Daimond ni ufagio. Huenda akifagia kila kinachopita. Aibu kwa mtoto wa kiislamu. Mama Dangote muwache afunge Nikah angaa awache Zinaaa. Hadija Kopa kafanya kusudi kumletea Diamond binti yake. Allah awongoze
Je vous regrette vraiment les tanzanien, une star qui épouse mm 10 femme et il officialiser à l'état tanzanien ce domage vraiment, suivez l'exemple des stars congolais
Mashaallah inshaala nyumbayako iwe ya keiri na muwe kupjmzia kwenu
Qwan Diamond hutaoa gaidi Wa ngapi😏,we love Zari 💕😘
Mashaallah...hongera kwao
Ebwanawe mtoto zuchu me ya Allah why it is always mco Allah because llove you 💗
Xxuchu anaadabu na anawapenda familia diamond
Waongo zuchu yuko Kenya kwenye show ndoa hiyo ya lini warongo sana nyinyi
Wamependeza sana lakini
Wapiii wanaowanaaa yeye aachie wimbo tu wasituzingue
Mpeleke ambulance South Africa
Ndoa ya ray na fay pamoja na mondi na zuchu itanoga kweliii
Nawapenda San hongera kwawo
Zuchu na mond wametoka mbali atii
Duh nawaombea nawapd sana
Na amuoe tu kwanza huyu wataendana mana zuchu si mdangaji. Ametulia sana anafata kua mke
Daimond ni ufagio. Huenda akifagia kila kinachopita. Aibu kwa mtoto wa kiislamu. Mama Dangote muwache afunge Nikah angaa awache Zinaaa. Hadija Kopa kafanya kusudi kumletea Diamond binti yake. Allah awongoze
Wanapendezana hongera zuchu
Will zuchu be happy in this marriage. I doubt but wishing her the best.
I love this couple
Me too
Tatizo zunchu ame komaa sana jaman tuna muwe lewa sana zari jaman
Good muache waowane
Mimi nawaombea Mungu Diamond na Zuchu waweze kufanya harusi
Hongera sanaa
Hi
Jamani zuchu hafanani hata kidogo dImond Napendeza na zari tuùuuuu simwengine wengine ni wait a njiya
Tulia Na Zarina
Kapendeza zuchu bibi harusi
Mama diamond saache waowane
Walianza zamani hawaa
Niukweli hiyo ama
Umbea tu nyooooo
Zuchu safii nilisemega mimi
Hata ningekua mm chibu Zuchu mzuri nyie
Wapendezana xana tuu
Acha waoaneee
Hiyo ni uongo just a songp
Makubwa haya,lakinj sizani kama kitai vana
Nyie.. siaaminie...habari zenu.....
Musitubabaishe kama wataka kufunga ndoa si wafunge lipi la ajabu
Mama waache waowane tu
Nassib sio muowaji jamani
Zuchu
Cherekooooooo wawilwanafunga ndoa.
Allh
Na c amefanya harusi mingi sana
ata awapendez kwakwel
Nawapenda sanaa jamani
Siamini
Kumbukeni wakati Zari Na watoto kutuwa Bongo gisi Zuchu amekasirika Na akashindwa kujiziwiya Na wakati wakiwa kwenye kiwanja cha mpila.
Bora
Kiki hiyo uwongo mtupuuu!
Atali inaweza ikawezekana bosi akawamumewe mbona mpangaji anaweza akawa mwenye nyumba
JAMANI kwani Kuna amabae hajui mond ako na chuchu
Hovyoooo
Hii ni Habari ama ni wimbo unaimba kaka Una uwongo Sana wewe kusema kweli Mimi uwezi nikoroga akili😂😂😂😂😂
Ww uliyapata wapi
Hi ni nyimbo
Maman dangote ata penda tu
Congrats Diamond a.k.a the "father of all nations" in East Africa 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Baba africa
Kwani huomamadangote anataka aolewe yeye namwanae
Mnakosa Cha kutangaza Sasa kwa nn mnafungua chanel
Waongo hii channel yao
km aameoana ni kheri mlitaka wazini tu
Kwa Nini amutuoneshe live ?ita kuwa uwongo
Lakini channel za kutoa habari za uongo yakwanza ni hii na hot chemba wana urongo sana
Mke mwenyewe ni huyo ametembea na wangapi natena bado ni msani pana kazi hapo nao watagongana kwenye majukwa
Uchambuzi wa kueleweka
Kikiiiii
Niwaoane kazikwao kwani kunalipi jipya apa
Akioa mond maneno yatawaixha
Je vous regrette vraiment les tanzanien, une star qui épouse mm 10 femme et il officialiser à l'état tanzanien ce domage vraiment, suivez l'exemple des stars congolais
😂😂😂🤣🤣🤣
Ndio maana zuchu haelewN na zari
😳😳😳😳😳😳😳
Mmh
Tumewazoea relationship za wasanii hazidumu,kuzini ndio tabia yao
@@bakariomari3692 kabsaa
@@bakariomari3692 hiyo ndio yao tuu
😂😂😂😂
Mtangazaji muongo wewe🤣🤣🤣🤣 nyooooo
Wataachana tu haitafika hata mwaka huyo sio muowaji amezoea vya kunyonga hawezi kuka na mke amezoea vya haramu
Sana tuu, shida tu
Tena uongo pasee hasa hii ni Kiki wacha wakikishane mtuache January hio tuna majukum mazito
Zari the best.
Zuchu mrembo sana
Uongo
Kwn ww diamond utaoa hadi lini
🤣🤣🤣
😂😂
Ni kiki akuna lolote
.
Titizo nyie hamuaminiki
Siwaaminie hata sku moja..nyie..habari zao hawa
Wanazua tu wanatafuta viewers, mbona ni wao tu kila siku habari za Ray na Fay uongo mtu
Mmh