Akika ktka maisha kuna mitihani mikubwa sana ambayo single mother anapitia,lakini hujaambiwa useme mwanzo mwisho hio nikiaibisha watototo,na kuwafanya wajione kama hawakustahili kuishi duniani na huo niujinga wa ssakina mama.Baba anapitia mangapi mbona hasemi aibu kama hizi,huyu mama alaaniwe maana sio kwa aibu hii.
wanaume wale mnatia wanawake mimba kisha kuwakana huwa mwafikiria kweli?halafu mwisho mtoto alelewaa na babamlexi kashapata kazi halafu unajibebisha kwann lkn.mana mm nimmoja wao kuachwa na mimba mwezi mmoja wallah usiombe kumxika mama yako halafu huo mwka bn naye kakuachaa huna pakuenda niliteseka sana lkn nashukuru nilipata aliejua nn maana yaupendo hdi mwanangu anamaliza kidato chaine wanaume walezi popote mlipMungu awaongezee maishaa marefu.mlioachia wake zenu maumivuu sahii zamu yenu mtateseka hdi pumzi xenu zamwisho.halafu ukibahatika mxaxi anakukingia kifua yani kwakila jambo bs usimkosee wewe dada ulijidanganya eti baba atakubaliana na ujauxitoo subutu mm pia siwezi bora ukamtafute huko mbele mbele
Lkn pia ni tatizo la kumuendekezaa mtoto mpaka anaamini ataa akifanyaa kosa atasamehewa 2 kwa sababu anapendwa wakat mwingine wazazi malezi ya kumdekeza mtoto sio
Dash makubwa mwana dada huyu naeeeeee c angewapamba tu juu yy anatapika mpaka nyongo laaah haya tupe patt 2 tujue kama kipenzi chake caro nae kama alimuadivas aje
Part 2 Ya Big Suprise Bonyeza Hapa 👇
th-cam.com/video/FRlGLuUFfo8/w-d-xo.html
Asante sana ank
Anyone jei
Kazi ya shatani zi zuri ni mbaya siku zote huonyeshe humbate zuri tu na hutajui leko hufa hupotea husione mungu
❤❤❤Msuri sana nainafundisha mafuzo masuri sana
Dah pole mwaya Dunia i nakufunza
Nimewahi Leo nipeni like zangu jamani
Naona anko jay anataka tufurahie pasaka niwatakie wanafamilia ya Anko pasaka njema🙏🙏
Niko ndani...ready to listen....what will be the suprise?not a day without simulizi.kenye🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 well represented
Wakwanza leo pamoja anko jay tupo hapa tunasikiliza simulizi tamuu na mafunzo pia asante ndiyo tunasikiliza 🥰🥰🥰🥰
Ankojay hizi simulizi ziko na mafundisho mazuri mno ❤❤❤
Saaana
Mmmmhhh caro asijee mtapelii 2 mwenzie
Asnte Anko j 😋😋😋kiburudisho chenye mafunzo,,,asnt sana nakupendea hvyo tu hujawahi kutuangusha 🥰🥰🥰🥰
Anko jay aaasantee
ankojey ❤❤❤sauti yako hatari.simulizi nziri inamafunzo
Yani anko j kwakweli huwa unanifanya swaumu yangu inaenda baridi kabisa kwa simulizi zako nainjoyi sana big up kwa kazi nzuri
❤❤❤Kazi safi san Ankojay
Mmmm kusimulia watoto r sijapenda
Simulizi yenye mafunzo nimeipenda❤❤❤
Naisubiria hap hiyo part 2 daah maish haya ni safar ndefu"asant xaan anko j wetu🙏🥰✌️🔥
Duuuuuh,,,,inatisha,nimeogopa sana unyama aliofanyiwa huyu mam watatu,mbwa kumwingilia mwanadamu,unyama na ukatili wa hali ya juu
Maua yako anko jay❤❤❤❤❤ nakupenda sana from women
Ooo my God simulizi tamu na yauzunisana jamani duniya 😭😭😭
Tunakupend,sana,ankoj
Akika ktka maisha kuna mitihani mikubwa sana ambayo single mother anapitia,lakini hujaambiwa useme mwanzo mwisho hio nikiaibisha watototo,na kuwafanya wajione kama hawakustahili kuishi duniani na huo niujinga wa ssakina mama.Baba anapitia mangapi mbona hasemi aibu kama hizi,huyu mama alaaniwe maana sio kwa aibu hii.
