Mume Wangu - Nuta Jazz Band

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @henrychaula1174
    @henrychaula1174 ปีที่แล้ว +1

    These were the old good times when men were men and women were desrved to their men. Asante sana Bwana mdogo kwa kuchakaza hiyo rythm guitor, tumeisikia.

  • @zonko0488
    @zonko0488 6 ปีที่แล้ว +8

    Kati ya nyimbo nzuri sana za Nuta, kama kumbukumbu iko vizuri ni utunzi wa Bitchuka huu. Kwenye safu ya uwimbaji akiwa Bitchuka, Muhidin Gurumo na Juma Akida. Bass Mwanyiro, Gitaa Solo Kiongozi (lead guitar) Abel Bartazar, Gitaa la solo la pili Said Mabera, Rhythm Guitar Abdallah Omar (Dulla), Joseph Lusungu, Mnenge kwenye kwenye vyombo vya kupuliza, Drums Mabruk Halfani na Tumba Mohamed Kajamba. Abdallah Omar Dulla alikuwa kiungo kizuri sana kwenye safu ya magitaa na alikuwa bado mdogo sana wakati huo na ndie unamsikia Bitchuka anamwita ahsante sana bwa mdogo. Nuta Jazz haikuwa mchezo.

  • @MbogoSouljah
    @MbogoSouljah 10 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi hutapata mke akisema mrudishe mwenza alee watoto, mapenzi ndani pamoja na utu, by that time i was a small boy.

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 2 ปีที่แล้ว

    The glory 70´s! Ifeel hounered and blessed for this "Makasada.This was the time when Africa was still nursing the wounds of colonial oppresions and injustices.Family values were still observed,one could leave the village and stay with brothers,cousins looking for a job in town and share whatever they had! In deed ,its the time where our fathers used to sit(sundays) with friends under a mango tree drinking coconut wine listing to these wonderfull music shooting from a hitachy/sanyo radio! Leo neema hii haiko tena,ni majanga baada ya janga, tulikosea wapi??

  • @haroldkinyanjui5397
    @haroldkinyanjui5397 4 ปีที่แล้ว +4

    Feels like life everlasting.

  • @henrychaula1174
    @henrychaula1174 6 ปีที่แล้ว +2

    Mafundisho mazuri kwa wanandoa , asante sana NUTA, asante Power Nguzo

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 4 ปีที่แล้ว +1

    Inasikitisha sana hii Nyimbo Mama wakambo wengine ni wazuri” Nyimbo hii inakutoa machozi ukipitia haya maswaibu” Mama wa Kambo wengine ni wema tu kama huyu”

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ndio muziki

  • @allyfaraji237
    @allyfaraji237 7 ปีที่แล้ว +2

    si mchezo power nguzo shukran.

  • @hassansalim9934
    @hassansalim9934 6 ปีที่แล้ว +2

    Mimi natafuta wimbo Reggina nakwita unisikie huko uliko

  • @zonko0488
    @zonko0488 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana bwa mdogo (Abdallah Omar Dulla kwenye rhythm gitaa)

    • @mrsd846
      @mrsd846 3 ปีที่แล้ว

      Mimi natafuta nyimbo ya ottu jazz band mume wangu katafute kazi

  • @shaabans.marijani9659
    @shaabans.marijani9659 6 ปีที่แล้ว +2

    Long long ago

  • @vedastoizoba7905
    @vedastoizoba7905 8 ปีที่แล้ว +1

    Edition Kavasha!

  • @husseninyangasa5389
    @husseninyangasa5389 7 ปีที่แล้ว +2

    Bending zetu nazo pia zilikuwa na uwezo mkubwa wa kupiga kavasha, sikia drum za hondohondo

  • @mpandageorge3319
    @mpandageorge3319 7 ปีที่แล้ว +1

    Natafuta wimbo wa mtake radhi mkeo wa nuta jazz

    • @rahimlipala3000
      @rahimlipala3000 5 ปีที่แล้ว

      Mm nataka kujuwa tu ninani alieliungurunisha hilo gitaa LA solo

    • @mpandageorge7904
      @mpandageorge7904 4 ปีที่แล้ว

      @@rahimlipala3000 Abel Baltazar

  • @hashimmtanza2839
    @hashimmtanza2839 2 ปีที่แล้ว

    Asha Dada nuta jazzi