HUKUMU: MAGOMA APIGWA FAINI MILIONI 70/ MWANASHERIA WA YANGA AFUNGUKA KESI IMEISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 121

  • @SantinaChale
    @SantinaChale 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo mzee magoma imemponza sana njaa.acha tu aripe iwefundisho kwa mwengine.tena akishindwa kulipa afungwe.aache njaa zake.asante wakili wetu.kweli haki imetendeka.

  • @madamrita9685
    @madamrita9685 2 หลายเดือนก่อน

    Dr Rais Samia ..Angalia Tanzania 🇹🇿 yako vizuri..Magoma Ana haki na Yanga..Apewe nafasi ya uwongozi..ukweli utabaki kuwa ukweli tu❤

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kesi ya jinai mhakikishe ichukukiwe hatua kali ile iwe fundisho kwa wengine.

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 2 หลายเดือนก่อน +4

    hongera mwanasheria wetu

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma 2 หลายเดือนก่อน

    Msameheni mzee magoma bhn

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi sijaelewa kabisa...ngoja ninyamaze maana sijui Sheria kabisa...lakini najiuliza maswali nakosa majibu..na Ninashindwa kuuliza maswali kwa Sababu nisije kuvunja Sheria ..

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna wakili hapa

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 หลายเดือนก่อน

    Auwawe huyo Magoma

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 2 หลายเดือนก่อน

    Asasnte Sana mwanashelia tumekuelewa waliomtuma wamsaidie Sasa kulipa ilodeni naupande wa pili walikuwa wanafuraiya wamsaidie Sasa zee la ovyo Sana ilo lazima alipe uyo mzee ilisikuingine asiludie tena ajifunze

  • @Fredynchacha-qx1lv
    @Fredynchacha-qx1lv 2 หลายเดือนก่อน

    Kuma huyo mzee pga kifungo cha maisha afie hukohuko

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 2 หลายเดือนก่อน

    mumsamehe hajui alitendalo

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 2 หลายเดือนก่อน

    Atumwe na Simba kwa ajili ya lipi, Mkiambiwa ukweli kuwa anaejiita rais amepatikana nje ya katiba , Nafikiri huyo Magoma wenu nae ana mawakili ,mistake kumfunga mdomo kwa kutafuta kumwogopesha, Huyu mwanasheria yeye ana ml 70 akitakiwa

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Magoma alitumwa na simba iko wazi kabisa maisha yake yenyewe duni uwezo wa kuweka wakili hana uyo kuna watu nyuma yake

  • @Cristano-cr7a
    @Cristano-cr7a 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga Bingwa

  • @ibrahimmtoni1863
    @ibrahimmtoni1863 2 หลายเดือนก่อน

    Makolo wamechemka na Magoma wao

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 2 หลายเดือนก่อน +1

    M/Mungu atazidi kuwalaani Mafisadi wote wa Yanga Inshaallah

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 2 หลายเดือนก่อน

    Hatuna mwanasheria hapa😅😅

    • @Godbless-o6c
      @Godbless-o6c 2 หลายเดือนก่อน

      Tuna nini?? Acha kujichomoa betri hujaelewa nini hapa? Unahitaji degree kuelewa??

    • @johannmaloda6027
      @johannmaloda6027 2 หลายเดือนก่อน

      @@Godbless-o6c jaribu kufwatilia kesi nyingi za club.. usiishie leo tu,kila mwaka tunafungiwa mara nne mpaka tano kwa msimu..kesi na kina Morrison na hili la kesi ya kina magoma wanahujumu club unaomba mil 70? Wnadhalilisha nembo ya club,ikiwa masoud kipanya anadai bil 6 kwa kudhalilishwa na mwijaku vp huyu kadhalilisha club na viongoz wa kiserikali kugushi signature za mke wa raisi?? halaf fain mil 70?? Hafai kuwa yanga

  • @fundimorisho8230
    @fundimorisho8230 2 หลายเดือนก่อน

    Apo wanataka kumuuwa UYO mze magoma

  • @gililwise
    @gililwise 2 หลายเดือนก่อน

    Tumsamehe tu maana hana fedha.za.kutulipa.

  • @azamdick7545
    @azamdick7545 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga champion 🏆

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi4162 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mi cjawahi kuckia kesi inakatiwarúfaa baadà yà kupita mwaka1,Shikamoo pesa unajuà kupiñdua meza kibabe...

