ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Immanuel Immanuel ,umelala katika bwana najaribu kuvivaa viatu vya Lea naona vinanibanaaa Dada Lea faraja ya kweli inatoka kwa Mungu
Pole mamdgo lea kwa kumpoteza mume wako mpnz mungu akutie nguvu juu y hili
Jamani mc pilipil walipendeza Sana Lkn mungu ndokampenda mumewe alale Mahala Pema peponi.
Arusi hii ilipendeza Sana
Naliliumia sana baada yakusikia mkaka huyu Amefariki
pole sana mpendwa mng akutie nguv
Mungu akuweke mahari pema pepon
pole Ndugu wa baba harusi
Japo siwafaham ila imeniuma san 😭😭😭😭😭pumziken kwa amani 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwani walikufa
Daa napenda kufwatilia hiz crip kwan nni naitaj kufany vyem zaid
Jina la hili song plz
😢😢😢😢R.I.p Emmaluel pole dada Leah n juz mno ile n mapenzi yake mungu.
Xxx
hongera brooooo big up safiiii sana mzee baba
Leah na Emmanuel's
R.I.p
Daaah aisee kaz ya Mungu haina makosa kumbe huyu kaka alikufa
Pole dada
polen kwa msiba familia inauma sana bt kaz ya mungu haina makosa.Naomba mnisaidie alieimba hii nyimbo n jina lake plz plz
Eeee Mungu weee, nini lakini jaman Imma imekuwa ghafla mno, nenda baba sisi tupo nyuma yako Rip Imma
Dadangu Allah akupe ufariji wa hali ya juu, pole sana kwa kifo cha mumeo +254
Huyo Dada Kafiwa na Mumewe ??
Zuhura Mabrouk 8
Jamn
Nice
#McPilipili MAJIBU ya Afande unayaskia mwenyewe...
Kunachinikosha Sana ni nidhamu halisi ya huyo msoja popote anaonyesha unyenyekevu halisi Mungu amlaze pahali pema peponi amina
Aise naskia huyu bwana arus amekufa juz dah
R.I.P Kamanda mungu akulaze mahali pema peponi
Jesus huyu bw Harus amefariki
jaman mc pilipili unachekesha sana ntakutafuta siku ya harusi yangu hakika unaweza
saf sana
R.I.P classmate wangu Emmanuel Mlawa ,Ndoa yako ilidumu mwezi mmoja then ukatoweka .pumzika kwa Amani bro
Jamaniii
Jaman mwez mmoja tu?
Oh my God ninusuru mm jaman,..
Alifariki kwa sababu gani?Apumzike kwa amani
Rip bwana harusi Emanuel mlawa
R. I. P. Emmanuel
nmependa sana
Uwiiiii pole dada,
rip mdogoangu emma jamaniiii
r.I.p bwana Emanuele pole Dada Leah dah inauma jmn
Rip
daaah r.I.p my boy mungu akupunguzie adhabu ya kaburi pumzika kamanda pole biharus najuwa utakuwa unaumia sana
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Inauma et inauma dah 😭😭😭😭😭
Rip Emma
Kiukweli nmelia Sana nmeona ista kumbe amefaliki uyu mkaka pumziko la milele Emmanuel
Pili pili upo vzr kaka
Halim kepa
R. I. P kamanda wetu
Jamani jina la huu wimbo wa kwanza unaitwaje? Majibu please 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
jamani R.I.P Emmanuel.. dah Mungu mkali
Adellah Mdede inaninillah wainailah rajwaun
Binamu naomba nisaidie kuuliza hii nyimbo iliyoanza kwenye hii video, inaitwaje?
Adellah Mdede
R. I. p.
😁😁😁😁 yani wwe njoo geita kwenye kharusi yangu
joji ambangire
Rip Emmanuel daima. Tutakukumbuka
jamani inasikitisha pole mdada kizuri hakidumu kazi ya mungu
Pumzika kwa amani Emanueli
😭😭😭😭😭😭😭😭
Kha alikuwa ana unaumwa jamani
Masikn da Leah pole sana
Kuruthum Iddy jmn huyu kaka aliugia nn
Yaan huyu mc huo ananikosha sana
Duuuuuu is so sad
R.I.P anko Mungu akulaze mahali pema peponi pole sana ant Mungu akutie nguvu
Duuuh jaman
Sheree aliyo alikwa ms pilipli English
Huu wimbo wa kwanza unaitwaje majibu please.
I do
Amefariki lin
😅😅😅pili pili hatar
Kaz kaz Mzee baba
Pole Leah mungu akupe subra
Inasikitisha bwana harusi rip
Nimdal
😂😂😂😂😂
Rip dear kaka familia yako bado tuna kukumbuka😭😭😭
poleeni Jaman
Asante mpendwa.. #Eliada
My condolences to the family it's really sad .frm+971
Ni yupi kafariki jamani
KAISPLTY
r.I.p. kaka mpendwa
alipatwa na nn huyu kaka wawatu mbna uyu Dada kapata pigo kubwa sana hata kushangaa nashindwa
Hata mie sielewi
ajali
huyu bwanaharus amefariki rip emmanuel mlawa
Aneth Amos eeeh kafariki siku chache baada yakufunga ndoa
Beatrice Bright Kisonga ndio na ndoa yke tulisimamia tulikua maids
R. I. P Emanueli mbele yako nyuma yetu daa inaumaaaaaa
Aneth Amos jmn aliumwa nn!?
Aneth Amos ,jmn emmanuel ameshafariki?
jmn mlawa alipatwa na nn mpk akafariki? pole lea
Ajali kwenye gari yake ndo iliyomuua
addy msola ,duh mng ailaze roho yake mahali pema peponi
R.I.P ngauti
Alikuwa anaumwa?
Yani huyu kaka aliniiuma masikini kusika kafariki masikini
Haki kazi ya mungu haina makosa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amina dagida
Eeeh

Alifariki kwa sababu gani?
Apumzike kwa amani