- 887
- 883 906
Al Huda TV Burundi
Saudi Arabia
เข้าร่วมเมื่อ 22 เม.ย. 2021
Lengo Letu Al huda Kusaidia Jamii Yetu Burundi ILi tufanikishe Twaitaji Sapoti za Waislamu ILi Ndoto zetu zitimie na Allah atukutanishe na wenye Mapenzi yakutumikia Jamii Yetu WhatsApp +25775461875
TAKRIMA KATIKA MADRASSA YA AL HUDA ALLAH AZIDISHE BARKA KATIKA KUSIMAMIA ELIMU ZA WATOTO WETU
TAKRIMA KATIKA MADRASSA YA AL HUDA ALLAH AZIDISHE BARKA KATIKA KUSIMAMIA ELIMU ZA WATOTO WETU
มุมมอง: 52
วีดีโอ
ONGEA NDOTO YAKO SELE MNYAMA SIRI YA MAFANIKIO ( UTAJIRI)
มุมมอง 3962 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kipindi Ongea Ndoto yako kitakua kinaletwa kwenu kila Jumamossi mida ya saa 2 usiku masaa ya Burundi Uku Tutakua na masheikh na yoyote anaeweza kutoa mchango wake wa Fikra kuusu kuhamanisha vijana katika kukuza nakuongea ndoto zawo
EWE NDUGU ZANGU WAISLAMU KUITAZAMA VIDEO KWA HALI YA MUSKITI HUU
มุมมอง 1224 ชั่วโมงที่ผ่านมา
EWE NDUGU ZANGU WAISLAMU KUITAZAMA VIDEO KWA HALI YA MUSKITI HUU
Sheikh Musa //Madhara ya Kijicho na Tiba Yake
มุมมอง 28119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Musa //Madhara ya Kijicho na Tiba Yake
Mda wa kazi zetu 2025 Insha Allah tunarejea katika kazi zetu
มุมมอง 396วันที่ผ่านมา
Mda wa kazi zetu 2025 Insha Allah tunarejea katika kazi zetu
UKIELEWA KHERI HII BASI UTAKUA MWENYE BUSARA
มุมมอง 13714 วันที่ผ่านมา
UKIELEWA KHERI HII BASI UTAKUA MWENYE BUSARA
KIKAO CHA MATENGENEZO KWA AJILI YA HARAKATI ZETU
มุมมอง 12514 วันที่ผ่านมา
KIKAO CHA MATENGENEZO KWA AJILI YA HARAKATI ZETU
Dua yetu kwa Mufti wa Burundi Sheikh Salumu
มุมมอง 2.7K14 วันที่ผ่านมา
Dua yetu kwa Mufti wa Burundi Sheikh Salumu
Habari kuusu Kuapishwaa Mufti wa Burundi Mgeni Rasmi Rais wa Burundi
มุมมอง 3.5K14 วันที่ผ่านมา
Habari kuusu Kuapishwaa Mufti wa Burundi Mgeni Rasmi Rais wa Burundi
Matembezi ya Sheikh Abdi john na Hadjati Kito Cape Town South Africa
มุมมอง 1.4K14 วันที่ผ่านมา
Matembezi ya Sheikh Abdi john na Hadjati Kito Cape Town South Africa
Habari njema kutoka kwake Sheikh Abdoul Hamid Yussuf Masha Allah
มุมมอง 15914 วันที่ผ่านมา
Habari njema kutoka kwake Sheikh Abdoul Hamid Yussuf Masha Allah
Ndoto ya Mwanafunzi huu kuhifadhi Qur an akiwa na umri myaka 20 Insha allah
มุมมอง 16021 วันที่ผ่านมา
Ndoto ya Mwanafunzi huu kuhifadhi Qur an akiwa na umri myaka 20 Insha allah
Sheikh Abdoul shakur upendo wake dhidi ya Hamza mahane leo ametoa sapoti yake katika kuzithamini
มุมมอง 18628 วันที่ผ่านมา
Sheikh Abdoul shakur upendo wake dhidi ya Hamza mahane leo ametoa sapoti yake katika kuzithamini
Kikao cha wana Al huda kutafakari ( Shura) na mipango ya mwaka 2025 Dhidi ya Jamii yetu Burundi
มุมมอง 35828 วันที่ผ่านมา
Kikao cha wana Al huda kutafakari ( Shura) na mipango ya mwaka 2025 Dhidi ya Jamii yetu Burundi
Al huda Tv Burundi Tunafunga Vipindi vyetu kwa Mda Asanteni Nyote
มุมมอง 24028 วันที่ผ่านมา
Al huda Tv Burundi Tunafunga Vipindi vyetu kwa Mda Asanteni Nyote
Waazilishi wa Halaqah school Asibitisha Malengo ya Shule ili Burundi na mipango ya Baadae
มุมมอง 403หลายเดือนก่อน
Waazilishi wa Halaqah school Asibitisha Malengo ya Shule ili Burundi na mipango ya Baadae
