Gasper - Ingrid ( Official Video )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 เม.ย. 2024
- Music Video by Gasper performing "INGRID", The Music Video was shot by Director Izack under @IzackProduction
Listen to Gasper on Digital Streaming:
Apple Music: / gasper
Audiomack : audiomack.com/Heisgasper
Spotify: open.spotify.com/artist/5dCCq...
Connect with Gasper:
Instagram: / heisgasper
Tiktok: www.tiktok.com/@heisgasper_?l...
+For More Information Booking Gasper
Email: Josephtchafi97@gmail.com
©2024 Izack Records Label.All rights reserved.
#HeisGasper #Ingrid #Izackrecords - เพลง
Kijana Ako sawa utafikiriya siyo mubembe💪💪💪
Management yako ipewe ongera sana,Ina nguvu mnoo
💪💪
ILUX MONEY 🔥🌎
KIKUBWA DUWA TU 😌
POPOTE TUNAISHI 🙏
Waliokuwa nakutukana wahulize KIKO WAPI😂😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Big up sana 🎉🎉🎉🎉
Maa wachelela obe 😂 yani hii kitu imepenya moyoni mtu wangu gasper nakupa tu mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉you kill it 🔥🔥🔥 ebembe to the world 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
keep going kuna seemu fulani utafika tu.🥰
Mbembe M'mbondo to the world 🌍, tumupe nguvu zetu kwaku like 👍,ku share, naku view💪💪
Keep it up cousin
Unajuwa Sana Kijana Pambana
Daaaaaah unajuwa mpaka unakera Gaspar
Kitu na nusu ❤❤❤❤
My favorite song 🎧
Kazi na nusu ila ni kafup saaaaaaaan❤😊
Utatuhuwa mwakahuu❤❤❤❤❤❤
Mm nakukubali mwamba
Kabizo view it 🎉🎉
❤❤❤❤❤❤ nakukupalisana❤❤
Unajua sana ila nikushauri kwenye mistari yaku usiwe naweka second nyingi ukiweka kibembe ndaniyake iki bidi usiwe naweka naka utaweka iwe nakua kidogo tu apan san ili ujichukulie soko sem zote
Achanikupe mauwa yako 🌹 🌹 💯💯
Simba ☠️ 🇱🇷
Bembe BoY❤
International Bwoy Seen it ✊❤
Wenu da soge wabulaya 😂😂😂😂❤❤❤❤
Big up sana dogo langu nahona Missouri mpo sawa
Video Kali Mmuma boy 🔥🔥
BEMBE TO THE World unastaili maua yako kijana wa yesu
Mnajiera alie potea good job @Gaspar 🎉
nakubali huna juwa sana kama rema
Nakubali sana by funnyboy
Zaidi ya diamond platnumz anajuwa najuwa anajuwa tena kizazi Sana
Big up sana bro 🎉🎉❤❤❤
😮💨😮💨🔥🔥🔥
This has to be my favorite Gasper!
Sana
Hii kichwa ni machine ❤❤ Tamu mpaka tunachanganyikiwa Huyu ni Rema Au Gasper ..proud ov ue Gasper ...ingrid
Waliomuona rechiopia kama Mimi gonga like ❤❤❤
Kumuona haje😳
Umemuonaje twambie
❤ ume tisha brother
Rema Wa Babondo ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥
Yupo vizuri sana sana
Ila ajitafute sasa awe na sound
Yake ili apate kukuazaidi na kuzingatiwa saidi.
that is, I like this song very much, I have been waiting for the best song of the year
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Weeh umepita
Nyota ya kongo yenye mwanga.unajua kaka uko sawa
ninoma sana bonge la muziki ya kufata ni tembo ft simba tuna zichunga na hamu sana
Bwanamdogo unaweza sn big up
Sina neno umeniosha jitaidi tuongee km uto
jali
U're on FIRE 🔥🔥🔥
Kijana upo vzr sana hongera sana tena saana
Uko mbali sana. Unajuwa sana.
Rechopiah ❤️❤️❤️❤️💞💞💞
Dgo unajuwa sn tu hila mimi avrii ndo msani wangu
Wewe ni Star 🎉🎉
Bles up bro🎉😊
Nakubaaaaaali mrembo recho👌👌👌🔥🔥🔥💪💪💪
The game chenger, moto unawaka
We can’t wait
Uko juu wangu
Really this guy making me feel better if I listening 🎧 this song mbembe in the world 🎉🎉🎉🎉🎉
Recho dah❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰
Unajua mpaka unakera sha
Unaweza Sana kbs bila ubishi😮😮
Naona rema ❤
Hongera sana kwa kazi kk yangu
Nakubali kijana wangu
Kali sana dude limekaa ili 🎉
Big ap sana my brother ❤❤❤
Big up ⭕🎉
U know u know u know
Good job gasper ❤
Kaka Mungu hakubark kbs yaan unajua had mwnyw na sikia Raha bro
Daaah salute bruh 🔥🔥🙌..
Jamani tupambane huyu wetu aende mbali
Ivi uyu gasper aligusa seemu gani, yani unamsikia mtu utazani sio mbembe
Ndio 👏 👏 👏 👏
Kazuri ila kafupi
Unajuwa sana
Respect 🫡🫡🫡🫡🫡 Dogo Unaweza sana 🔥🔥🔥
Great Job dogo , ongeza Nguvu upande Huo unao penda
Unajuwa sana adi unakera kiongozi
Unyama mwingi🔥
Tunaomba link ya Spotify na boom play
Tiari ipo
Nakubali
Nakubali kaka
bro kibembe kinaaribu sana goma zafo bro
Nata kolabo bro
Gasp 🙌
Big up sana dogo
Poa sana
Nice work continue with good work 🔥🔥🔥🔥✌️
Una biyuwa mpaka captain ELMILAGROSSO SANGOZ EMPIRE ON THE FIRE anakuonea mbali
Gasper I see u, I heard u Mr. Mmbondo 🎉🎉🎉🎉
Lit 🔥🔥🔥
Ingrid 💫
Sema dg anajitaidi san
💥💥💥
Good Job bro, never give up ❤❤❤
Good my brother 🎉🎉🎉🎉🎉
Umehuwa mwana iyokali kinyama
Probably my favorite song now ❤
GASPER UNAJUWA SANA MWAMBA ADI NAOGOPA🤭 AFU RECHO NDO UNAMPA VYOTE😅😂😂
Maaaaaaaa wachelela obeee
🎉🎉🎉
🔥🔥🔥