
      @Digitalhhhhhgfgg 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mkubwa_jrkwa nn wasingechezea zambia

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwauzembe huo naona fifa waweke shelia kuwa kama hakuna sababu zakufanya hivyo wapokwe pointi na fain maana kunahalufu ya lushwa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน

    Vitaro hawakuruhusiwa na caf kwa vile nchi yao hawana viwanja vinavyokidhi ubora wa kucheza mashindano ya caf na ndiyo maana hata timu yao ya taifa huchezwa uwanja wa Mkapa.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      KWA NINI WASIFANYE KAMA AL MAREKH MECHI YA WANGE CHEZEA KIGALI RWANDA NA MARUDIANO YAKAWA MKAPA??? VIBOVU VIWILI VITAL.O NA MATOPOLO MATAPELI WANATAKA KUMLIA MAMA SAMIA PESA ZAKE WAGAWANE SHENZISTAN HAO

  • @stephanomagenda6774
    @stephanomagenda6774 2 หลายเดือนก่อน

    Kwamaana hiyo hata vitaro kauza

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 2 หลายเดือนก่อน

    awa uamiaji ni masaliti awana hawa kua na nauli inasemekana kua walilipiwa nauli malazi kila kitu kwao watu wako ukweni uko libia

  • @elkanangosha9588
    @elkanangosha9588 2 หลายเดือนก่อน

    Uko mbele ya mic unafanya nini kama hauja jiandaa kwa interview

  • @LucianaJoachim
    @LucianaJoachim 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani usikia machizi vichaa wako mashabiki wa yanga hao wanaosema jku kauza mechi ni mashetani wa yanga, kama wao wanavyoshilikiana na viongozi ktk kuuharibu uwanja waAzamu iuchawi wanapocheza na hao vitaro, unategemea vitaro atapa nini ?