Umauti upo nyuma ya pazia na haujui wapi utakukuta...Leo unatoka asubuhi unaenda kutafuta rizki ya halali na Mungu anachukua roho yako huko.....Mungu atupe mwisho mema kwa kweli.
Eeh mwenyez mungu tupe nguvu,zilaze roho za marehem Mahara pema peponi sisi sote niwapitaji njia tutaimaliza Safar nakurud kwenye nyumba yetu ya milele Amina🙏😭😭😭😭😭🤲🤲
Kila nafsi itaonja umauti , poleni sana wafiwa wote, poleni wafanya biashara kariakoo, poleni Tanzania 🇹🇿 kwa msiba mzito ulotufika. Kazi ya mungu haina makosa😢😢😢
Hii ndio maana ya jeshi la wananchi,wanatakiwa kuguswa zaidi kuliko vikosi vyengine maana wao wapo kwa ajili yetu asanteni sana ndugu zetu kwa faraja mnayotupa
Mungu turehemu Watanzania, vifo vimezidi, Kila siku wapendwa wetu wanakufa, inauma sana jamani, poleni wafiwa wote Mungu awatie nguvu kwa wakati huu mgumu.
Poleni sana ndugu zetu mlio fiwa Mungu awafanyie wepesi kwenye hili janga lshahallah 🙏🙏🙏🙏
Laaaaa!! Inasikitisha sanaaa. Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu pahara pema peponi. Sisi sote ni wa Mungu kwake tutarejea . Amen😢😢😢
Kila mtu ataonja mauti, mungu wape nguvu waja wako
Kifo n fumbo hata aliekufa leo alijuwa kifo bado kip mbali eemungu tupe mwisho ulio mwema Amin🙏🙏
Poleni sana jamani ndugu na sisi Watanzania nzima mungu atutie nguvu maana imetuuma sana
Umauti upo nyuma ya pazia na haujui wapi utakukuta...Leo unatoka asubuhi unaenda kutafuta rizki ya halali na Mungu anachukua roho yako huko.....Mungu atupe mwisho mema kwa kweli.
Poleni mliofiwa Allah awape wepesi kwa kipindi hiki insha'Allah
Poleni wafiwa wote
Mwenyezi Mungu akawe mfariji wenu
😭😭😭😭
😭😭 wewe Mungu ndiye wajua wapokee marehemu wote kwako mbinguni Amina
Ooh mungu zilaze peponi roho za marehemu🙏🙏
Mungu ailaze miili ya marehemu, mahala pema peponi.
Mwenyezi Mungu awape nguvu familia za wafiwa jaman..Mungu awalaze mahali pema peponi amiiin..😭😭😭
Mwenyezi mungu aweze kuwatia ndugu zetu wale wote waliopatwa na misiba hiyo kwani kifo ni chetu sote .tunawaombea wakapate kupumzika kwa amani 😭😭😭
💔Allah awarehem wote walotangulia mbele ya hak,,Amin thum Amin
Pole kwa wa Tanzania
MUNGU Muumba wa Mbingu na Nchi Naomba Ufariji mioyo ya ndg zetu. Wewe ndio Faraja ya kweli. JINA LAKO LIHIMIDIWE Amina
Eeh mwenyez mungu tupe nguvu,zilaze roho za marehem Mahara pema peponi sisi sote niwapitaji njia tutaimaliza Safar nakurud kwenye nyumba yetu ya milele Amina🙏😭😭😭😭😭🤲🤲
Mungu awape pumziko la amani ndugu zetu
Inaumiza. Mungu wapokee watu wako! Amen!
Kazi ya mungu aina makosa poleni sana ndugu zangu
Allah awafanyie wepes ndugu zetu
Poleni sana wafiwa woote kwaujumla 😢😢😢❤pumzikeni kwaamani
Mungu azilaze roho zao mahal pema..wafiwa Mungu awatie nguvu ktk kipind hik kugumu it pain😭😭😭
Mungu awatie nguvu wote waliyofikwa na msiba🙏🙏🙏
😭😭 🤲🤲🤲eeeh M/mungu tupe mwisho mwema 🙏🙏🙏😭😭😭
Allah awahifadhi Inshaallah na wasamehe makosa yao
Mungu awalaze roho zao mahali pema peponi
Poleni sana wasiwa wote
Kila nafsi itaonja umauti , poleni sana wafiwa wote, poleni wafanya biashara kariakoo, poleni Tanzania 🇹🇿 kwa msiba mzito ulotufika. Kazi ya mungu haina makosa😢😢😢
May their memory be a blessing forever ❤
Mungu awalaze mahali pema peponi mmekufa kishujaa ndugu zetu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 hi ni safar ya wte kila mtu atapita kwenye huwo mlango
Polen jaman mung apangalo hua
poleni sana
poleni sana ndugu zetu murio poteza famiria zeni kutokana najanga rakupomoka gorofu ishalla mungu akupeni subira katka kipndi hiki kigumu poleni watazania atuna bud kushukulu mwenyezi mungu tuseme hinalihi wainailajuni
Mungu awapumzishe kwa Aman dah😭😭😭
Hiliii nilimeniumiza sana hilii nimeumia nakili nimeumia sanaaa....mungu wangu tusaidie katika hilii wapendwa wetu liowapenda.....RIP
Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na msiba huu 🙏🏿🙏🏿
Poreni sana ndugu zetu mungu awatie nguvu.
