Yanga SC 1-3 APR FC | Highlights | Mapinduzi Cup - 07/01/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya robo fainali kati ya Yanga SC dhidi ya APR FC.
    Matokeo ni APR kuifunga Yanga SC 3-1
    Magoli yamefungwa na Soulei Sanda, Mbaoma Victor na Sharaf Eldin Shaiboub kwa upande wa APR.
    Goli la Yanga limefungwa na Jesus Moloko

ความคิดเห็น • 149