Hata mm niko kama wewe sema nini mazingira tuliopo ni magumu lakini nakupa lispect yako❤❤❤❤❤🎉🎉🎉sikia we dogo ni noma, mistari yako inachoma, leo tunatazama picha wale tusiojua kusoma,nimetuma ujumbe naimani utausoma,,iliutambue na mimi kuimba huwaga ni noma,,tena noma zaidi ya noma,. Hasa pale kwenye kuchana mistari huwaga nachana wakihitaji hushona,,❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Aliyekushauri kuimba nyimbo za kupongeza wanasiasa amekupoteza imba mziki utakaoishi na ambao hautagawa Mashabiki zako wewe #Samone bado mtoto mdogo sana hebu amini ktk kipaji chako na cyo kuwa chawa kisiasa😢😢😢
Mimi hapa niko hapa kuenjoy muziki hivo vitu zingine mtajua wenyewe😂kija ako vizuri kwenye kupangilia mashairi yani anashinda wanaume wengine kw michano kija uko vzri kaza nipo hapa kw mziki mzuri
Producers hamna kitu na hili ndio tatizo kwa rappers wengi tz. Beats selection dogo ww rapper usikubali hizi type of beats zinapunguza ubora wako. Keep it up hard work thou
Music in his DNA much love from Uganda ❤❤
❤❤❤❤ 💯💯🔥🔥🔥🔥 anajuwa sana utafanikiwa t
Hata mm niko kama wewe sema nini mazingira tuliopo ni magumu lakini nakupa lispect yako❤❤❤❤❤🎉🎉🎉sikia we dogo ni noma, mistari yako inachoma, leo tunatazama picha wale tusiojua kusoma,nimetuma ujumbe naimani utausoma,,iliutambue na mimi kuimba huwaga ni noma,,tena noma zaidi ya noma,. Hasa pale kwenye kuchana mistari huwaga nachana wakihitaji hushona,,❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Aliyekushauri kuimba nyimbo za kupongeza wanasiasa amekupoteza imba mziki utakaoishi na ambao hautagawa Mashabiki zako wewe #Samone bado mtoto mdogo sana hebu amini ktk kipaji chako na cyo kuwa chawa kisiasa😢😢😢
Respect 🙏 Sam one 🇧🇮 nakusikiliza tan kwatan
IMPA MISTAR INAYOELEWEKA ,,MAMAYAKO KAFANYAJE SASA ACHANA NA HAYO MAMBO MDA BADO
Huyu sasa afanye kitu na Founder tz
May God protect you sam one Kenya 🇰🇪 i love your hardworking yani umenitoa tiktok hadii hapa TH-cam
Xafi dogo ww n mkali Mungu akubariki n azidi kukuongezea mafanikio yko
Sam we dogo unaweza kazaa sana dogo utatovowaa
Mwanangu unajua sana respect 🫡
Mpelekeni kwa maproducer hip-hop mfano bear beatz,,, bin laden watamuwezeaaa sana
Dogo ww noma ww hatari❤
Nakubali sana mwanang 2pac
Dogo wew ni mkali na mtu anaesema umezingu huo ni wivu tu
Sate kk sam hainampinza kaka mama akusapoti ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Umetisha. Kkk😢
Mimi hapa niko hapa kuenjoy muziki hivo vitu zingine mtajua wenyewe😂kija ako vizuri kwenye kupangilia mashairi yani anashinda wanaume wengine kw michano kija uko vzri kaza nipo hapa kw mziki mzuri
Dogo usikitumie kipaji chako vibaya kipaji unacho Ila umezngua
Wewe hapa umetupiga
Unajua sna kakaa
Dogo tunakupa maua yko ❤🌹🪷🌻🌸💐
Jimbo za siasa hii iwe ya mwisho unapoteza utam wa hip pap
Mm mwenyewe nilianza kukusapoti ila kwahapa inatosha
Dogo bado sana ludi shule kwanza😢
Xaf sanaa dogo lao unajua sanaaaaa
Hapo umezingua Sasa Tutaacha kukisaport
Nakubali dogo langu ❤❤❤
Hata mim huwa naimba Lakin sin sponsor bado sija record huwa naimba bongo music ipo siku tuta kutana tupige colabo
Upupu tuu
Dogo Tanya Hip Hop achana na Aya mambo siasa ndo yatakupoteza
good energy noticed
Tunawahitaji kama hawa
How can I have the beat and chorus? Niko na jambo zuri sana la kumsifu mungu❤
Dogo usikate tamaa one day itajipa kaza💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Producers hamna kitu na hili ndio tatizo kwa rappers wengi tz. Beats selection dogo ww rapper usikubali hizi type of beats zinapunguza ubora wako. Keep it up hard work thou
Much love from Kenya🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ..
umweua san one
Kuma lamamaaaaaako
Pacha wa stamina
Motoo
Big one
Kaka mtu anampenda anachokitaka nakatiba imluusu Wala siyo zambi jamayangu wewe kama aumpendi niwewe2 usifosi sisiwote tupende ki2 ambacho wewe unapenda binadam atujaubwa ivyo
Hapo kwenye kumsifia rais ndio umeanza kuhalibu sas
🔥🔥🔥
R.I.P magufuli
Kumamake awo washauli wako ndo wanakuabgusha
Umekubali www
Dogo vitu ambavyo vitafanya usitoboe ni kama ichi ili ni onyo nakupa yaaan nakuonya
Dogo hapo umezingua
huku achana napo dogo .....utapoteza mafans
Shida ya madogo wote mnajisifiaga mziki wakwanza
Akuna dogo mkali kama mm😅😅
Ila Samone unatisha dogo👊👊
Demokrasia ni sawa! Ila ushauri wa kumimbia huyu hapana.
Dogo michan unawez lakin humu uongo xan achan nap dogo
Ni Bora akaacha siasa Bado dogo mtampoteza
Dgo jau sana
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥
Janja saruti kwako
Duuh anachosifia hakina sifa hizo
Dogo umezingua naenda ku like video zako zote TikTok
❤
Ngoma Kali,ila kaza but maana huo mzik wA ipapu una wakali ,lunya maarifa fd q mean f ongeza puch ya voko unajua🎤🎤🎤🫵👍
Ushaaza kuimba usenge dog au ushapata kichwa
DOGO NENDA KALIME TU😅
🎉🎉🎉
👏👏👏🇲🇿🤝🇹🇿
Unatisha dogo
❤❤❤
Acha usnichi dogo
Dogo kuanzia Leo naku unsubscribe man umeanz kuzingua wew
Haha😂😂😂
Hata mimi
Live kaka🙌🙌
😂😂😂
😂😂😂😂
Wanaokuandikia mistari wajinga sana chunga watakupoteza
washapata kwakupitia 😂😂
Ukitaka kuamini anakipaji pitia freestyle zake
Fala sana kumbe dogo 🚮🚮🚮🚮
Yani kwanzia sasa naku unsubcribe kwasababu bado hujawa star unakua chawa
Faida utakayoiata ni ipi😅😅😅
Kwel
uhuru wa kuongea, umekua uchawa??
Mwanawivu ww....huyu dogo aweza...jiheshimu uheshimike
Hii yako moja toa shoga sana😢
R.I.P magufuli
Dogo hapo umezingua
bado ajafikia miaka 18 wamemshikia akili ajitambui
Dogo hapo umezingua
Dogo hapo umezingua