Nzowa miaka ya 80 maquis du zaire inanikumbusha mbweni jkt , marehemu angola , Denis , dangali mwinuimvua na Radio yetu Philips tukiwa mbwenini tikingojea Jioni kuingia mazoezini kujiandaa na ligi ya ilala acha kabisa
Wonderful music. My favorite when I was doing A-level. It reminds me of Radio Tanzania Dar es salaam(RTD) in the mid 80's when music was music in East Africa. Marquis Original remains the legends of music in E.Africa.
Enzi za RTD kuanzia saa Sita na robo mchana hadi saa saba kamili. Idhaa ya taifa meter band 41 Short wave . Radio ya baba national Panasonic nikiwa hapa Kenya.
Ah siku zinapita unakumbusha mbali kulikuwa na mwalimu wetu mmoja huu wimbo alikuwa anaupenda sana akiingia darasini kinywani mwake anaingia na.huu mwanzoni kabisa.mwa miaka ya 80
Hata kipindihicho haku kuwalazima kumaliza 4m4 kwani la4tu unaumwa mzigo naajira juu nisababu wanamuziki walisaidia serikali maadili siokama sikuizi matusitu nyimbo zao
Nakumbuka rafiki yangu Michael Luka Mokiwa,aliupenda sana wimbo huu miaka hiyo! Duh,cku zimeenda jamani. Ashukuriwe Mungu kwa kutuweka hai hadi sasa
Niliupenda sana huu wimbo, miaka ya 80 nikiwa shuleni Lushoto na Muheza... Ashukuriwe Allah
Nzowa miaka ya 80 maquis du zaire inanikumbusha mbweni jkt , marehemu angola , Denis , dangali mwinuimvua na Radio yetu Philips tukiwa mbwenini tikingojea Jioni kuingia mazoezini kujiandaa na ligi ya ilala acha kabisa
That's was me JEAN CLAUDE MULAMBA on the drums at CBS studios in Kenya NAYROBI
nakumbuka nalo bibi yangu niliyompenda Marehemu Lilian Zango nyar Kabwana Obwere shirati
Zowa
Maquis du Zaire' maisha yalikuwa matamu sana, nchi ilikuwa na rutba....ukitupa ganda la chungwa linaota.......
Nimecheka sanaaaaa... Dah
Nikweli
Nzowa Jamani..
Dah Wazaramo wote peponi😢
Namkumbuka sana mjomba wangu makamba Ndani ya Goba 1984. Kumbuka Goba ya 1984
Wonderful music. My favorite when I was doing A-level. It reminds me of Radio Tanzania Dar es salaam(RTD) in the mid 80's when music was music in East Africa. Marquis Original remains the legends of music in E.Africa.
Enzi za RTD kuanzia saa Sita na robo mchana hadi saa saba kamili. Idhaa ya taifa meter band 41 Short wave . Radio ya baba national Panasonic nikiwa hapa Kenya.
Bro una memory kali kama yangu juu ya mita bendi 41 short wave kula mwisho upande wa kushoto wa redio Alex. Hahaha. Base ya RTD ilikuwa nzito sana
Zowa unanikumbusha Maduka ya ushirika ukinunua sukari unapewa na betri za national Mtsushta
😇😇
Ah siku zinapita unakumbusha mbali kulikuwa na mwalimu wetu mmoja huu wimbo alikuwa anaupenda sana akiingia darasini kinywani mwake anaingia na.huu mwanzoni kabisa.mwa miaka ya 80
Mungu mkubwa nakumbuka mbali sana
Yaan dunia tungekuwa atufi jaman Hz nyimb unawwza ukatoa mawaz yote ukiwa unasukiliza siy kwa beat Hz jaman love sana Hz ngoma
ZOA mziki uliobamba miaka ya 80. nimekumbuka mbali sana.
Very good and original beat. Hongera wana muziki wa tanzania
Hawa ni wazaire
@@twaliblilungulu7582 sawa ila walifanyia mziki wao Tz baada ya kuhama kwao Zaire na kuhamia Tanzania, hata lugha walitumia lugha nzuri ya Kiswahili
zowa mziki ulopigwa ukapigika burudani imetengenezwa
Nidhamu ya kazi NUTA JAZZ
Kweli nyimbo za zamani hazichuji. Siku hizi nyimbo zao ni kama icecream
Nakumbuka Safari resort bar kumara, week end na white house
Nyakati hizo nilikuwa najulikana kwa jina mlambamwiko
kwanini ulikua unalamba mwiko,,?
Hiyo solo marehemu rubaba alikua fundi sana lakini yeye hana majivuno na wala hakua anavuma
jamaa walikuwa hatari sana maqiii du zaire
Hawajakuja tena kamahawa waimba hekima nakuishibisha mioyoni miziki
Hata kipindihicho haku kuwalazima kumaliza 4m4 kwani la4tu unaumwa mzigo naajira juu nisababu wanamuziki walisaidia serikali maadili siokama sikuizi matusitu nyimbo zao
Leo ntawaletea vihendo vya Maquis tuu....hahahahaaaaa
Nakumbuka Forodhani SS
muziki wa ukweli sio bongo fleva
Siyo mchezo hawa jamaa walikuwa wanajua nini wanafanya.
mpiga alikuwa siddy moriss
mpiga tumba alikuwa anaitwa siddy moriss
Waimbaji
Mbuya makonga Adios,mutombo lufumbula Audax,lukumbule lulembo Paresh,kasongo mpinga.
Sax
Royi mukuna,kimeza Abdallah,
Zama zile hazitarudi tena
Mpiga tumba hapa alikuwa nani? Maana ilikuwa hatari sana
aisee wewe kama mimi yaani tumba jamaa alizitendea haki kabisa
Alikuwa side Morris
Tumba alipiga marehemu side morisi
Tumba side morisi marehemu
Akina Kanku Kelly na Kiniki Kieto ........................... vp wapo hai jamani ?
Zowa. saxophone za Kimeza zilinipagawisha.
Kimeza Abdala kimeza ndani ya saxophone!
Rumba kama sikosei ni marehem sidi moris.