UKHTY ADILA AMSOMEA MUMEWE QASWIDA YA MAHABBA TAZAMA UKHTY MWANACHA NA DAYNAT NA RIZIKI WALIVYOTUNZA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- Don't Forget To Subscribe 👉 @ZanzibarQaswida
------ Download Qaswida Now ------
🔸 / zqsvartist
🔸 audiomack.com/...
🎥 All Video Shoot By Extra Pictures Under Zanzibar Qaswida
--------- Contacts ---------
📞 +255626966000
📩 zanzibarqaswida@gmail.com
---- Zanzibar Qaswida Booking Info ----
📞 WhatsApp/Call : +255626966000
📩 Email : zanzibarqaswida@gmail.com
---- Catch Up With Zanzibar Qaswida (Owner) ----
▶️ / comextz
▶️ / comexstar
▶️ / comextz
---- GET MORE NEW VIDEOS ----
▪️ MENEGER WA ZANZIBAR QASWIDA NI HUYU • Video
▪️ QASWIDA NAMBA 1 HII HAPA • QASIDA NAMBA 1 YA KUMS...
▪️ QASWIDA HII UKHTY DIDA AMEUWA YANI • MASTAA WA QASWIDA ZANZ...
▪️ HARUSI YA KIFAHARI BIBI HARUSI ATUNZWA DOLA LAKI3 • BIBI HARUSI APOKEA MAD...
▪️ UKHTY ASHA HII AMEVUNJA REKODI • QASWIDA MPYA YA KIARAB...
#ZanzibarQaswida #ExtraPictuers #ExtraSounds
I have listened to many kaswidas like Dida, Aisha, Manacha, they all have good voices, but Adil's voice is very good. May Allah give you everything you need. If Allah brings me to the end of my life, then Adila will be my reader. You and Sheke Hafidh will read the kaswid for me, inshallah, I love you.
Sweet and calm
Inaonekana siku ya kuolewa huwa Ina furaha sana yaa lab nijaalie NAMI mwenza Alie mwema inshaanllah
Amiin 🤲
Ameena thuma Ameen
Amin
Mambo haya sio ktk dini yt mazumari na vnanda pamoja na kudhihirisha mapambo turudini kwa Allah tucghururike kusifiwa mitandaoni 😔
Hakika ndomana ndoa hazidumu kwa kujitandaza mitandaon
MachaAllah 😘💞
Mash kweli tupu
Mfano wa Ndoa nyingi zinazofanywa.. nimetumia neno mfano wa ndoa.. kwasababu si ndoa sahihi hazifanywi kidini geresha tu kuingiza baadha ya yale yaliomo ktk dini.. ukichunguza utagundua nikinyume na kabisa na dini
hi
Kumbe nawe umeolewa nikajua ulikuwa BD ujapata mashaallah Allah awape umri mrefu inshàallah
Mola awape masikizano mema awajaliye kizazi chema chenye watoto wema AMIN yaarabi Amin 🤲🤲🇰🇪 county mambasa 001💃💃💃💃👌
Jamaan adila we love you hauna papara ukiwa unasoma qasdaaaa
Mashallh mungu awalinde katika ndoa yenu naawape maisha marefu na ya kudumu katika ndoa yenu🫶🫶👌👌👌
Jmn mashaalh
Ma Sha Allah🥰Mabrook Alf Mabrook
Ehfyjky
Nimeipenda iko vzur MaashAllah
Allahuaqbar nimepend hiyo Allah akujalie maish ya aman katk ndoa yak na kizaz cheny kumfaham Allah pamoj na mtume Muhammad s a w ❣️🌹♥️🙏🙏
Dunia imeisha subhanna llah
Mashallah sauti nzuri na kasda nzuri mashallah tabarakallah
Masha’Allah huchoki mtazama bi kharusi.
MashaAllah you’re very beautiful dada and Mubarak on your wedding . May Allah keep the evil eyes away from you and your husband much love for you two❤️❤️🇺🇸🌹🌹🌷🌷🌷
Jfjc
4⁵
@@saidrashid9592 js2290
Mashallah mashallah mashallah ya ukhty adila Allah akuepushie na kila lilobaya kwako na mume wako na Allah awajalie risk yenye kher na ww na awadumishe milele ndoan kwenu milele na milenia amin
آمين يارب اعلمين
Mashanllah pendeza sana ukhut Allah akupeni mapenzi mema ktk ndoa yenu
Mashallah mashaallah mashaallah mola awape khatima muzidi kupendana mashaallah arusa amejistiri vizuri ukty adilah👌huu ndio mfano bora kwa maarusa wengine tufuateni sheria zetu ya dini kama Allah alivyo tuambisha mola atutilie barka kwenye ndoa zetu
Masha Allah da Adilla
Allah awafanyie wepesi katika ndoa yenu
Kapendeza bi hrc Ukhty Adila🥰🥰❤
Mashallah mabruk habibty karibu kwenye maisha mapya Allah akutilie baraka na maskizano upendo daima Ameen
mashaallah Allah awadumishe
MashaAllah MashaAllah tabarakallah ...hapo sawa dear..... happy marriage lovely 😍🌹🌹
Mcheni Allah
لديي قلب عليه
♥️👌
Mashallah bi harusi kapendeza .jamani si lazima maveli ya kutuna yapita na wakati. Raha mtu anaingia mwenyewe holini wala hakamati kanzu.
