Ndugu ,uko na kipaji cha kweli hongera sana. Mimi napenda sana Rumba japo sielewi kinacho nifurahisha sauti za waimbaji na mpangilio wa vyombo. Naomba tafasiri ya Wimbo wa madilu uitwao le tenant due titre
Bockson Bockson Bockson, nimekuita mara tatu. Unatupa raha sana wafuasi wako. Tafadhali nipate namba yako ya simu. Mimi ni Papa BICHWA, almaarufu kama Terminator bin Adam
Kazi nzuri sn tafadhali prince naomba tafsiri ya wimbo marathon ya ferre gola
Naupenda sana huu wimbo ..Asante kwa kutafsiri
Napenda Sana mziki wa rumba nakuomba na ujikite Sana kutafasiri nyimbo zinazo toka kwa wakati huu wa vijana kupenda mziki wa kikongo ::: asante
48 hrs by jb mpiana
Kabisaaa
From Kenya 🇰🇪 napenda kazi yako...tafazali tafsiri PAPA TABULEY BY LACOSTE pleaseeee
Prince Bockson😇 kazitamu huku Kenya tunakupenda sana. Porte Monnaie mimi naomba unitafsirie
This is nice. Please do Alidor and Ba esclaves by Koffi Ollomide
Mbote Bockson. Owuti na Kenya Nairobi. Translate for Formidable sang by Werrason
Asante sana Bocson natamani unitafsilie nyimbo ya Heritier wata nyimbo inaitwa de luxemberg
Thanx a bunch Prince Bockson.
Plz bring us Si si Silvie by Koffi Olomide ft Ferre Gola
Hii channel ni nzuri sana kwa kueleza ngano kilimo nyimboni za lugha ya Lingala.
Papaaa nakupata sana hapa mfinga Tanzania, Hon Negro sanga
Napenda sana rhumba. Naomba tafisili ya salanoki ya General Defao matumuona
Safi sana naomba tafsiri ya wimbo viuex jelouas ya ferre golla
Mm pia
Napenda sana hiki kipindi chako mkuu, naomba ukiwa unatafsiri wimbo uwe unasimamisha wimbo kwanza ili twende hatua kwa hatua
Sawa nakuelewa
@@princebockson5299koffi olomide airways.
Chilombo , Zambia l feel good
Ulienda wap boss
Naomba tafsili ya pe’re Noel confiance boz boziana & I’Anti choc
Bockson good work
Naitwa Pettit Loyd jr niko Dar napenda sana rhumba za congo
Ndugu ,uko na kipaji cha kweli hongera sana. Mimi napenda sana Rumba japo sielewi kinacho nifurahisha sauti za waimbaji na mpangilio wa vyombo. Naomba tafasiri ya Wimbo wa madilu uitwao le tenant due titre
Kazi poa bockson alf yule kaimba pale mwisho ni nani.
Niliomba Jeannette ya JB MPIENA muda mrefu sana rafiki yangu
Asante sana Kwa hii kamastura niite Le Padre Jangole
Nakuelewa Sana kiongozi naomba tafsiri ya wimbo wa ferregola. Vie a zero
Uko vizuri
Omari the don mandai
Uko vizuri sana Bockson
Nimekuelewa
.naomba tafsiri ya nyimbo Papa ngwasuma
Ahsnt sana napend sana nyimbo lingala ila pia Naomb utafsiri wimbo wa ferre gola kilos rmx
Am DJ kabangula can we get Lavie zero by lepadre
Bockson Bockson Bockson, nimekuita mara tatu. Unatupa raha sana wafuasi wako. Tafadhali nipate namba yako ya simu. Mimi ni Papa BICHWA, almaarufu kama Terminator bin Adam
PAPA TABULEY- by Lacoste
Aminata, Aminata by Madili system tumeomba kwa muda mrefu sana
Kitu tamu Prince Bockson tunakupenda sana
ww jamaa unanikosha
Tupe ya "marathon" ya ferre gola
Iko yee
Allan Mihayo naomba tafsiri ya wimbo Amore wa Fally Ipupa
Prince naomba nyimbo ya Eloko oyo ya Fally Ipupa
Fally ipupa nyimbo aflaye
Natondi mingi yaya.
Koffi olomide Maggie
Une fois de plus na retomber na meme erreur
Tafasri ya wimbo wa donico wa jpiana
Fere gola
Soki moninga azwee - Soki moninga alali inamaanisha nini kwa Ki Lingala?
Kaka naomba tafsili ya neno esco savaa maana naona wanalitumia Sana ilo neno wasanii wa koko
Naomba tafsiri ya wimbo wa defao unaoitwa madova
Tupe tafsir ya rosiginol
jkazi
Kazi nzuri inavutia na pia sisi wapenzi wa nyimbo za kongo tunapata furaha sana kujua nyimbo zrtu.pendwa naomba wimbo wa JB mpiana Dis Moi Amour
I'm asking for a son koffi olomide bibilia
Biloko ya moto.
Bob malamu
👍👍👍
Uko vizuri
Kaka Mie naitwa PDG Rajab niko Dodoma naomba sana Tafsiri ya Wimbo Nessy de London wa Defao
Na Wimbo wa Tour Effel wa Wenge BCBG
Mambo vipi, bro? Naomba tafsiri ya WENZE YA MINZEMBA ambao umeimbwa na Celeo Scrum na Ferre Gola...
Mbote
Kazi safi..uko na number ya WhatsApp