    • @RaphaelPanga
      @RaphaelPanga 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wageuziwe kesi hawo wahuni

    • @neemajoseph7470
      @neemajoseph7470 2 หลายเดือนก่อน +5

      Wewe unajielewa hawakukata rufaaa. Ila waliombaa marejeo au mapitio ya kesi ambayo wao hawakushirikishwa

    • @AmryKakulu
      @AmryKakulu 2 หลายเดือนก่อน

      Ww unateseka nn

    • @maryaugustino8716
      @maryaugustino8716 2 หลายเดือนก่อน

      Yani Mungu huyu anajua kusikiliza maombi yetu, yeye amesoma kurujuan yake ila sisi tulitembea na Yesu kristo na kupitia mama yetu ritha wa kashia akafanya haya. Ashukuruwe Mungu wa mbinguni. Yaani magoma umeyatimba sasa nakutabiria kifungo cha miaka 5 jela kwa kughushi sahihi za wakubwa na utahadithia ukiwa gerezani na kujutia kabisa hayo uliyo yafanya. Asante Mungu umetusikia maombi yetu

    • @edgarndoleki8827
      @edgarndoleki8827 2 หลายเดือนก่อน

      Ivi wew unajua kwer maana ya rufaa na marejeo ya kesi

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna bwege anasema hii kesi itaiangukia Yanga Kwa lipi? Inamaana mama karume angeweza danganya anamuonea magoma?

  • @YusuphMdaki
    @YusuphMdaki 2 หลายเดือนก่อน

    Hili ni fundisho kwa wapigaji wakomee kuchezea Yanga magma afungwe iwe fundisho

  • @daudifungo5521
    @daudifungo5521 2 หลายเดือนก่อน

    SWADAKTA AKOME KABISA YEYE NA WALIOMTUMA
    HAKUNA HURUMA ALIPE HIZO HELA
    MWANAKULITAFUTA MWANAKULIPATA

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 2 หลายเดือนก่อน

    Hilo lizee ligoma likome kutusumbua jehu limetumwa na madunduka Ili liharibu mafanikio ya yanga

  • @HilgathAnthony
    @HilgathAnthony 2 หลายเดือนก่อน +1

    Fanyeni tu imeisha hivyo lkn kwenye magoma kulipa atatoa wap yeye mwenyewe ndio hivyo

    • @gregory6165
      @gregory6165 2 หลายเดือนก่อน

      Si zitauzwa mali zake, ameshasema ananyumba nne ikishindikana atachukuliwa kama civil prisoner

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน

      Alipe ye si alikuwa an ajiamini na anachikifanya?? Ngoja akili imkae sawa

  • @AlexNyarugezi
    @AlexNyarugezi 2 หลายเดือนก่อน

    Ila hii nchi inawatu wa hovyo sana et mahakama ya Yanga Daah ! Nae ni mtu na akili timamu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanasheria kilaza huyu hamna kitu

    • @Godbless-o6c
      @Godbless-o6c 2 หลายเดือนก่อน

      Hebu tuelezee wewe genius

  • @ZachariaKichuchu
    @ZachariaKichuchu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Magoma motomoto,akome kabisaaaaaaaaaaa.

  • @jegwaentertainmentmove_tz
    @jegwaentertainmentmove_tz 2 หลายเดือนก่อน

    Makolo wote mtakonda kwa Sasa mwisho mtatukana wazazi wenu kikubwa wenye nnchi tunainjoy kwa aki

  • @GiftyzabronMsambi
    @GiftyzabronMsambi 2 หลายเดือนก่อน

    Naiona nyumba ikipigwa mnada😂😂😂😂

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama hana faini ya kulipa ni kifungo tu na ukitoka unalipa deni

  • @MohammedMakame-c9x
    @MohammedMakame-c9x 2 หลายเดือนก่อน

    😮😂😅😅 Uyo mzee kayakanyaga, kweli Ana 100 million uyo ila mara anazo man alikua anajisifu kuwa yeye ni ajiri.

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน

      Kasema ana nyumba tatu Sasa akauze ili alipe faini😂😂😂😂

  • @KapenkwekasaliKasali
    @KapenkwekasaliKasali 2 หลายเดือนก่อน

    Quljuan imegeukaaaa

  • @JumaNassoro-tq2yf
    @JumaNassoro-tq2yf 2 หลายเดือนก่อน

    magomaaa😂😂😂

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 2 หลายเดือนก่อน

    Mi nawaambia hii kesi itawaangukia yanga pabaya baaada ya kumsikiza magoma wao wanajifanya jeuri ya pesa sasa utaona mwisho wake wao si wanataka milioni mia sasa wao ndio watalipishwa

    • @vi3ayo1622
      @vi3ayo1622 2 หลายเดือนก่อน

      Kuvip

    • @vi3ayo1622
      @vi3ayo1622 2 หลายเดือนก่อน

      Kivip

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee yanga wasimuachie kama vipi iuzwe hata nyumba yake alkaline faini

