SITASUMBUKA (AUDIO GOSPEL) | WIMBO WA WOKOVU | SHALOM VINE CHOIR
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 มี.ค. 2022
- Nyimbo hizi za WOKOVU zinazotumika katika kanisa la Fpct hapa nchini Tanzania pamoja na makanisa mengine, zimerekodiwa na kwaya ya Shalom Vine Choir toka kanisa la Fpct Shalom Temple lililopo wilaya ya Kahama katika mkoa wa Shinyanga.
*****************
Katibu wa Kwaya
John Theodory - 0763773796
Wimbo wa kutia faraja tele. Ninabarikiwa sana kwa wimbo huu. Ahsante na Mungu awabariki.
hongera ubarikiwe mtumishi wa munguu wimbo uloja roho mtakatifu nimebarikiwa😊🎉😂❤😢😮❤🎉❤🎉❤🎉
The mercy of jesus christ may be upon you for your good message for us
mbarikiwe wapendwa wa mungu
Nafarijika sana na nyimbo hii mbarikiwe sana
Mzuri sana
Jamani nyimbo hizi ni nzuri kweli zinanifikisha mbali moyo wangu unawaka Moto wa Roho mtakatifu asanteni Sana MUNGU awabariki,, awabariki viongozi wetu waendelee kuisimamia kazi ya MUNGU,, MUNGU bariki Tanzania, Africa na ulimwengu wote.
Mbarikiwe wapendwa mmenikumbusha nyumbani nikiwa mbali ughaibuni. I miss every bit of these, hasa nilipokuwa Tabora TTC miaka ya 80. Napenda mnavyoimba simple hakuna madoido Mungu wa uzima awainue sana kwa viwango vya juu mnapomtumikia. Blessings
Hatuna Cha kutusumbua kbsa ... yupoo anayetupambania...
Ameeen
Asante Yesu moyo wangu hautasumbuka daima 🙏🙏🙏❤️❤️❤️🔥🩸🔥🩸🩸🩸🩸🩸🩸🩸
Ameeen
nimebarikiwa
Ameeen
Mbarikiwe sana kwa kazi ya mungu muitendayo
Amen
Mbarikiwe mno
Sitasumbuka kwasababu Yesu alimaliza yote pale msalabani ✝
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu
🔥🔥
Mungu awape ngufu musidi kumdumikia amen
Amen,Amen
Hakika sitasumbuka kwani mungu ni baba yangu kabisa
Barikiwa
Mbalikiwe kwa ujumbe mzur mungu nope ushuhuda
🙏🙏
Ameeen..Mungu anazijua hitaji zote ninazo..