NJOONI KWANGU-SHIRATI CENTRAL SDA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 มี.ค. 2022
- Karibuni kutazama na kusikiliza wimbo huu kutoka kwa kwaya ya shirati central sda kilichopo katika wilaya ya Rorya mkoa wa Mara katika mtaa wa shirati wimbo huu umetungwa na Gerald wangu na kufundishwa na mwl Geofrey tukiko
kwa mawasiliano 0759109864 mashaka steven mkuu mawasiliano kwaya
email shiraticentralsda@gmail.com
AMEEEN napata nyimbo zenu na kubarikiwa nikiwa saudi Arabia barikiwa sana
Aminaaa 💕🔥💪🙏
Mbarikiwe Sana nyimbo zenu tunabatikiwa Sana congo
halleluya wapendwa,napata nyimbo zenu kutoka Kenya,napenda nyimbo zenu sana zina ujumbe mzuri na sauti nyororo nawapenda sana mbarikiwe
Ubarikiwe Sana mpendwa
Nice music and very much encouraging
Hongereni mbarikiw
Good jesus of Israel!!!
God bless you. Have been listening to your music and I think it's the time I joined Sda church. Keep up the good work 👏
Supper choir of god
Mungu awabariki snaa
Christwill take us to god at last
Seventh day adventist church
Nazidi kubarikiwa Sanaa, natamani Kuwa mwimbaji kwaya hiyoo, nipo namalizia masomo na kuomba ushirika, nabarikwa sanaah, 3:39
Beautiful song, I wish you had translated so we could all get the message. But still it's a wonderful song even though I don't understand the language
Amen
Mnanibariki sana Mungu azidi kuwatumia apendavyo
Amen ambia Yesu sumbuko lako
Nice one keep growing
Nice song,full of blessings
Nice song..
Nice melody..
Full of blessing and courage..
Good afternoon kindly send me your new songs of 2022
Mat11:28 kweli wimbo mtamu
th-cam.com/video/JcnFRwM8ZC0/w-d-xo.html
Wmbo mzuri sana