MashaAllah MashaAllah ❤️❤️🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🔥
Kusema kweli wazazi ndio wanafanya watoto kufanya mambo isiyofaaa
Ni kweli kabisa
big surprise ❤
Asante Ankojay upewe ulinzi apo ulipo bro Na Mungu abariki kazi yako
Aiseee nafarijika sana kuona comments kama hizi za kunipa moyo
Amazing story anko jay mashalla
Sijachelewa sana leo wacha nienjoy ntarudi kukomment one love wana simulizi mix 💙💚💜
Jamani ankojay vipi Lisa part 19
Anko jay www una vituko
🎉😊😊😊😊🎉❤❤❤anko jay is the best. hongera safiya from London 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Safiya 🔥🔥🔥 Thank you so much
@@ankojay_hii simulizi ni kama hile ya utamu wa pipi 😢
Having anko jay simulizi everyday is just fabulous 🤩🤩
Asante anko jay kiburudisho chenye mafunzo i learn from the sttories unazotupa
Haaaaaa,huyu mam alikuwa na mambo mazito saaana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉Yako kaka
Napendaga kusikiliza simulizi anazosimulia anko j na Lucas tu
Nashukuru sana, ur welcome
Hongera sana kwa kazi njema 😅😅😅😅mama Edinah tamaa ya mwili ulipwa kwa tamaa 🎉🎉🎉🎉 nimefurahi kwa hii story
Nasubiria pay 2 kwa hamu Sana simulizi Ni 👍
Anko jy🎉🎉🎉
Tamuuu🥰🥰🥰🥰
Big suprise.
❤❤❤❤anko jay
🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤sante ankjay
Ndah hii simlizi nikiboko asate sana ako j
Duu inasikitisha na ina mafunzo
Kazi nyingi zina madhara lkn kazi hiyo mnayofanya madhara yk ni makubwa zaidi
Tyeena mambo ya matawi ya juu
Simulizi nzuri sana
Jamani nimechelewa😢,,twende nalo 🌹🌹🌹🌹
Anko jay simulizi hatari sana❤❤❤❤❤
Dah hatari
Asante tena anko jay ❤❤ much love
Sehemu ya pili jmn
Asante simulizi Anko jy tuko pamoja nawe❤❤❤
Kweli big supriise
Kwenda kazi jay ❤❤❤❤❤
Anko jay tupo pamoja,🥰🥰🥰
Nimechelewa lakini sio sana😅😅
Nice simulizi 😍😍😍😍
Hapo sasa
Dah majanga hayo
Heahima kwako ANKO JAY wetu❤
Nategea hapa kitako pamoja kaka
Anko mwenyewe huyooo❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Haya wacha tusikilizena hii pasaka 🥰🙏
👍👍👍♥️♥️♥️
Watoto nao wapo kusubiri ilikuwaje 😁😁😁
😁😄😄
Tupe cara
Pamoja👈🏿
Hi Anko Jay? asante kwakweli simulizi tamu
wanaume wale mnatia wanawake mimba kisha kuwakana huwa mwafikiria kweli?halafu mwisho mtoto alelewaa na babamlexi kashapata kazi halafu unajibebisha kwann lkn.mana mm nimmoja wao kuachwa na mimba mwezi mmoja wallah usiombe kumxika mama yako halafu huo mwka bn naye kakuachaa huna pakuenda niliteseka sana lkn nashukuru nilipata aliejua nn maana yaupendo hdi mwanangu anamaliza kidato chaine wanaume walezi popote mlipMungu awaongezee maishaa marefu.mlioachia wake zenu maumivuu sahii zamu yenu mtateseka hdi pumzi xenu zamwisho.halafu ukibahatika mxaxi anakukingia kifua yani kwakila jambo bs usimkosee wewe dada ulijidanganya eti baba atakubaliana na ujauxitoo subutu mm pia siwezi bora ukamtafute huko mbele mbele
Lkn pia ni tatizo la kumuendekezaa mtoto mpaka anaamini ataa akifanyaa kosa atasamehewa 2 kwa sababu anapendwa wakat mwingine wazazi malezi ya kumdekeza mtoto sio
To be continued
Nimekutafuta unkol j kwanzia saa mbili
Umenipata sasa
Asante Anko
Wakwaza leo
❤❤
Yeah it's also a big surprise to your followers mr Jay you're so amazing be blessed always 🙏🙏
Thank you 🙌
Wapenda kutuacha mataani Anko
Part 2 coming soon
Hii ni kali sana ankoj
Wakati mwingine hiyo Suprise ata haifai jmn
😂😂😂😂
Kabisa ,maana unaenda kuprise mtu kumbe unasupriseka wewe daah
@@saumunyadzua😂😂😂😂😂😂
Nice story Anko j
Ahsante sana
It’s cool that you decided to create your own YT channel, it’s easier now to find your stories man, keep up the work bro👑
Thank you so Much Isaac 🔥🔥
Ila nyie watu mnawah mnalala macho mim nilijua nimewah bwana
🎉🎉🎉🎉
Asante Anko J kwa simulizi ya.kusisimua
😍😍😍😍😍😍😍😍
Dash makubwa mwana dada huyu naeeeeee c angewapamba tu juu yy anatapika mpaka nyongo laaah haya tupe patt 2 tujue kama kipenzi chake caro nae kama alimuadivas aje
😢
❤❤❤❤
Hi anko j wapi pat 2
Part 2 ipo, angalia vizuri
🥰🥰🥰
Hahahaha
🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🪑🪑
Mama ana kiranga
😊😊😊 Ahsante Sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo kazi ya ukahaba inabeba kazi nyingi Ujambaxi,uizi,utapeli yaani vyote majanga 🤔🙄
All these stories, are they like real?/happened in real life?🫢
Simulizi nzuri sana
❤❤❤❤❤🎉
❤❤❤