Mashaallah 🙏 mabroq penda sana 😍❤
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
❤️❤️❤️❤️mashllh mashllh. jitahid kubana mdomo t kidg
hahahahah kweli
Hahaha unavituko wewe
Binaadamu bana mnamambo
Masha allah hongera my ukhuty Adila
Mashalllah mashallah tabaraka allah 🌹🌹🌹🌹🌹🇰🇪🇸🇦🤲🤲🤲🤲iwe ya khery ishallah
Mmungu akujaalie kheri na mapenzi amina. Maana wanaume wa zanzibari kwa mapenzi 0 ziro.
Uliwaona kharamu haswa
Nyie wabongo je Kwa .mapenz mkoje SI mshazoea kuchokolewa kabla ya ndoa hayo ndio mapenz ?mapenz ni Yale yakufunga ndoa na kuekana ndan sio kuzalishwa na kuchokolewa tu
@@salmaalrawahy3326 kharamu usiwe na mdomo mchafu ndugu ongea kwa nidhamu usitukane
@@aishaarusha894 mungeanza nyie kwanza mpo vzr Kwa kusema madhehebu ya wenzenu anye kuku akinya Bata kahara
@@aishaarusha894 karibu zenjibar mji Wawa staaarabu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣😅🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Pambe Sana Masha Allah 💕
Mashallah biharusi kapendeza ila makanzu makubwa mpaka limemtoa shoo anaingia holini na kulikamatia maharusi wavalishe nguo saizi yao
nguo kubwa na wamemuekea njia ndogo🤣🤣🤣🤣
Kwa kweli hakuwa huru
tatizo space ndogo hakukuwa na nafac
Wanachaguaga wenyewe sa wengine wabishi🤣🤣🤣
Manshaallah
Tamu Sana adila nakupenda Sana mama Halima kutoka Kenya county 002
Mashàallah
Maasha allah❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana habbity umependz mnoo nenda ukaitunz heshima yko
MashaAllah 💫💖
Adila Masha Allah
Mashallwa kaswida nzuri
Mashallah mola awazidishie mahaba
Bonyeza hapa 👇....
th-cam.com/video/GExZ2L3YCac/w-d-xo.html
maashaallah nzr
Mashallah mashallah mashallah
Mashallah🌹🌹
Masha'Allah
Ss hii Ni kasida au taarabu Jaman ck hz Hakuna kasida bt hongera mwaya mungu awadumishe ktk ndoa yenu
Nic one ipo kihisia hasa hii qaswida
Nice. Dada. Qaswida nzuri
Mashaallah
Hee wowwww mashallah
Mashallah cha msing ni kumueshim tuu mumeo
Mashaallah tabarakanllah
Mashaallah adila🥰
Mashalla amependeza
Hiiii kasida si museme taarab tuuu na huyu harusi hajitambui uislamu umekataza mwanamke kuzihirisha mapambo yake
Si mapambo pekee hata sauti
Maa shaa Allah
Mashallah kasida pambeee
Nakupenda dada bure bure😍🥰😘
Mashallah 👌❤️
Mashaa allah ❤️❤️❤️
Ni ukafiri kwenda mbele tu waislamu hatujielewi
Umetisha
Mashallah🙏
Fantastic one
mashllh
Maa Shaa allah jamani nyumbani raha 🥰❤️❤️❤️
- ř h
Mashaalah
Masha’Allah congratulations dada ❤️❤️
Bwaàaaaaa
macha Allah tu ressemble à une présence 😍😍😍😍😍😍😍😍mbaraka dhoihou fikou felistation à toi et ton mari
Mashalla
Nice weeding all the best mammy 🥰
Mashallh 🇰🇪
MashaAlla🥰🥰🥰
Muheshimu mke mwenzio nae akuheshim ili mfikie pahal muelewane..
Allah ampe uadilifu mume wenu.
Aaamiyn
Kwani ni uke wenza
He🙆🙆
kwani ni mke mwenza heeee aya mungu ampe subra aimiliki ndoa yake
Ndio maana bwana harusi haonekani kumbe ni mume wa mtu hebu shangwe
mmmmh pazito apo ndo mn hakukunoga kiivyo kumbe shoriiiiiiii mmmmh sheria 4 lkn kwa ulivyo Adila wala acngeingia ndoa ya 1 uke wenza Allah amcmamie ndo mn video peke yake nikajua bwana haruc yuko nchi ze2 sio Tz kumbe wa2 washayajua
Mahaba ukhty adila
mashaallah
uko vzr
MAASHA ALLAH ♥️♥️😍
nzuri
Very nice
Nakubali kazi
Nyimbo inashawish❤
Nyimbo za kihind
Mabrouk
Ongela San dad
Wow
Adila mashallh ulipendeza hatari
Mbona kina Asha N kina dida hawakuja jamani salmaaaaaa huko
Ata mimi nashangaaa
Yani ata atuku wazoea hivi kama na hii hawajaja watakuwa na roho mbaya nyama hawa🤣🤣
Bass haya
Very beautiful❤
umesha pata kijio au zote umezitumia shuhuli
Jamani acheni kuingilia mambo ya wtu
Tumche Allah tuwache unafiki wa dini yetu
Nice
Hongera ukhty Adila mungu akupe maskilizano na ndoa njema
Sawa
Mahaba
Mahaba
Bwana haonekani
Acheni ujing nini mutajibu Kwa mungu
Mtihani mwanamke anavyoanikwa ndio mke wa mtu hiyo vidio itaangaliwa mpk kiama kinasmama waislam wanawake wenzentu tuache mila za kiyahudi tufate mila ya Baba yetu Ibrahimu A.S ya nn yote hayo kweli ss tunapewa na kubarikiwa na Allah SW lkn tunamkera hivyo tamaduni sio za dini yetu
Kwa sherehe kama haurusi inaruhusiwa