Meshak Mausa - STEFANO (MATENDO 6:8-8:3)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Meshak Mausa - Stefano (official audio)
    (Matendo 6:8-8:3)
    Stefano alipigwa mawe hadi kufa. Sisi pia tutapigwa mawe na wale wanaomchukia Kristo; na wale wanaochukia ukweli.
    Nyimbo za waombaji kutoka kwa Mlima wa Ukweli( Ukweli Ministries.) usisahau kulike na kushare!
    54 Basi wale viongozi waliposikia maneno haya walijawa na hasira, wakasaga meno yao kwa ghadhabu. 55 Lakini Stefano akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, alitazama mbinguni, akaona utukufu wa Mungu, akamwona Yesu amesimama upande wa kulia wa Mungu.” 56 Akasema, “Tazameni! Naona mbingu zimefunguka na Mwana wa Adamu amesimama upande wa kulia wa Mungu.”
    57 Wao wakapiga makelele, wakaziba masikio yao wasimsikie, wakamrukia kwa pamoja. 58 Wakamtupa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Na mashahidi walioteuliwa walimwachia kijana mmoja aitwae Sauli mavazi yao. 59 Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, Bwana Yesu, pokea roho yangu!” 60 Akapiga magoti akalia kwa sauti kubwa akasema, “Bwana usiwahesabie dhambi hii.” Baada ya kusema haya, akafa.

ความคิดเห็น • 15