Mfahamu Caroline muigizaji anayehitaji msaada wa matibabu, ni video queen wa Oyoyo ya Bob Junior

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 268

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว +31

    Yaan bado mdogo sana huyu msichana hadi huruma 🙇Allah atakupa shifaa

  • @anneafrica939
    @anneafrica939 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dada toka ile nyimbo ya bobjunior daaah niliwahi kukuona uko beautiful lakini aliyekuloga au aliyechukua thamani yako na kukuletea hayo majini mauti Mungu atakusaidia kila jambo linamwisho. Daah ubinadamu kazi.YESU msaidie.

  • @popomk6670
    @popomk6670 4 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sanaa jinsi alivyo sio mtu wakujiweka mawigi sana na makope yupo sana natural hicho ndio cha kwanza nilichompendea anajiamini na uzuri wake,sura yake anavyoongea mashallah walah naumia.inshallah tunakuombea Allah atakuafu

  • @RIZIKISEMUNAOFFICIAL
    @RIZIKISEMUNAOFFICIAL 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana dada Mungu wa mbinguni akusaidie ,Imani kwanza masaada nyuma weka imani dada yangu Yesu kristo atakuponya Amen. Anaitaji ngapi?

  • @krsrsk1065
    @krsrsk1065 4 ปีที่แล้ว +8

    Nilimfaham tukiwa vingungut,, mskitin,,, Allah ampe taufif lnshaallah,,

  • @faju4real800
    @faju4real800 4 ปีที่แล้ว +5

    Allahumma shfii maridhwana wamardhwa L-muslimiin (As-aluka llah rabbi an-yashfiaka..) Allah akuponeshe kwa haraka uendelee na shuhul zako

  • @rehemaalphonce3882
    @rehemaalphonce3882 4 ปีที่แล้ว +19

    Pole sana mpendwa muamini mungu utapona

  • @nahishakieathumani5041
    @nahishakieathumani5041 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ata kujaliasister wangu ani pole sana sister kweli ani dadadadada pole sana 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲nakuombea nyingi sana kwa Allah kweli

  • @hassanramadhani2450
    @hassanramadhani2450 4 ปีที่แล้ว +6

    Nilitokea kumpenda huyu dada kwenye nyimbo ya Oyoyo pia iyo crp ya kwanza nimeona watu wengi wakiipost kwenye status Allah ampe shifaaa 😍

    • @zaincocargo75
      @zaincocargo75 2 ปีที่แล้ว +1

      Hawa my dear pole sanaa namini mungu atakusaidia kwa uweze wa mungu

  • @pendohillrey1164
    @pendohillrey1164 3 ปีที่แล้ว +1

    Akh Belinda pole sana dadangu mungu akupe afueni ya haraka nakupenda sana kutoka 🇰🇪 🇰🇪 hasa kwa kiu ya kisasi ulivyo panda juu ya get

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 ปีที่แล้ว +29

    Kumbe ndio huy dada jmn😭😭😭😭m
    Bongo muvi msaidien mwenzenu, mpo wengi hat mchang 50, 50 itamsaidia jmn

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndio mungu amponye

    • @kidawaseif7801
      @kidawaseif7801 4 ปีที่แล้ว

      Ata wew unaluhusiwa nasio ww 2 ata mm pia

    • @tausingomeni2568
      @tausingomeni2568 4 ปีที่แล้ว

      @@kidawaseif7801 kwa hyo

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว

      Sio bongo move tu Tanzania nzima umoja ni nguvu

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂WAnahela za kuchanga 50 50 tatizo wanaish maisha ya kifek ndio kinawakost bongo movie wanavikund wakisema wachangishe kila mtu hela nyingi zingepatikana shida nao wanahal ngumu ila wanaigiza wanamaisha mazur

  • @aminasaidi773
    @aminasaidi773 4 ปีที่แล้ว +8

    Maskin Hawa pol sana Wangu Allah akufanyie wepes inshallah

  • @odaamirsaab9185
    @odaamirsaab9185 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana anae leta Marathi ni mungu na anaeuwezo wa kuondoa marathi ni mungu mimi na amini utapona kupitia uwezo wa mungu kama mungu alimtoa nabbi yunnus kutoka kwa tumbo ya samaki basi wewe hawezi kushindwa ya allah mmpe shiffa ya Karim mmpe shiffa ya wadud mmpe shiffa ya arhaman rahimm mmpe shiffa hakuna katika dunia hii inayo kushinda wewe ndie muweza wa kila kitu muhurumie yeye pia ni kiumbe wako na ana kuitaji ammin

  • @gfdasd6287
    @gfdasd6287 4 ปีที่แล้ว +1

    Oooohhh kumbe ni uyu mdada mskini Mungu ampe shifaaa na ampe subra katika marazi yak