  • @StefanoMawe
    @StefanoMawe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Alikuwa anajifanya anajuwa sana huyo kenge

  • @GiftyzabronMsambi
    @GiftyzabronMsambi 2 หลายเดือนก่อน

    Naiona nyumba yake ikipigwa mnada😂😂😂😂😂

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 2 หลายเดือนก่อน

    KWISHAA HABARI YAKE NA HII NDIO MAANA YA UBAYA UBWELA

  • @deoselcom9701
    @deoselcom9701 2 หลายเดือนก่อน

    Mahakama imekili kuwa nikosa heee hilikweli balaaaa

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo inaitwa kiboko ya wachawi😂

  • @petronchalangi1033
    @petronchalangi1033 2 หลายเดือนก่อน

    Kurujuani .......imeanza kutafuna watu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 หลายเดือนก่อน

    Et ml60 nyoooo

    • @noelymwakasege2428
      @noelymwakasege2428 2 หลายเดือนก่อน

      Nyii mnao sema nyooo endeleeni ila atalipa tu

  • @amanielndossa4541
    @amanielndossa4541 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee atatoa wapi milion 100 au tuuze Yale meno yake

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 หลายเดือนก่อน +1

    Magoma😅😅😅 Milioni 100 anazo😅😅

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 2 หลายเดือนก่อน

    Hela ya kutulipa ana cha muhimu mtandikeni viboko 100 basi😂😂

  • @zuberimohamedi5761
    @zuberimohamedi5761 2 หลายเดือนก่อน

    Hii inaitwa kila mchuma janga,ula na wakwao

    • @gregory6165
      @gregory6165 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @Gmeninoclassic-b5o
    @Gmeninoclassic-b5o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niko msumbiji magoma asisamewe ata kidogo alipie kila kitu kilitcho garamiwa

    • @piusnkwale
      @piusnkwale 2 หลายเดือนก่อน

      Hiyo sio rufaa, ni marejeo ya uhukumu .

  • @SaraRobert-io8xv
    @SaraRobert-io8xv 2 หลายเดือนก่อน

    Akome magoma magoma kwisha😂😂😂😂😂

  • @AmurJecha
    @AmurJecha 2 หลายเดือนก่อน

    NYIE MASITUFANYE SISI NI WATOTO HIXO PESA WATATOA YANGA MRADI TU WASIADHIRIKE MAGOMA ALIKUWA SAHIHI CCM OYEEEE ❤❤❤❤❤❤

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni kichaa wa wapi Tena jamani unaleta uchawa kwenye mpira tena

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli Sheria ni andhaakanoon

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 2 หลายเดือนก่อน

    Ujinga wa ubaya ubwela huwo ndio maana jana wameliwa kiboga tena.

  • @allydaud612
    @allydaud612 2 หลายเดือนก่อน

    Magoma anacheza magoma

  • @Ahmedkassim-g6v
    @Ahmedkassim-g6v 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe sio mwanasheria na masuala ya kesi ni mambo ya sheria.

  • @ramadhanishabani4600
    @ramadhanishabani4600 2 หลายเดือนก่อน +7

    MAHAKAMA YENU UNATEGEMEA NINI HAPO. JUBUNI HOJA ZA PROF MAGOMA ACHENI JANJAJANJA

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 หลายเดือนก่อน +3

      Nyie ndio. Mnaomshawishi magoma ila huyo mwenzenu hawezi shindana na yanga yanga niserikali

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe huji sheria kaa kimya. Hayo siyo maandazi. Nyie ndo mnawadanganya watu mtaani. Acha kutaka hukumu itoke unavyotaka wewe mbumbumbu wa sheria.

    • @maryaugustino8716
      @maryaugustino8716 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mwambie huyo chizi ambaye hajielewi. Acha kucheza na Yanga utalala lumande tena miaka kama yote.

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 2 หลายเดือนก่อน

      @@nicodemuswidambe5132 Nimekuelewa sana Nicodemus. Huyu mbumbumbu alitaka dozi ya namna hii!

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 2 หลายเดือนก่อน +1

      Utakufa kwa kushabikia upumbavu 😂😂😂

  • @IssaAthmani
    @IssaAthmani 2 หลายเดือนก่อน +1

    hili nifundisho kwawengine wakome kutumwa kuusuyanga ubaya upwiru

  • @DochiDochi-f9z
    @DochiDochi-f9z 2 หลายเดือนก่อน

    Na kifungo apewe huyu mzee

  • @RaphaelPanga
    @RaphaelPanga 2 หลายเดือนก่อน

    Kwisha habari yake