Muskiti Huu umesahaulika Al huda Tumeendeleza nakuwapa Nguvu kwa Pamoja na kufanya Usafi
มุมมอง 210หลายเดือนก่อน
Muskiti Huu umesahaulika Al huda Tumeendeleza nakuwapa Nguvu kwa Pamoja na kufanya Usafi
Halaqah School Shule lenye Vingezo Vyote Muhimu Burundi kwa Faida ya Mayatima
มุมมอง 725หลายเดือนก่อน
Halaqah School Shule lenye Vingezo Vyote Muhimu Burundi kwa Faida ya Mayatima
TUPO KWENYE HATUWA HII ALHAMDULILLAH MLANGO WA PEPO YAKO
มุมมอง 79หลายเดือนก่อน
TUPO KWENYE HATUWA HII ALHAMDULILLAH MLANGO WA PEPO YAKO
Sheikh Abdi John Atembelea Ujenzi wa Internat ya Al huda atuma wito kwa kila MWISLAM
มุมมอง 681หลายเดือนก่อน
Sheikh Abdi John Atembelea Ujenzi wa Internat ya Al huda atuma wito kwa kila MWISLAM
Safari ya Hadjati Kito na Sheikh Abdi John kwenda South Africa Cape Town Chini ya Taasisi ya GLAMA
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
Safari ya Hadjati Kito na Sheikh Abdi John kwenda South Africa Cape Town Chini ya Taasisi ya GLAMA
Amigo Tv na Al Amnu Tv Pamoja na Tv zingine za Kiislamu katika Seminar na aya do Malengo yetu
มุมมอง 350หลายเดือนก่อน
Amigo Tv na Al Amnu Tv Pamoja na Tv zingine za Kiislamu katika Seminar na aya do Malengo yetu
Hamza Mahane Namna Yakuwalingania Wakriston dhidi ya Hodja zawo
มุมมอง 326หลายเดือนก่อน
Hamza Mahane Namna Yakuwalingania Wakriston dhidi ya Hodja zawo
Sheikh Abdi John Atoa Ufafanuzi kuusu Afya Kwanza na Malengo makubwa ya Jambo ili Dhidi ya Waislamu
มุมมอง 602หลายเดือนก่อน
Sheikh Abdi John Atoa Ufafanuzi kuusu Afya Kwanza na Malengo makubwa ya Jambo ili Dhidi ya Waislamu
Sheikh Zuberi Tangazo kwa Kila MWISLAM
มุมมอง 739หลายเดือนก่อน
Sheikh Zuberi Tangazo kwa Kila MWISLAM
Sheikh Hassan Nyamweru Sayasi Katika Qur an
มุมมอง 471หลายเดือนก่อน
Sheikh Hassan Nyamweru Sayasi Katika Qur an
Kiongozi wa Kundi lime andaa KONGAMANO Siku ya Leo Markaz
มุมมอง 430หลายเดือนก่อน
Kiongozi wa Kundi lime andaa KONGAMANO Siku ya Leo Markaz
KONGAMANO LA KIDA'AWA MCHANGO WA VIJANA KATIKA JAMII
มุมมอง 335หลายเดือนก่อน
KONGAMANO LA KIDA'AWA MCHANGO WA VIJANA KATIKA JAMII
Mashaallah
Kwani uyu ni nani? Kuweni professional. Mnaingiya aje kwenye madaa na hamjamwambia ajitambulishe? Biography yake hadi alipofikia. UswAhili mwingi
Barakallahu fiikum
Allahu akbar
❤❤❤
YANİ WAKIRISTO HAMUONI HAYO MAANDIKO KWA BIBILIA?? FUNGUENI MACHO NDUGU MUSILIMU. WAZUNGU WAMEWAPOTEZA
حفظه الله
❤❤❤
Masha Allah ❤❤❤ Allah Akubarik sana
Allahuma barik
Vzr
Mansha'allah sheikh hamza Allahu Akuhifadhi
اللهم آمين يارب العالمين
اللهم آمين يارب العالمين
Haramu kujicanganya na makafiri watakaoelea ni wacace mukijicanganya na siasa ndo kufeli kote
Wew zidi na huyo utenganifu wako alafu abadae utajuta ,we humzidi Allah SW ao Mtume S A W alie wakariim majiraani yako walikua sio weslam mpaka kusilim,ao kama niharaam humzidi busaara Allah S W alie tujuhumisha nao ilii tuishi nao kwausalama mpaka wajue njia yahaki.wacheni ukatili islam ni peace na love
❤
Allahuma amiin
Allahumma amiin thumma amiin
Sheikh hamza endelea na kazi nzuri ya kutujuza yanayotokea usiogope watu kama hawa hawakosagi mimi nakuunga mkono🎉🎉🎉
Ni maamuziyako kumutii muhammadi(s.a.w)ao umutii abujahari.