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 4 ปีที่แล้ว +7

    Nakuombea uponaji kwa jina la Yesu christu. Mungu akuponye. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mauwapremice7080
    @mauwapremice7080 4 ปีที่แล้ว +61

    Masiki kumbe Ndio huyu dada Allah akupe shifaah Amiin🙏😿

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akupe wepesi na zaid iman juu yake utapona tu my 🙏🙏🙏

  • @hamzacedricole3673
    @hamzacedricole3673 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah ampe shifah apo njo tutaona nguvu ya bongo movie inshaallah wajitoleye wampeleke India 🇮🇳 inshallah wakubali kuacha zile stareh zao wafanye kitu kikubwa tena cha muhimu zaidi katika jamii wasiwe natuonyesha tu mabata watuonyeshe uzalendo nakusaidizana kwa wakati huu wa muhimu anyway sorry nitakao wakwaza HAWA god bless you my sister sisi tunakuombea Dua kwa ALLAH

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 ปีที่แล้ว +15

    Mungu atakufanya wepesi Ameen inshallah🤲

    • @josephkubyula349
      @josephkubyula349 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana mungu atafanya wepes utapona dada

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว +4

    Mola atakupa Shiffa ya haraka dda in sha Allah

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 4 ปีที่แล้ว +9

    Mwambie Mama yke ampeleke kwenye maombi kivure kwa msugure pia maana ugonjwa wke atariii Mungu amsadie michango bila Kumwomba Mungu tu aitoshi

    • @marymasawe6764
      @marymasawe6764 4 ปีที่แล้ว

      Kivule matembele ya pili kwa nicolausi suguye dar

  • @ticketmastertips1492
    @ticketmastertips1492 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaALLAH sauti laini ja ndimu kunyosha kikoromo tangu udogo

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 4 ปีที่แล้ว +7

    Tunampenda Sana jaman!!

  • @wemakyando7753
    @wemakyando7753 4 ปีที่แล้ว +4

    Duuu amka carolain mwite mungu yupo kwajili yako mungu akupe wepesi upone kwani Hadi nalia ulivyo pia nikikumbuka unaumwa duuuu

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 4 ปีที่แล้ว +10

    *SIKUJUA KUWA NDIO HUYU AISEE NAMPENDA SANA HUYU DADA NITAJITAHIDI KWENYE NAMBA ILIYOTOLEWA NITOE CHOCHOTE*

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana belinda nakupenda sana allah atakupatia shufaa utapoa mmmy🙏😭

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe shifaa dada hawa dua nakuombea ameen❤❤❤

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah mwenyezi Mungu amtie nguvu aweze kupona 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @alal745
    @alal745 4 ปีที่แล้ว +6

    Shifaa ya haraka Hawaa, Allah akupe afueni ya haraka mpenzi

  • @kailomsewa2258
    @kailomsewa2258 4 ปีที่แล้ว +6

    Allah amfanyie wepesi Kiukwe 🙏

  • @da-beebeztzhb9351
    @da-beebeztzhb9351 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana dada hawa mungu atakuponya kwa uwezo Wake

  • @lissacash5585
    @lissacash5585 4 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana dada angu jamani Allah akufanyie wepesi

  • @manniermkambe6184
    @manniermkambe6184 4 ปีที่แล้ว +2

    Hawa nakujua kwa jina Bilnda napenda uigizaji wako kwenye thamthilia ya kiu ya kisasi kumbe ni ww unaumwa maskin 😭😭😭😭😭😭😭Mungu akusadie upone haraka kweli uko kwenye wkt mgumu InshAllah utapona Mungu yko nawe.

  • @MjakaHaji
    @MjakaHaji 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dad utapona mungu yup pamoja na wew

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujarie shifaa hawa maskin Allah mponye hawa🤲

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwenzi Mungu amponye jaman I love her ntamuombea

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว +2

    Aki huyu dem namjua😭😭😭😭 mola amjalie shafaa huyu dem dah....

  • @shadiaissa2665
    @shadiaissa2665 4 ปีที่แล้ว +2

    Masikin Hawa nlimfaamu mbagala k.maji kabda ya kuamia vingunguti alikuwa swahiba angu sana mungu atakuponya amen🙏

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 4 ปีที่แล้ว +10

    Ila hii video SnS, utadhani msiba. Hapo mwanzoni
    Mungu ampe Afya Insha'Allah.

