Sheikh Nurdin ( mazishi ).flv

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @wanusuleiman169
    @wanusuleiman169 2 ปีที่แล้ว

    innaalillaah wainailayhi raajiuun. Kullu nafsi zaaikatulmawt

  • @shabanijuma9187
    @shabanijuma9187 7 ปีที่แล้ว +1

    Allah amuweke Mahala pema, na amsaamehe alipokosea, na sisi pia Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wenye kufuata nyundo za mashekh wetu

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 5 ปีที่แล้ว +1

    إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم إرحم موتانا وموتى المسلمين واجعل قبورهم روضة من رياض الجنة ولا تجعله حفرة من حفر النار اللهم امين يارب العالمين

  • @fettyzubery106
    @fettyzubery106 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah amuongoze ktk njia iliokuwa bora

  • @JustMe-ip9xn
    @JustMe-ip9xn 5 ปีที่แล้ว +1

    الاهم أغفر لهم ورحمهم وسكنهم في الجنة مع الحبيب العاظم سيد الخلق محمد صلي الله عليه واله وصحبه وسلم تسليما كثيرا الفاتحة

  • @haithamabdallah1051
    @haithamabdallah1051 6 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi akulaz mahala pema peponi hakika wanao pingana na mwenyezi mungu huyo yuko pamoja na shetani, lailaha ilallah mhamad rasulullaah

  • @MrBadi1979
    @MrBadi1979 13 ปีที่แล้ว +3

    mwanazuoni mkubwa katutoka ALLAH(SWT) AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI,AMIIIIIN

  • @nuurnuurbutd5416
    @nuurnuurbutd5416 8 ปีที่แล้ว

    Thnks

  • @rukiyamohamed3732
    @rukiyamohamed3732 12 ปีที่แล้ว +1

    mazishi ama harusi.... subhanah.... Allah atusamehe amin

    • @shabanijuma9187
      @shabanijuma9187 7 ปีที่แล้ว

      ni mtu Mkubwa, na kama ni harusi ungeona watu wakisherehekea

    • @mudysharo7156
      @mudysharo7156 7 ปีที่แล้ว

      usihukumu kabla hujahukumiwa, jina la Mungu ndilo linalotajwa hapo, usiishie kusoma magazeti na mihadhara kakae kitako upate elimu na upate sanadi, elimu si itikadi no research no right to speak

    • @mudysharo7156
      @mudysharo7156 7 ปีที่แล้ว

      nakuomba kwa heshima yako urudi ufute comment yako ikikupendeza, usiwe dikteta wa kielimu uwasamehe wale wenye itikadi zao

    • @muhammedabdallah6335
      @muhammedabdallah6335 5 ปีที่แล้ว

      RUKIYA MOHAMED ww umeonaje hp acha ujinga wako hp ulipo hata alifu hujuwi alafu unaogea pumba

  • @rukiyamohamed3732
    @rukiyamohamed3732 12 ปีที่แล้ว +2

    sheria ya mazishi watu wanyamaze.... Astaghfiruallah

    • @hamaddede464
      @hamaddede464 7 ปีที่แล้ว

      mmmmmmh hakika kama kwenu kukiwa na msiba unaweza simama ukasema hapa mambo ya wanawake kuja na sare hakuna wala kupiga self hakuna ..........inshort mawahabi tumewazoea .........kwahiyo ulitaka watu wafanye nn?

    • @muhammedabdallah6335
      @muhammedabdallah6335 5 ปีที่แล้ว

      RUKIYA MOHAMED ww una elimu kwani hapo wanaogea hao or wanafanya dhikiri usiwe km majunini

  • @salehekaisi2318
    @salehekaisi2318 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwa upande wangu mimi naona kuwa kimya wakati wa mazishi ni bora na yule anaemsabihi Mwenyezi Mungu ni bora ikiwa italenga kufuta ubaya wa mazungumzo yasiendana na faradhi hii, tutumie akili zetu kwa kufuatilia historia halisi ya uislam ulikuwaje kuanzia somalia,kenya,uganda rwanda,burundi،congo,malawi,comoro na msumbiji .wakati na zama za mtume(s.a.w) hadi karne ya 17 ambapo uliwashawishi makafiri kuleta fitna kwa waislamu na uislam kwa ujumla Sasa inasikitisha kuona waislamu wanahusika kwa kiasi kikubwa kuchangia fitna hii kwa kuleta malumbano yasiyokuwa na muono wa kiakili na kidalili katika kuelewa uislam na kuuendeleza uislam wetu.

    • @muhammedabdallah6335
      @muhammedabdallah6335 5 ปีที่แล้ว

      Salehe Kaisi ww unaweza kukaa kmy or unogea kitu ambacho huna elimu nacho usiwe km dututhu km hujuwi kuwa kaa kmy

  • @mudarthir
    @mudarthir 7 ปีที่แล้ว

    Wewe rukya huna ujualo kaa kimya wahabi wewe