Tutaishiya motoni gutokana na uoga wa kifo,njaa
Wewe na familia Yako ndo mtaishia motoni .hukumu nafsi Yako
Iyo nikafir hujui vyeny unasema
Ni ujinga tu,waislamu tumejisahau ndio maana Allah ametutia udhalili na unyonge mbele ya makafiri
Mashaallah
Amiina
Allah awahifadhi kwa juhudi mnazozifanya
Njaa ni mbaya
Sema vizuri usipoweza jikalie kimya huyo ndo uislam
Iyo nihusda
Tena koma
Kweli waislamu Burundi hawajitambui Vyama vya siasa na uislamu wamechanganya hawajui chochote Kweli kabisa njaa mbaya aisee
@@niyonganjisadikielewa kuwa njaa ni mbaya hajakosea Haiwezekani waisilamu kushirikiana na cndd na maovu yao
And you happy as Muslims to invite the president 😂 .nonses
Namkubali sana mazowezi muhimu tupunguze kula
Dawa yenu wachawi mnacheza na allah 🤣🤣🤣
Maashaa ALLAH
Asalaam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh ndugu zangu Katika Imani. GLAMA imefanya jambo la maana kabisa. Keep moving
Mashallah
Mansha Allah ❤❤❤
Allah awarahisishie masheikh zetu, awapeleke na awarudishee kwa usalama❤❤❤ Allah awajaliee taufiq katika daawaa yaoo
Mansha Allah ❤❤❤❤
Mashallah ALLAH Akbar
Manshallah ubarikiwe kheri❤
@@Khadjaty Amiin
Mashallah❤❤
Manshaaallah Allah awalipe kheri 🥰
Allah awawekeye wepesi ❤
Maa shaa Allah, Allah akulipe kila la kheri, akupe taufiq, akujalie ikhlas kwa yoote utendayoo....naku usiaa kuendelea na kazii hii ya Allah na malipoo yako kwa Allah....tunakupenda kwa ajili ya Allah..tunamuomba Allah akusamehe pale unapoo kosea....
@@Nahishakiye1 amiin kwetu sote
ya Allah tupe mwisho mweme
Mansha Alla🫶🏾🫶🏾🫶🏾🫶🏾
ila.wameandika mayatima,mtoto umoja kasema anataka awe infirmier kama mama yake. natumai hawajuguwi watoto wamatajiri tuu, wamasikini wakawa ndo barabarani. tunaomba infos zakutosha ziko uwazi kama.kweli mayatima.msada utamiminika bi ithillah
@@minana695 kweny maelezo alosema kwenye vidéo bona kajibu yote maswali yako hadi kasistiza kisaidia watoto ambao wazazi wao maisha bado magumu apo kuna mchaganyiko
Hapo ni wapi??
@@ismailnduwayo2133 Gihanga
Mbona Hamjibu ?? Mnaweka like tu
@@alhudatvburundi304 MashaAllah ni karibu nakwangu naona nitafaidika kutangaza Elimu MashaAllah
@@ismailnduwayo2133 jibu tayari na apo kuna namba za whatsapp kwa maelezo zaidi
🎉🎉ma sha Allah
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh uyo maman anatokey uku Belgique ,mais ayo masomo sijuw yako wapi watwambiy
@@mariamseif3867 walkum salaam warahmatullah wabarakatu yapo Bujumbura buterere
Yapo Bujumbura-Buterere nyuma ya soko ya Samariro
Mansha Allah❤❤
Allahu awaripe kheri kila arie cangia halqa school mpaka Sasa kua ivi
ManshaAllah