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu AKULINDE we bint. Daaa jamani. Machungu mno

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah kweli bhana, nlimuona hata kwenye dakika moka ya binam na Ay ft had mad

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 ปีที่แล้ว

    Mungu kama ni uchawi basi mwenyezi mungu ambainishi hiyu mchawi na watu water wamjue itakuwa ni ha hao bongo movie wana wivu na msichana w watu mwenyezi mungu nda hakim utapona ishaallah kwa uwrzo wa Allah

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahaa Belinda nilikuwa nampendaga Sana, mzur

  • @hadijapazia8255
    @hadijapazia8255 4 ปีที่แล้ว +3

    Yah Allah mpe tahfifu mja wako kwan anaptia maumivu makali sn 😭😭😭

  • @doreennasike6298
    @doreennasike6298 4 ปีที่แล้ว +5

    Dada kapendeza kupitilizia jamani 😢💔 By His stripes on the cross we're healed 🤝🙏🙏 utapoona Hawa

  • @bensondaudi1028
    @bensondaudi1028 4 ปีที่แล้ว +2

    Mola yuko na sisi Siku zote, hakika atapona na kuendelea kuishi. Amen

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe ni uyu Dada😭😭😭Allah akupe shifa

  • @AngeraJophrey
    @AngeraJophrey 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman mungu msaidie dad huyu ,eeh mungu wew nde daktari mkuu ,msaidie jaman watanzania tumuombee

  • @sadaturuku4003
    @sadaturuku4003 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah atakufanyia wepesi carolin

  • @swalloonpoint2306
    @swalloonpoint2306 4 ปีที่แล้ว +6

    Tuna kila sababu ya kumsaidia huyu dada aiseee

  • @veryfridackzm8493
    @veryfridackzm8493 4 ปีที่แล้ว

    Pole my jamani ulivo mpole. Napenda kumwomba mwenyezi mungu akupe uponyaji

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc ปีที่แล้ว

    Huy anaumwa muda mrf sana tanga nione kwa flora nitetee ss hv inafka hata miaka miwil aisee pole sana sis

  • @heriholder1625
    @heriholder1625 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah huyu Dem ni kitmbo jamani ,pole mungu atakuponya

  • @clementsemizigi7150
    @clementsemizigi7150 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana hawa wewe ni mrembo❤❤❤❤

  • @amongodfrey7266
    @amongodfrey7266 3 ปีที่แล้ว

    Mwekumbe ni huyudada mungu amsaidie jaman apone nampenda ameigiza vizuri kwenye kiu ya kisas

  • @faju4real800
    @faju4real800 4 ปีที่แล้ว +1

    Jukumu la kuchangia si kwa bongo movies tu ni jukumu la kila mcha Mungu mwenye iman yakutoa kwakusaidia alie na matatzo.. Sdhan km lazma atoe muigizaj mwenzke mana hata hao unaotegemea watoe nao niwatafutaj ndo mana hata matatzo yao yanahitaj misaada

  • @asiasalim7285
    @asiasalim7285 ปีที่แล้ว

    Allah akupe shifaa Dada ang nakupenda sana utapoa inshaallah

  • @devothakilama1865
    @devothakilama1865 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna lisiliwezekana kwa mungu yote yanawezekana dada mungu atakufnyia wepes utapona na utard ktk hali yako ya kawaida

  • @habibasalum2376
    @habibasalum2376 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana dada mungu atakusaidia utapona inshallah

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 4 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH akufanyie wepesi upone dada

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah atamponyaa in shaa Allah 🙏🏽

  • @BeatriceInnocent-hd1kf
    @BeatriceInnocent-hd1kf ปีที่แล้ว

    Dah kiukweli hatuijui kesho yetu dada yangu ukujua Kama utaumwa hivi jamani nakuombea upontaji mwema usionachangamoto mamy pole Sana mwana mwanza mwenzetu.

  • @kyshinchelsea8463
    @kyshinchelsea8463 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuponye

  • @periskadenyi9636
    @periskadenyi9636 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuponye

  • @habibatyntosso1436
    @habibatyntosso1436 4 ปีที่แล้ว

    Mungu anakutosha kipenzi changu dua tunakuombea mungu atakufanyia afueni inshaallah

  • @nahimanaalice1131
    @nahimanaalice1131 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuwekee wepes dad mzur

  • @bugaleriziki5633
    @bugaleriziki5633 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada yangu Mungu atakushindia dada yang Mungu atakuponya dada

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kumbe uyu mdada nampenda mnooh 😘😘😘allah atamfanyia wepesi atapona🙏

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe ndio huyu mungu amponye inshallah

  • @zainatuabdi2881
    @zainatuabdi2881 5 หลายเดือนก่อน

    Odo hawa muamini mungu ndenda utakapo sikia pana uponyaji ila soma yat kulusiyu ukiamka na ukilala mungu yup pamojanawe pole odo haw