Poleni sana ndugu zangu Mungu akawe mfariji
Hii ndio maana ya jeshi la wananchi,wanatakiwa kuguswa zaidi kuliko vikosi vyengine maana wao wapo kwa ajili yetu asanteni sana ndugu zetu kwa faraja mnayotupa
Mungu hapangiwi pakumuweka marehemu,matendo yamarehemu,ndoyanayo amua pakumuweka,poleni wafiwa wote
Poleni ndugu zetu mwenyezi mungu awafanyie wepes naawapokee😂😂😂😂
Mung ailaze miili hiyo mahar pema pepon amin
😭😭😭sina cha kusema
Allah awalaze mahali pema watanzania wenzetu🇹🇿
Eeemungu zilaze roho za hawa marehemu mahala pema peponi haya niya wote amina
Inauma sana jamn, poleni wafiwa wote Mwenyezi Mungu awatie nguvu, RIP
USIKUBALI KUTUMA PESA KWA AKAUNTI HAIJATHIBITISHWA
Mwenyezi mungu azilaze roho za mrehemu mahali pema peponi😢😢😢
Pole nyingi kwa familia za marehemu mola pekee awape faraja ya kweli
Isee ina uma saana Mungu wangu polen kwa family na taifa
Mungu sisi ni mavumbi tu kwako lazim turejee Baba hatuwezi kukupangia Baba tumefundishwa kwa kila jambo hata hili pia tunasema asante Baba
Unauma sana aiseee yaani najikuta nalia kwa sauti kabisa poleni sana wafiwa wot na walioguswa na janga hili we mwenyew mungu atupe mwisho mwema
Mungu awatia nguvu ndugu wa marehemu
Hakika kifo ni andiko Allah awape nguvu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu😭😭
Ama kweli ratiba ya mungu haikoseagi toka juzi nalia ka mtot
Wapumzike kwa Amani , tunawapa pole sana wafiwa wote na wale walioko mahosptalini wakipatiwa matibabu Mungu aendelee kuwatia nguvu.
Mungu turehemu Watanzania, vifo vimezidi, Kila siku wapendwa wetu wanakufa, inauma sana jamani, poleni wafiwa wote Mungu awatie nguvu kwa wakati huu mgumu.
Mungu tulinde na majanga
Mungu awapumzishe kwa aman
😭😭😢 Mungu tutie nguvu
😢😢😢😢 mungu azioaze roho zao mahali pepma peponi
Poleni watanzania wenzetu tutaonana baadae😭😭😭😭😭
mungu awalaze mahali pema pepon amin
Tuliwapenda ila mungu amewapenda zaidi 😭😭😭 hatuna budi kusema KAZI ya mungu haina makosa😂😅❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Ameen!!!!!
Jaman Ina huzunisha mungu wapokee wenzetu kuishi ni kirsto kufa ni faida
Duu inaumiza sana poleni ndugu zetu mliopoteza nguvu kazi
Innalilah wainna ilayh raaajiun 😭😭😭😭
Mungu turehemu pokea roho zao wafariji wazazi jamaa wote zaidi wafike kwako milele
Kwani idadi ni wangapii
Mungu awatie nguvu kipindi hiki kugum wanafamilia wote🤦🤦🤦🤦
Allah awajaalie safari ya kheri mbele yao nyuma yetu na ss Mungu atujaalie khatma njema
Innalillah wayna ilayh rajiun 😓
Mungu awalaze mahali pema peponii jamani.
polen tujiandae wakati wote na kifo@
May their souls rest in eternal peace🙏
Da huo wimbo unaliza jaman hakuna anaeijua kesho
Poreni wote wafiwa 😢😢😢😢
Jamani mtu kuitwa marehemu ni dakika 1
Ee Mola wafariji wafiwa wote. Wape pumziko jema.
Daaaaaash
😢😢😢
😭😭😭😭 wapumzike kwa amani🧎
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Si mlisema ni wanne, izi zote ni za wapi??
Wamekufa kishujaaa 😢
😢😢😢😢😭😭
😭😭😭😭😭🙆♂️
Regina thomas president ugandans❤😂🎉😢😮😅😊
😢😢😢😢😢😢
😢😢😢😢😢😢💔💔💔💔💔💔💔💔💔
Wapokee waja wako wapumzike kwa amani
MUNGU UNAISHI UNATUKUMBUSHA TUSIJISAHAU
😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🏾😭😭😭😭😭🤦♀️🙆♂️
Mkapumzike kwa aman
😂😂😂😂😂😂
USIKUBALI KUTUMA PESA KWA AKAUNTI HAIJATHIBITISHWA
😭😭
😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭
😢😢
😢😢
😭😭😭😭😭😭