BWANA MUNGU NASHANGAA (AUDIO GOSPEL) | WIMBO WA WOKOVU | SHALOM VINE CHOIR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มี.ค. 2022
  • Nyimbo hizi za WOKOVU zinazotumika katika kanisa la Fpct hapa nchini Tanzania pamoja na makanisa mengine, zimerekodiwa na kwaya ya Shalom Vine Choir toka kanisa la Fpct Shalom Temple lililopo wilaya ya Kahama katika mkoa wa Shinyanga.
    *****************
    Katibu wa Kwaya
    John Theodory - 0763773796

ความคิดเห็น • 15