  • @bintsultan3132
    @bintsultan3132 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amponye jaman🙏

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atamsaidia atapona Inshaa Allah

  • @dorcasofficial1698
    @dorcasofficial1698 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuponye kwajina layesu

  • @alimanana7564
    @alimanana7564 ปีที่แล้ว

    Mpaka ivi hajapona😢 uyu dada SNS jaribuni kumumuombea msada pls

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 2 ปีที่แล้ว

    Your so beautiful mungu akuponye love you

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah atamuaf In shaa Allah 🤲

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 4 ปีที่แล้ว +1

    Hadi machozi yana nitoka kuhusu uyu Dada pole sana

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 2 ปีที่แล้ว

    Binti namkubali sana , Allah amponye haraka amiin

  • @AshaSalum-v6e
    @AshaSalum-v6e 6 หลายเดือนก่อน

    APELEKWE KWA SHEIKH SHARIF ABDULKADIR.MBONA WENGI WANAPONA.KWA UWEZO WA ALLAH

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe.shifa dada hawa😭😭

  • @faju4real800
    @faju4real800 4 ปีที่แล้ว +1

    Subra ndo ibada pekee nakumuomba Mungu kwa wing akujaalie uendelee kua na mdomo wakumuomba usichoke

  • @mariamahmed6460
    @mariamahmed6460 2 ปีที่แล้ว

    Asalm alkm HAWA Sina chakukupa mwanangu ila na namlilia muumba mbingu akupe shifaa ishallh utaenuka mamngu mpenzi usife moto dawa ya mtu ni umri nakuombea umri ishallh na dawa utapata Kwa uwezo wake allh🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲alfu mara

  • @immeimme2364
    @immeimme2364 4 ปีที่แล้ว +1

    Oh my sister God is good all the time 🤲🤲🤲

  • @shanjemanumba6325
    @shanjemanumba6325 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli dada Yuko vizuri na anaushauri mzuri hata mme wake ana Raha kweli

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 7 หลายเดือนก่อน

    ANAUMWA HUYU DADA TUMBO LINAMSUMBUA SANA SASA HIVI AISEE, MUNGU AMSAIDIE DAH

  • @baacanamasoka2986
    @baacanamasoka2986 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akulinde

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 4 ปีที่แล้ว

    Binaadam sie sio kitu mungu amfanyie wepesi Apone...kuugua sio kufa.

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni mwema dua zetu kwake na imani Allah atamnusuru

  • @apoloniaa6092
    @apoloniaa6092 4 ปีที่แล้ว

    Mungu. Akufanyie wepesi. Inshalla. Yarab

  • @jordantheddy4246
    @jordantheddy4246 4 ปีที่แล้ว +3

    Inshallah mung atamfnyia wepesi

  • @asiasalim7285
    @asiasalim7285 ปีที่แล้ว

    Jamani tunaambiwa uchawi upo lkn tusiuwamin sana tupambane sana kumuombea dua my sister

  • @janethprometheus2494
    @janethprometheus2494 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuponye mama

  • @asiasalim7285
    @asiasalim7285 ปีที่แล้ว

    Na inshaallah huwo ni mtihani tu ulopewa lkn usikate tamaa nakuombe dua utapoa inshaallah

  • @josiejacob2269
    @josiejacob2269 4 ปีที่แล้ว +3

    Mpelekeni kwenye maombi hyo ni shetani anamsumbua hawa,au anachukua mume Wa MTU akachezewa

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA 2 ปีที่แล้ว

    😢😢pole Sana dada angu binadamu.....Mimi sina hamu nao Kwa sasa naishi kama nipo sipo yaani duniani sipo ahera ninatafutwa 😢 maana ndugu ndio wabaya na ubaya hautoki mbali ni watu wetu wa karibu Sana ukipata kiriziki kidogo Tu wanaumia na kuzima nyota zako inaumwa sana

    • @salmsalmo931
      @salmsalmo931 2 ปีที่แล้ว

      Na mm hivyo hivyo naishi kivyangu vyangu maana wabaya hawatoki mbali nikifikiria 😭😭😭😭😭Bora nikaishi porin na wanyama

  • @nusratally1842
    @nusratally1842 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mungu atakuaf inshaa Allah

  • @zuenaabdi7631
    @zuenaabdi7631 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah afanye wepesi Inshaallah

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mfanyie wepesi huyu dada

  • @chitakabuje5681
    @chitakabuje5681 3 ปีที่แล้ว +1

    Namukubari Sana huyu sister

  • @saidalhabsi9257
    @saidalhabsi9257 ปีที่แล้ว

    Hawa ni mrembo sana jaman kunamtu anamchezea kabisa mungu anamuona