SHUHUDIA QURAN TAJWEED IKISOMWA NA MSOMAJI KIPOFU TOKEA MDOGO ALIYEHIFADHI QURAN YOTE. BAURA KONDOA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @mwanahamisimwinyi1040
    @mwanahamisimwinyi1040 2 ปีที่แล้ว +6

    inasikitika kipofi anasoma quran lakini mwenye kuona ana mmchezea Allah tumuogopeni mwenyezi mungu ya rabbi

  • @hamisimkima117
    @hamisimkima117 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akupe Mwisho mwema Sheikh wetu

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 2 ปีที่แล้ว +2

    Allahuakbar 😢mimi na wewe wenye neema ya kuona tuitumie vizuri neema hii tutaenda kuulizwa tuliitumia vp🤔 ndugu yetu huyu ni kipofu lakini ameifadhi qur'an masha Allah ❤❤❤❤❤❤

  • @allymgombela6927
    @allymgombela6927 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah amzidishie elimu Zaidi ya hapo

  • @sheikhnurdini84
    @sheikhnurdini84 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah.wengi tuliyo na macha ya kuona hatuoni QUR,AN.Macho ya kisasa ni ya Kuchati

  • @hamdaniamli7436
    @hamdaniamli7436 2 ปีที่แล้ว +2

    Tweybu tweybu Allahuakbar Allahuakbar maanshaallah Allah akuhifadhi inshaallah

  • @ibratemi5745
    @ibratemi5745 ปีที่แล้ว

    Wallah imenitoa machozi kipof anahifadhi maneno mazito yaalla

  • @fadhiliosuta1719
    @fadhiliosuta1719 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah akuzidishie

  • @salmaismael4071
    @salmaismael4071 2 ปีที่แล้ว

    Mashaaaaallah allah ampe afya njema amiiin

  • @salumumchaga9717
    @salumumchaga9717 ปีที่แล้ว

    Mashaallah wallah machozi yamenika tujifunze tuliejaaliwa neema ya uzima

  • @maryammtumwa8278
    @maryammtumwa8278 11 หลายเดือนก่อน

    Subhana Allah mjaalie macho akhera ya Rrabbi

  • @salmasalim586
    @salmasalim586 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaallah

  • @ndumamedia
    @ndumamedia 8 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar ❤️

  • @Beka-l7q
    @Beka-l7q หลายเดือนก่อน

    Mashallah🎉

  • @abdulshakur8425
    @abdulshakur8425 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallaah

  • @minahchidi4792
    @minahchidi4792 2 ปีที่แล้ว

    MASHAALLH ABDALLAH NDEE MPK NIMETOWA MACHOZI YA FURAHA

  • @AmourSuleyman
    @AmourSuleyman 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba หลายเดือนก่อน

    Allak ak bar.

  • @ulipoulipotupo7564
    @ulipoulipotupo7564 2 ปีที่แล้ว

    😔😔mashaallah allah akupe mwish mwema ostaz😔

  • @iliasaitasu8782
    @iliasaitasu8782 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ustadh

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @SamiaHassanRamadhan-wl4bs
    @SamiaHassanRamadhan-wl4bs ปีที่แล้ว

    Mashallha kaka angu

  • @sheikhnurdini84
    @sheikhnurdini84 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 ปีที่แล้ว

    Huyo sio kipofu, kipofu katika dini ni yule aliyepofua moyo. Bora upofue macho ya kichwani kuliko kupofua macho ya moyoni.

  • @salumumchaga9717
    @salumumchaga9717 ปีที่แล้ว

    Nakumbusha tunavipaji kila kona ya kondoa, chemba, haw waomaji wetu wakubwa wasione aibu kutangaza rehema hii na kuomba misaada kwa waislam wenzetu ili kubust vipaji hivi

  • @jumajuma8456
    @jumajuma8456 2 ปีที่แล้ว

    Mm na ww tunaona ndio vipofu hyu anaona

  • @abbasmosi4481
    @abbasmosi4481 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi na wewe ikiwa hatuna chochote ktk quran ndio vipofu sio huyu!

  • @fadhiliosuta1719
    @fadhiliosuta1719 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @halifajuma545
    @halifajuma545 2 ปีที่แล้ว

    Mashalha

  • @husna34562
    @husna34562 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah